Leo nimebaguliwa na Wahindi

Leo nimebaguliwa na Wahindi

Status
Not open for further replies.
Fight apartheid right where you are, by Peter Tosh, hao watu ilitakiwa uwakabili palepale ungewachapa hata vibao ama ungewaharas kwa namna yoyote ile, mjinga usimwache apite bure next time hali ikikutokea kama hiyo hakikisha unawadhibiti.
 
kama ni masharti ya Sangoma je? wakipanda lifti wazibe pua, ni vyema kuwa na uhakika.
 
Ha ha ha ha ha yeleuwiii pole yako wamekutuma mbege nini?ukioa uchagani we ni mnyapara unatakiwa kufanya kazi sasa acha kabisa

nilikua na mchuchu wa kichagga hata hatujadate miezi 6 akanza ku-demand kujua benki nna pesa kiasi gani, wachaga ni wabaguzi n very selfish
 
Hahahahaa, wewe ndiyo unanyongeshwa na pimbi wa kihindi?.....hahahahhaa, ningekuwa mimi ningetoa simu na kuwarekodi huku nikiwakumbusha miji yao ilivyo michafu kupindukia na umaskini wa kutupwa. Wanakuja huku kutafuta maisha bora hawana lolote hao, msiwachekee...siku nyingine record kwenye simu lete hapa tukusaidie kuwashusha! kuna dada mmoja wa kihindi aliropoka maneno ya kibaguzi kwenye page moja fb (tena yenye asilimia kubwa ya members wa kutoka bara hindi), yaliyomkuta mpaka alidislike page, ni malaya tu anajiuza upanga mpaka wahindi wenzake walimgeuka. wahindi wa kike wana matatizo, akikuzingua we mtie kwenye camera tumdhalilishe!
 
Ndiyo maana hatuwapi Ikulu hata mkilia machozi. Mchagga NO NO NO. Nyinyi mtabagua kila mtu na si Wahindi tu.

Leo naungana na wewe kwenye hili na jana niliweka thread mod akaipiga chini, siyo wachaga tu bali kaskazini wote watatulaza njaa mapema tena subuhi round ya kwanza tu. ndiyo maana wengi frm that angle wanautaka urais, Mheshimiwa Waziri mkuu mstaafu Sumaye dakika za mwisho alitaka kujenga kiwanja kingine cha ndege cha kimataifa pale Arusha wakati kuna KIA.
 
we mpumbavu sana,uko nchini mwako halafu unafanyiwa hivyo umeangalia tu!! ilitakiwa ulete post humu ikisema unahudhuria mahakamani kwa kosa la kuvunja shigo wahindi. Mpuuzi sana we mwanaume kama mabinti.[/QUOT

Mkuu,

Hawa watu wenye akili kama hizi ndiyo msingi wa umasikini wa mwafrika! Walitakiwa wanapotoka wawakanyage na kupiga kipepsi cha kishkaji kama vile wanawahi kutoka!

Hee wewe kama tapiga awa, awa tashitaki wewe polisi, polisi takamata wewe alafu tatia dani.
 
Pole sana. Uliongea nao au unatupigia kelele tu hapa....?...
 
Wala isikupe tabu hamna watu wachafu kama wahindi. Ukishuka delhi unapigwa na harufu ya kinyesi gafla kama hukujipanga vzr unaweza faint. Wanakunya hovyo hovyo barabarani yani ukitoka airpot unakutana na mavi kibao tu. Wachafu mbaya anaweza tema mate sebuleni kuna wengine wanabanja af wanatemea kohozi mkononi tena maofisini...yani ni kinyaa hao watu sema kama huwajui itakupa tabu sana.....
 
Habari,

Leo mida ya saa tisa hivi, nilikuwa Ahaad apartment(Morogoro rd/Libya street) floor X. Nilipomaliza kazi zangu nikabonyeza lift ili niweze kushuka ground floor, kipindi naingia kwenye lift kuna mdada wa kibongo (alikuwa amevaa vizuri tu) alikuwa anashuka na humo ndani walikuwa wahindi wawili wanawake wamebana pua.

Mara ya kwanza nilifikiri labda wanabana pua zao kwasababu zao binafsi. Kumbe sababu yao ilikuwa ni sisi waswahili tuliopanda ndani ya lift tulikuwa tunanuka!!!! Kwakweli nilijisikia vibaya sana, kwa hiko kilichotokea.

Nina uhakika asilimia mia kabisa mimi na hata wale abiria wenzangu(waswahili) tulikuwa hatuniki hata kidogo ila ni ubaguzi uliopitiliza kwa hawa Washenzi wa kihindi. Kweli nipo kwenye ardhi yangu ya Tanzania lakini bado nabaguliwa!!!!!??!!! Hawa watu ipo dawa yao inashemka tu, ipo siku watakuja kutuheshimu sisi waswahili.

Poleni sana watanzania wenzangu ambao hamumalizi siku moja bila ya kunyanyaswa na wahindi.

Kama unanuka hata mie nabana pua yangu. Nani avute hewa iliyochanganyika na harufu ya kikwapa na mijasho yako. Usafi ni muhimu.

Habari,

Leo mida ya saa tisa hivi, nilikuwa Ahaad apartment(Morogoro rd/Libya street) floor X. Nilipomaliza kazi zangu nikabonyeza lift ili niweze kushuka ground floor, kipindi naingia kwenye lift kuna mdada wa kibongo (alikuwa amevaa vizuri tu) alikuwa anashuka na humo ndani walikuwa wahindi wawili wanawake wamebana pua.

Mara ya kwanza nilifikiri labda wanabana pua zao kwasababu zao binafsi. Kumbe sababu yao ilikuwa ni sisi waswahili tuliopanda ndani ya lift tulikuwa tunanuka!!!! Kwakweli nilijisikia vibaya sana, kwa hiko kilichotokea.

Nina uhakika asilimia mia kabisa mimi na hata wale abiria wenzangu(waswahili) tulikuwa hatuniki hata kidogo ila ni ubaguzi uliopitiliza kwa hawa Washenzi wa kihindi. Kweli nipo kwenye ardhi yangu ya Tanzania lakini bado nabaguliwa!!!!!??!!! Hawa watu ipo dawa yao inashemka tu, ipo siku watakuja kutuheshimu sisi waswahili.

Poleni sana watanzania wenzangu ambao hamumalizi siku moja bila ya kunyanyaswa na wahindi.

Tupostie harufu yako humu tuinuse ili tuhisi 'unanuka' au 'unanukia' ndipo tutakuwa na nafasi nzuri ya kuhukumu !

Kwa mfano: wewe viroba unakunywa !? Mr.mzumbe
 
Last edited by a moderator:
Habari,

Leo mida ya saa tisa hivi, nilikuwa Ahaad apartment(Morogoro rd/Libya street) floor X. Nilipomaliza kazi zangu nikabonyeza lift ili niweze kushuka ground floor, kipindi naingia kwenye lift kuna mdada wa kibongo (alikuwa amevaa vizuri tu) alikuwa anashuka na humo ndani walikuwa wahindi wawili wanawake wamebana pua.

Mara ya kwanza nilifikiri labda wanabana pua zao kwasababu zao binafsi. Kumbe sababu yao ilikuwa ni sisi waswahili tuliopanda ndani ya lift tulikuwa tunanuka!!!! Kwakweli nilijisikia vibaya sana, kwa hiko kilichotokea.

Nina uhakika asilimia mia kabisa mimi na hata wale abiria wenzangu(waswahili) tulikuwa hatuniki hata kidogo ila ni ubaguzi uliopitiliza kwa hawa Washenzi wa kihindi. Kweli nipo kwenye ardhi yangu ya Tanzania lakini bado nabaguliwa!!!!!??!!! Hawa watu ipo dawa yao inashemka tu, ipo siku watakuja kutuheshimu sisi waswahili.

Poleni sana watanzania wenzangu ambao hamumalizi siku moja bila ya kunyanyaswa na wahindi.
Eboooooh......!!!!!!! na WEWE si uwabague, mnalalamika hhalafu akija kuposa kwenu mnajiona mmepaaaataaaa.........!!!!! tatizo mmezidi kuwanyenyekea mpaka wanajiona miungu watu kumbe washenzi tuu.......!!!!
 
Kwani kwenye LIFT abiria wote mnapanda FIRST CLASS? Kwanini waswahili msingepanda mabehewa yetu ya THIRD CLASS mkawaachia behewa lao? Au mlitozwa nauli sawa? Na kwanini wawachanganye me na ke chumba kimoja bila kuhoji vyeti vya ndoa? Labda walihofia kuliwa mate kwa nguvu!? Tafakari!!!
 
we mpumbavu sana,uko nchini mwako halafu unafanyiwa hivyo umeangalia tu!! ilitakiwa ulete post humu ikisema unahudhuria mahakamani kwa kosa la kuvunja shigo wahindi. Mpuuzi sana we mwanaume kama mabinti.
Ujumbe mzuri mkuu, yaani ningekuwa mimi ningefungwa
 
Dah,nina hasira na hawa wapuuzi huwa nasikia tu kwa wengine ila wakija kujichanganya kwangu watakwenda kuwahadithia mabosi zao wanaowapa kiburi.
 
Habari,

Leo mida ya saa tisa hivi, nilikuwa Ahaad apartment(Morogoro rd/Libya street) floor X. Nilipomaliza kazi zangu nikabonyeza lift ili niweze kushuka ground floor, kipindi naingia kwenye lift kuna mdada wa kibongo (alikuwa amevaa vizuri tu) alikuwa anashuka na humo ndani walikuwa wahindi wawili wanawake wamebana pua.

Mara ya kwanza nilifikiri labda wanabana pua zao kwasababu zao binafsi. Kumbe sababu yao ilikuwa ni sisi waswahili tuliopanda ndani ya lift tulikuwa tunanuka!!!! Kwakweli nilijisikia vibaya sana, kwa hiko kilichotokea.

Nina uhakika asilimia mia kabisa mimi na hata wale abiria wenzangu(waswahili) tulikuwa hatuniki hata kidogo ila ni ubaguzi uliopitiliza kwa hawa Washenzi wa kihindi. Kweli nipo kwenye ardhi yangu ya Tanzania lakini bado nabaguliwa!!!!!??!!! Hawa watu ipo dawa yao inashemka tu, ipo siku watakuja kutuheshimu sisi waswahili.

Poleni sana watanzania wenzangu ambao hamumalizi siku moja bila ya kunyanyaswa na wahindi.
Hamna bana, sisi waafrika tuna harufu yetu na wahindi nao wanaharufu yao mbayaa!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom