Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,898
mkuu, this is my own experience. si mara moja wala mbili nimelishuhudia hili,mwanzoni niliumia baadae nikawa nacheka tu. tembea kwao uhuindini au nenda kwa wale "vimacho" uone ubaguzi.Mmmh hapo samahani naona umezidisha sukari katika chai... sasa hainyweki!! just be fair !!
mbaya zaidi wanawafundisha ubaguzi mpaka watoto wadogo.
ngoja nikuitie Watu8 aje akupe uzoefu wake kwa wale "vimacho".
Hakyanani unaweza ukatamani kumtia mtu ngumi. Kwenye lifti wengine wakikuona upo wewe hawapandi hata kama lift haijajaa na uko wewe peke yako.