Leo nimebaguliwa na Wahindi

Leo nimebaguliwa na Wahindi

Status
Not open for further replies.
Ungewazaba *****&&&&%$%% pengine wangeshika adabu
 
Wahindi ni kama wachaga ni wabaguzi sana

Huck;
Hapa sasa, weye na mchaga ni nani mbaguzi??? Mwenye kuleta uzi amesema, alibaguliwa wazi wazi na Wahindi. Weye unasema Wachaga ni wabaguzi ka wahindi. Anzisha uzi wako ueleze hao Wachaga walipo kubagua.
Tukienda ki ukabila hatuendi mbali kaka. Kwenye mada; Mhindi anapokuuliza unapo ingia dukani kwake; Veve, nini TAKA??? ni muongo yule, si kwamba hajui kiswahili. Anakuona kuwa weye ni TAKA KWELI KWELI.
Miaka yoote, wamekaa nasi, hicho kiswahili kimkate hivyo kama anakitamani?? Hao ndiyo yao ila kama ni kunuka; Wahindi ndo wanaongoza. Ptuuu apite tu mbali.
 
Acha hizo wewe!!! Watu wanasafiri sehemu mbali mbali duniani na kupiga stories na wasafiri wenzao waliokutana nao safarini for the first time na wengine kubadilishana hata contact info na kuwa marafiki itakuwa kuwauliza watu kwenye lift wanabana pua kwa sababu zipi badala ya kujishuku na mtu kudai kabaguliwa wakati hana ushahidi wa kuthibitisha kauli yake kwamba walibana pia kwa sababu ananuka.

Hakuna haja ya kuwauliza.Duniani ukisafiri kuna kitu kinaitwa MIND YOUR OWN BUSINESS.Wabane pua au makalio IT IS NONE OF YOUR BUSINESS.Dunia hii ukikalia kuangalia kila mtu anakuangaliaje au kakubaniaje pua n.k Utaishia kuwa kichaa.Wengine wana allergy yawezekana hiyo lift ilikuwa na vumbi wakabana pua zao.Anyway iwe wamebana pua kwa sababu yeyote kwangu is none of my bussiness ningeeendelea na mambo yangu na nisingehangaika hata kuwatazama nyuso zao.
 
Mkuu umekosea uketema mate mkononi alafu umpake usoni akakutangaze pumbavu wahindi mbona kwao bombei choo kimoja wahindi 1000 ningekuwa mmm angenitambua
 
Mkuu, Tafadhali usijumlishe wahindi wote sema baadhi !! Na kama ubaguzi hata sisi wazawa tunayo tabia hiyo!!!! Manosa Mkuu, vipi unatoa tuhuma na kuchanganya maudhui..... bila kukadiria !! kujifanya mjanja ni hulka ya binaadamu hata mimi na wewe na engine hufanya ujanja katika maisha!!
Tujifunze kuishi katika mazingizra yote !! Wewe pia ziba au bana pua yako !! au funika mdomo wako!! au ziba masikio yako !!


mkuu mbona unanibebesha gunia la misumari?
 
Ha ha ha ha ha duh unaweza kukuta una kikwapa cha hatari.
 
Mkuu umefanya kosa kubwa sana kuja kupost humu, ungelimaliza hilo humo humo kwenye lift.
 
Miafrika imelaaniwa hata uifanyie nini, hawana shukrani kabisa, ujinga umewajaa

Mimi siamini kuwa Watanzania wote au Waafrika wote ni wabaguzi au wamelaaniwa. Kuna ubaguzi katika kila rangi duniani.

Ila, ni muhimu kuelimisha jamii na kukemea ubaguzi wa aina yote kwa kutumia sheria, busara na elimu darasani sio ngumi.

Hii nchi sio ya Wazawa peke yao. Kuna Watanzania wa vizazi vya tatu, nne hata tano hapa. Tanzania kwao ndio "nyumbani" sawasawa na Wazawa wanaoiita Uiingereza, Canada au Marekani "nyumbani".
 
pale ppf tower mida ya asubuh kuna muhind alikuwa akidrive kibaby walker alimzingua jamaa ,lakin yule mswahil alimkazia waswahil walimhbeza yule muhind akawa anajitetea yeye mtanzania,

Hata hapa mkuu kuna mijitu mijinga sana inambeza huju mleta mada..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Pole sana mkuu..! Next time washughulikie..! Ila avatar yako na wewe kama muhindi vile

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ukiwa unanuka hata mbongo mwenzio anaweza kuziba pua yake kuzuia harufu. Suala la harufu mbaya lisihusishwe na
kubaguliwa rangi.
 
Ukiwa unanuka hata mbongo mwenzio anaweza kuziba pua yake kuzuia harufu. Suala la harufu mbaya lisihusishwe na
kubaguliwa rangi. Pua zenyewe wamebana baadaya kuingia wewe tu au na huyo mwenzio alitoka amebaniwa toka mwanzo wa safari ya lift?
 
endelea kufanya uchunguzi kabla ya kuhukumu,pengine kuna kitu kina wadhuru.


Nilishawahi kutana na kadhia hiyo kwenye nchi moja ya kiarabu,kila mfilipino ninae kutana nae naona ameziba pua nikajua ni kwa ajili yetu sisi waafrika labda tuna nuka lakini nikaja kupata jibu kuwa wanapata shida sana najua pua zao zina umia hapo ndipo nilipo toa imani potofu niliyo kuwa nayo,labda jaribu kufuatilia then upate jibu muafaka usi hukumu bila kupata ushahidi.

Mimi nimeishi Japan na nchi nyingine Asia. Ni kawaida huko kuvaa mask kujikinga na mafua, vumbi, baridi, harufu ya sigara, na pollen.

Nikienda hospitali pia navaa mask. Lakini hapa unaonekana kama unadharau fulani kama walivyokasirika Wabongo na Michael Jackson alivyovaa alipokuja TZ. Elimu ni muhimu sana kwa jamii.
 
Suala la kunyanyapaliwa lisitafsirike kisiasa maana hakuna ushahidi wa kumtia hatiani watu kama hao wahindi kwa kitendo chao cha kuwabania pua waswahili,
Watu kama hao ni kuwapuuza tu au kuwaonesha kivitendo kwamba sisi sio wa hadhi yao, maana kwa rushwa ilivyo hapa bongo ukiuliza tu kwanini wanawabania pua mnaweza kuwekwa sero kwa kuambiwa kuwa mmewatukana wageni, au kutaka kuwaibia.

Idd amin aliona mbali.! Watu wakamlaaani....sasa wengi wanamkubali kwa hilo.mbaya halisi na wema hakosi.!
 
Acha hizo wewe!!! Watu wanasafiri sehemu mbali mbali duniani na kupiga stories na wasafiri wenzao waliokutana nao safarini for the first time na wengine kubadilishana hata contact info na kuwa marafiki itakuwa kuwauliza watu kwenye lift wanabana pua kwa sababu zipi badala ya kujishuku na mtu kudai kabaguliwa wakati hana ushahidi wa kuthibitisha kauli yake kwamba walibana pia kwa sababu ananuka.

Sio wote.Mimi ningebana pua ukaanza kuniuliza kwa nini nimebana pua na sikujui ningekujibu kifupi tu,CAN YOU MIND YOUR OWN BUSINESS?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom