Leo nimebaguliwa na Wahindi

Leo nimebaguliwa na Wahindi

Status
Not open for further replies.
Mkuu si ungewauliza tu kwanini wamebana pua zao?

Hakuna haja ya kuwauliza.Duniani ukisafiri kuna kitu kinaitwa MIND YOUR OWN BUSINESS.Wabane pua au makalio IT IS NONE OF YOUR BUSINESS.Dunia hii ukikalia kuangalia kila mtu anakuangaliaje au kakubaniaje pua n.k Utaishia kuwa kichaa.Wengine wana allergy yawezekana hiyo lift ilikuwa na vumbi wakabana pua zao.Anyway iwe wamebana pua kwa sababu yeyote kwangu is none of my bussiness ningeeendelea na mambo yangu na nisingehangaika hata kuwatazama nyuso zao.
 
watu wanasema kuna mmoja alikuwa ananuka,mimi hili jambo nalikataa kabisa,kipindi mimi naingia kwenye lift,yule mdada alikuwa anashuka kwenye lift na muda mdada anashuka,wale wahindi walikuwa wameachia pua zako..ghafla sisi tunapanda kwenye lift(mimi na mdada mwininge) na wao ghafla wameziba tena pua na kuongelea puani.Hata kama mimi ninanuka au yule dad a mwingine aliyepanda,lakini inawezekana vipi ndani ya sekunde hazizidi tano, mtu upate harufu mbaya ya mwenzio mpaka uzibe pua!!!

Kitendo kilichotokea ni cha kibaguzi kabisa lakini wapo wapuuzi wachache waandika kwa kuwapa okay wahindi kwa walichofanya!!! waswahili ni watu wa hovyo kabisa. Ndio maana wengi maofisini wanaishi kwa kujipendekeza pendekeza tu na wapo tayari kuwanyanyasa waswahili wenzio ili muhindi afurahi.

Asante sana waswahili wenzangu.
Mkuu, Tafadhali usijumlishe wahindi wote sema baadhi !! Na kama ubaguzi hata sisi wazawa tunayo tabia hiyo!!!! Manosa Mkuu, vipi unatoa tuhuma na kuchanganya maudhui..... bila kukadiria !! kujifanya mjanja ni hulka ya binaadamu hata mimi na wewe na engine hufanya ujanja katika maisha!!
Tujifunze kuishi katika mazingizra yote !! Wewe pia ziba au bana pua yako !! au funika mdomo wako!! au ziba masikio yako !!
 
Last edited by a moderator:
Habari,

Leo mida ya saa tisa hivi, nilikuwa Ahaad apartment(Morogoro rd/Libya street) floor X. Nilipomaliza kazi zangu nikabonyeza lift ili niweze kushuka ground floor, kipindi naingia kwenye lift kuna mdada wa kibongo (alikuwa amevaa vizuri tu) alikuwa anashuka na humo ndani walikuwa wahindi wawili wanawake wamebana pua.

Mara ya kwanza nilifikiri labda wanabana pua zao kwasababu zao binafsi. kumbe sababu yao ilikuwa ni sisi waswahili tuliopanda ndani ya lift tulikuwa tunanuka!!!! Kwakweli nilijisikia vibaya sana, kwahiko kilichotokea.

Ninauhakika asilimia mia kabisa mimi na hata wale abiri wenzangu(waswahili) tulikuwa hatuniki hata kidogo ila ni ubaguzi uliopitiliza kwa hawa Washenzi wa kihindi. Kweli nipo kwenye ardhi yangu ya tanzania lakini bado nabaguliwa!!!!!??!!! Hawa watu ipo dawa yao inashemka tu, ipo siku watakuja kutuheshimu sisi waswahili.

Poleni sana watanzania wenzangu ambao hamumalizi siku moja bila ya kunyanyaswa na wahindi.

Kwanini hukuwshoji kisa cha kubehave hivyo?Natamani ningekuwa mimi, nimeishawakomesha wengi sana wenye tabia za kishenzi kama hao. Kuna wakati nilikuwa kwenye nchi moja ya ulaya , jamaa mmoja wa kizungu tuliepanda nae treni akawa ananifanyia mzaha wa kibaguzi, nilimtukana mpaka akakaa chini kwa aibu.
Cha ajabu ukiwa Ulaya, watu huwa hawaingilii ugomvi na watawatazama tu, cha zaidi watapiga simu polisi.
 
itakua greece hiyo
 
Haijalishi kuna aliyekua ananuka au la ni tabia mbaya tena sana kubana pua ukiwa na binadamu wenzio...tena una adabu wewe mimi ningewasomesha...pumbavu..

