Leo nimebaguliwa na Wahindi

Leo nimebaguliwa na Wahindi

Status
Not open for further replies.
Sijui ni lini mgombea wa Urais atakuja na sera ya kuwakimbiza hawa wapuuzi. Atapata kura nyingi sana. Wakati mwingine nawachukiaga UKAWA bure tu ila UKAWA wakiichukua hii nchi hao Wahindi wataipata habari yao. Kuna baadhi ya watu wakubwa wanawapa vichwa hawa watu kwasababu ya rushwa.

Marehemu Mtikila alikuja na wazo lake la kuwaondoa magabachori akalaumiwa sana, lakini ukweli upo palepale kuwa wahindi si watu wema kabisa, wanafanya mengi mabaya ila tu ni kwamba hatuna pakusemea, hata ukisema unaonekana ni mbaya, bila kutazama kwa makini namna ya kulishughulikia jambo hili, basi very soon watanzania halisi tutakuwa wageni wa wahindi, they will twist us the way they like kitu ambacho sisi hatuwezi kufanya tukiwa kwao
 
Wakurya tukifanya yetu Mara oooh Akina Mura wakorofi Sana haya wapigie simu wahindi WA huku Musoma waulize hawawezi kuleta jeuri ya aina hiyo hata siku Moja
 
mimi sio muhindi lakini kama una harufu mbaya nabana pua,, tena ndani ya lift hewa nzito! umhh
 
hili la kuwa waafrika wananuka ni mentality ya watu wa Asia. mimi mwanzoni nilipata cultural shock lakini siku hizi hata sijali. Ukiwa nchi za Asia nyingi kati ya hizo utakutana na huu ujinga,ukikaa kwenye train au daladala basi siti za jirani hakuna atakaekuja kukaa na wewe ,wako radhi wasimame.Wengine huwa wanabadili mpaka njia wasipishane na wewe mtu mweusi.
 
Mmmh hapo samahani naona umezidisha sukari katika chai... sasa hainyweki!! just be fair !!
 
Walikuwa wamejambiana wenyewe uko baada ya kula mavyakula yao ya dengu afu wanazuga kubana pua,shenzy sana ingekuwa mm ningecharaza hao hadi wanye kabisaaa
mkuu hizo dengu zinalimwa nani.... ??
zaidi ya hapo chakula ni chakula !! chakula baada ya kupitia process ya digestion huvunda na kutoa toxic !!!! Kuwa mpole ndugu....
 
hili la kuwa waafrika wananuka ni mentality ya watu wa Asia. mimi mwanzoni nilipata cultural shock lakini siku hizi hata sijali. Ukiwa nchi za Asia nyingi kati ya hizo utakutana na huu ujinga,ukikaa kwenye train au daladala basi siti za jirani hakuna atakaekuja kukaa na wewe ,wako radhi wasimame.Wengine huwa wanabadili mpaka njia wasipishane na wewe mtu mweusi.
wakiwa hapa kwetu na wale chawa wasioisha sijui ni wa ukoo ama vepe loh halaf haya majamaa huko makwao ni masikini wa kutupa kabisa mtu anazaliwa jalalani anaolea jalalanii anazikwa jalalani pyeeeeeeeeeeeee
 
Huyo huyo wa jalalani akija TZ anakuwa CEO, CFO, Director na nani tena..?!?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom