Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,011
- 3,062
Mboya mzee wa kufyongoaaa 😁😁😁…mkuu hakukuwa na Hokororo, alikuwa anaitwa Ikoro… Temba mzee wa plumber aka mapuaaa…Mr na Mrs Kimaryo, Mama Kimambo, Mrs Temba yule mrembo wa Math's, Mboya, Hokororo, Mbise?
Mpande tulikuwa naye 1998-2001 Kipindi cha Kimaryo na MalissaNinyi watoto wa juzi tu hapo! Mkongwe nilikuwa hapo 1981 - 84 dom la mkwawa 27.
Kumbe hajamkuta mwl wa vijana ndugu Mpande?
Tulikula sana machungwq na malimao hapo Orchard!
KJ?Kumbe ustaadhi Ikoro bado alikuwepo… bado anafindisha MV (Motor Vehicle)?
Ikoro Kipara yule maalim feki stori nyingiMboya mzee wa kufyongoaaa 😁😁😁…mkuu hakukuwa na Hokororo, alikuwa anaitwa Ikoro… Temba mzee wa plumber aka mapuaaa…
We ulikuwepo Mwaka upi? Alikuwepo na mdada pia Temba mweupe Ana Makebo Matata sanaMboya mzee wa kufyongoaaa 😁😁😁…mkuu hakukuwa na Hokororo, alikuwa anaitwa Ikoro… Temba mzee wa plumber aka mapuaaa…
Sisi wa 1985 tusemaje sasa. Kama 2004 ni kitambo. Mpande kuna vijana walikuwa wanakuja ngumi naye akileta ule ujinga wake.Kitambo sana 2004
Hapa mwaka 1990- kulikiuw a kwa moto, tulikuwa na exchange program ya wazungu wa scotland.Leo nimekumbuka sehemu ambayo ilitengeneza vijana wengi kuliko ilivyotengeneza majengo...
Moshi Technical Secondary School.
Kuna shule ambazo unaondoka na cheti tu, lakini kuna shule unaondoka na kumbukumbu zinazokufuata maisha yote.
Wapo waliokuja wakiwa watoto wakarudi majumbani wakiwa wanaume.
Ukiwahi kusoma hapa, ni jambo gani moja huwezi kulisahau mpaka leo?
Hizi ni baadhi ya picha za muda kidogo zipo kwenye gallery yangu naambiwa shule imefanyiwa ukarabati mkubwa sana.
View attachment 3598591View attachment 3598592View attachment 3598593View attachment 3598594View attachment 3598596
Mwl. Masenge (second master) hakuona mavi yako yanatoa moshi Orchard??Ninyi watoto wa juzi tu hapo! Mkongwe nilikuwa hapo 1981 - 84 dom la mkwawa 27.
Kumbe hajamkuta mwl wa vijana ndugu Mpande?
Tulikula sana machungwq na malimao hapo Orchard!
Huyo huyoooIkoro Kipara yule maalim feki stori nyingi
Malale alikuwa Head Master na watoto wake kina VictorSisi wa 1985 tusemaje sasa. Kama 2004 ni kitambo. Mpande kuna vijana walikuwa wanakuja ngumi naye akileta ule ujinga wake.
Enzi zile walimu wa Additional maths na Engineering Science ni Warusi (Russian) under Legend Mwl
Malale
miaka yako hiyo hiyoo chief. Nadhani wewe utakuwa ulikuwa darasa na kina Peter Nemes, au kina Nuru Marambo?We ulikuwepo Mwaka upi? Alikuwepo na mdada pia Temba mweupe Ana Makebo Matata sana
Mlimuacha Dada Asha? Maana sisi tulimkuta mbibi anaitwa dada sasa kuuliza ndio tukaambiwa huyo alianza akiwa dada akazeekea hapo kwenye kuuza vitafunwa.Kitambo sana 2004
Mtwara mijengo mikali ndio Maana one nilianzia Huko kwa Kisuu kabla kuhamia Moteseco.Ina jina kubwa tu, kumbe kwa majengo inaachwa mbali na Mtwara Tech.
Nuru yule Tall msela Mavi wa Azimio?miaka yako hiyo hiyoo chief. Nadhani wewe utakuwa ulikuwa darasa na kina Peter Nemes, au kina Nuru Marambo?
Mkwawa Dorm 25....karume 33 yalikuwa makazi yangu
Ha ha haaa umenikumbusha mbali sana … yule Kiziwi Auvimbi… kiziwi but alikiwa na mikogo balaaa!Nuru yule Tall msela Mavi wa Azimio?
Nilikipiga na yule mtoto wa Kigogo Manase Nicodemus Banduka pamoja na Engineer Abdi wa ATC.
Auvimbi unamkumbuka?
Mule mule.....Ha ha haaa umenikumbusha mbali sana … yule Kiziwi Auvimbi… kiziwi but alikiwa na mikogo balaaa!
Namkumbuka Banduka pia, kina GEFAMA mzee wa chata shule nzimaaa!