Kila binadamu ananuka ndio maana tunaoga, tunajipulizia perfume, tunajifukiza udi n.k
 
endelea kufanya uchunguzi kabla ya kuhukumu,pengine kuna kitu kina wadhuru.

Nilishawahi kutana na kadhia hiyo kwenye nchi moja ya kiarabu,kila mfilipino ninae kutana nae naona ameziba pua nikajua ni kwa ajili yetu sisi waafrika labda tuna nuka lakini nikaja kupata jibu kuwa wanapata shida sana najua pua zao zina umia hapo ndipo nilipo toa imani potofu niliyo kuwa nayo,labda jaribu kufuatilia then upate jibu muafaka usi hukumu bila kupata ushahidi.
 
Mr.mzumbe
Kuna watu wapo very sensitive na harufu, iwe harufu mbaya au mzuri kwako... hata hayo mapafyumu yenu wengine yanawakera! Je, umejuaje kwamba walibana pua kwa sababu waliona mnanuka na si kwamba mmoja wenu alijipulizia manukato ambayo yaliwadhiki? In addition, lift hupandwa na watu wengi the whole day long... wanaonukia vizuri na wanaotoa harufu mbaya... na wakati mwingi inakuwa sealed! What, if kabla yenu kulikuwa na watu walipanda ambao mmoja wao aliacha harufu humo lakini nyie waswahili wenzetu mliozoea miharufu hamku-feel hizo harufu?
 
Last edited by a moderator:
Habari,

Leo mida ya saa tisa hivi, nilikuwa Ahaad apartment(Morogoro rd/Libya street) floor X. Nilipomaliza kazi zangu nikabonyeza lift ili niweze kushuka ground floor, kipindi naingia kwenye lift kuna mdada wa kibongo (alikuwa amevaa vizuri tu) alikuwa anashuka na humo ndani walikuwa wahindi wawili wanawake wamebana pua.

Mara ya kwanza nilifikiri labda wanabana pua zao kwasababu zao binafsi. kumbe sababu yao ilikuwa ni sisi waswahili tuliopanda ndani ya lift tulikuwa tunanuka!!!! Kwakweli nilijisikia vibaya sana, kwahiko kilichotokea.

Ninauhakika asilimia mia kabisa mimi na hata wale abiri wenzangu(waswahili) tulikuwa hatuniki hata kidogo ila ni ubaguzi uliopitiliza kwa hawa Washenzi wa kihindi. Kweli nipo kwenye ardhi yangu ya tanzania lakini bado nabaguliwa!!!!!??!!! Hawa watu ipo dawa yao inashemka tu, ipo siku watakuja kutuheshimu sisi waswahili.

Poleni sana watanzania wenzangu ambao hamumalizi siku moja bila ya kunyanyaswa na wahindi.
Pole sana my ndugu
Hiyo yako ni ndogo
Sisi kulikuwa na vyoo
vimeandikwa
African,Indian na European
Tukaikomesha sasa imebaki kwenye baadhi ya doc. za hospital fulani.
Pia hatukuruhusiwa kuvaa viatu vinavyolia sakafuni.
Hivi tunashinwa kuwakimbiza hawa jamaa kimyakimya tukajimilikisha mali zao.??
 
Pengine kuna sababu iliyowafanya wazibe pua!
 
Mhindi kubana pua ni sawana nyani kucheka kundule,hakuna watu wachafu kama wahindi,si wanawake si wanaume! hao waliobana pua ni kuwasamehe wengi waowana matatizo ya kisaikolojia ya kuwa wahindi,sijui kama Mumbai wanaweza kubana pua,kwanini kote kunanuka!
 
Hawa watu wabaguzi kwa asili. Nilifanya kazi ofisi yao moja nikiwa na taaluma yangu. Eti vyoo yva ofisi ni vya wahindi tu, mimi niende kwa wachora vinyago kukojoa umbali wa mita mia hivi vyoo vya kulipia, wakati vibarua wakiindi wanajisaidia vyoo hivyo vya ofisini.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom