Leo nimebaguliwa na Wahindi

Leo nimebaguliwa na Wahindi

Status
Not open for further replies.
Habari,

Leo mida ya saa tisa hivi, nilikuwa Ahaad apartment(Morogoro rd/Libya street) floor X. Nilipomaliza kazi zangu nikabonyeza lift ili niweze kushuka ground floor, kipindi naingia kwenye lift kuna mdada wa kibongo (alikuwa amevaa vizuri tu) alikuwa anashuka na humo ndani walikuwa wahindi wawili wanawake wamebana pua.

Mara ya kwanza nilifikiri labda wanabana pua zao kwasababu zao binafsi. kumbe sababu yao ilikuwa ni sisi waswahili tuliopanda ndani ya lift tulikuwa tunanuka!!!! Kwakweli nilijisikia vibaya sana, kwahiko kilichotokea.

Ninauhakika asilimia mia kabisa mimi na hata wale abiri wenzangu(waswahili) tulikuwa hatuniki hata kidogo ila ni ubaguzi uliopitiliza kwa hawa Washenzi wa kihindi. Kweli nipo kwenye ardhi yangu ya tanzania lakini bado nabaguliwa!!!!!??!!! Hawa watu ipo dawa yao inashemka tu, ipo siku watakuja kutuheshimu sisi waswahili.

Poleni sana watanzania wenzangu ambao hamumalizi siku moja bila ya kunyanyaswa na wahindi.

Siku nyingine wakifanya hivyo waambie kwamba, mbona kule india Mumbai(Bombay zamani) wanaume kwa wanawake wanakunya barabani na hawashiki pua? Wakifika huku ndo wanakuwa wajanja, pumbafu zao.
 
Serikali yenu ya CCM ndiyo inayowahifadhi hawa kwenye majumba ya msajili,kisha wanagombea uongozi wa serikali za mitaa,serikali yenu ya CCM pia inashirikiana nao kuwaibia watanzania,rejea Yusuf Manji(Import support),JeetuPatel(Radar,EPA),Harbinder Singh Seth(Escrow) et al(listi bado ndefu sana)

NB:Wahindi wanapigana vikumbo ikulu,kama wapo Bombay.
 
Sijui ni lini mgombea wa Urais atakuja na sera ya kuwakimbiza hawa wapuuzi. Atapata kura nyingi sana. Wakati mwingine nawachukiaga UKAWA bure tu ila UKAWA wakiichukua hii nchi hao Wahindi wataipata habari yao. Kuna baadhi ya watu wakubwa wanawapa vichwa hawa watu kwasababu ya rushwa.

kweli kabisa
 
story za kioga kama hizi sizipendi kabisa!ungetujulisha jinsi ulivyowapiga!ushanihqribia siku

watu wanasema kuna mmoja alikuwa ananuka,mimi hili jambo nalikataa kabisa,kipindi mimi naingia kwenye lift,yule mdada alikuwa anashuka kwenye lift na muda mdada anashuka,wale wahindi walikuwa wameachia pua zako..ghafla sisi tunapanda kwenye lift(mimi na mdada mwininge) na wao ghafla wameziba tena pua na kuongelea puani.Hata kama mimi ninanuka au yule dad a mwingine aliyepanda,lakini inawezekana vipi ndani ya sekunde hazizidi tano, mtu upate harufu mbaya ya mwenzio mpaka uzibe pua!!!

Kitendo kilichotokea ni cha kibaguzi kabisa lakini wapo wapuuzi wachache waandika kwa kuwapa okay wahindi kwa walichofanya!!! waswahili ni watu wa hovyo kabisa. Ndio maana wengi maofisini wanaishi kwa kujipendekeza pendekeza tu na wapo tayari kuwanyanyasa waswahili wenzio ili muhindi afurahi.

Asante sana waswahili wenzangu.
 
Haijalishi kuna aliyekua ananuka au la ni tabia mbaya tena sana kubana pua ukiwa na binadamu wenzio...tena una adabu wewe mimi ningewasomesha...pumbavu..
 
Hao wanajifaya wajanja huku kwao na uwarabuni ni takataka kabisa hata vyoo hawana
 
Mkuu siku nyingine uwe na pistol, wakikufanyia tena uwapasue... Tehe Tehe!
 
Objectively speaking, Wabongo wengi wana BO (kama unabisha panda dala), na isitoshe lifti nyingi za Bongo zimechoka na zinanuka.
 
Pengine una kikwapa hujijui.
Kweli kabisa, Kuna watu wengi wengine wananuka vikwapa vya uswahilini halafu ndani ya lift ni sehemu
ndogo sana wanawakirihisha wengine pumbafu sana hawa Chadema wabaguzi hata matamuzi ya lift
hawajui siku nyingine Mr.mzumbe uwe unatumia ngazi kwenye majengo ziko kwa watu wa type yako
 
Umepoteza opportunity Adimu Sana! Ungewatukana Kidogo bwana ingependeza!

UOTE=Mr.mzumbe;11818325]Habari,

Leo mida ya saa tisa hivi, nilikuwa Ahaad apartment(Morogoro rd/Libya street) floor X. Nilipomaliza kazi zangu nikabonyeza lift ili niweze kushuka ground floor, kipindi naingia kwenye lift kuna mdada wa kibongo (alikuwa amevaa vizuri tu) alikuwa anashuka na humo ndani walikuwa wahindi wawili wanawake wamebana pua.

Mara ya kwanza nilifikiri labda wanabana pua zao kwasababu zao binafsi. kumbe sababu yao ilikuwa ni sisi waswahili tuliopanda ndani ya lift tulikuwa tunanuka!!!! Kwakweli nilijisikia vibaya sana, kwahiko kilichotokea.

Ninauhakika asilimia mia kabisa mimi na hata wale abiri wenzangu(waswahili) tulikuwa hatuniki hata kidogo ila ni ubaguzi uliopitiliza kwa hawa Washenzi wa kihindi. Kweli nipo kwenye ardhi yangu ya tanzania lakini bado nabaguliwa!!!!!??!!! Hawa watu ipo dawa yao inashemka tu, ipo siku watakuja kutuheshimu sisi waswahili.

Poleni sana watanzania wenzangu ambao hamumalizi siku moja bila ya kunyanyaswa na wahindi.[/QUOTE]
 
Hawa makanjubhai nawachukia sana..siku nikiwa waziri wa nyumba na makazi nawatimua wote kule kwenye flat za nhc kisha naweka wabongo..manina zao!!
 
mm naonaga nyerere alikosea sana kuwafukuza wazungu na akawaacha hawa wadudu yani hawanaga msaada wowote zaidi ya dharau.
 
Kuna jamaa yangu aliwatukana nchi nzima hadi Nyerere wao Mahatma Gandhi pale Nailipichi Fisheries Mwanza.(NPFL)

Yaani jamaa alifoka balaa na kazi akaacha.

Imagine unafanyakazi garage halafu mdosi(bosi) akuite kwake kwenda kumfulia nguo then ukute nguo zote ni chupi tena mafurushi mawili za me na ke yaani sandarusi mbili kama pesa za ESCROW.

Nimesoma nao baadhi secondary wako poa tu tatizo hao waliokuja tz ukubwani ama hawajawahi kuchangamana sana na wamatumbi ndo huwa wabaguzi wa kiwango hicho.
 
watu wanasema kuna mmoja alikuwa ananuka,mimi hili jambo nalikataa kabisa,kipindi mimi naingia kwenye lift,yule mdada alikuwa anashuka kwenye lift na muda mdada anashuka,wale wahindi walikuwa wameachia pua zako..ghafla sisi tunapanda kwenye lift(mimi na mdada mwininge) na wao ghafla wameziba tena pua na kuongelea puani.Hata kama mimi ninanuka au yule dad a mwingine aliyepanda,lakini inawezekana vipi ndani ya sekunde hazizidi tano, mtu upate harufu mbaya ya mwenzio mpaka uzibe pua!!!

Kitendo kilichotokea ni cha kibaguzi kabisa lakini wapo wapuuzi wachache waandika kwa kuwapa okay wahindi kwa walichofanya!!! waswahili ni watu wa hovyo kabisa. Ndio maana wengi maofisini wanaishi kwa kujipendekeza pendekeza tu na wapo tayari kuwanyanyasa waswahili wenzio ili muhindi afurahi.

Asante sana waswahili wenzangu.

Unasema walikuwa wanaongelea puani? Isije ikawa ni mashoga hao maana ndio wenye tabia za kujisikia
 
Habari,

Leo mida ya saa tisa hivi, nilikuwa Ahaad apartment(Morogoro rd/Libya street) floor X. Nilipomaliza kazi zangu nikabonyeza lift ili niweze kushuka ground floor, kipindi naingia kwenye lift kuna mdada wa kibongo (alikuwa amevaa vizuri tu) alikuwa anashuka na humo ndani walikuwa wahindi wawili wanawake wamebana pua.

Mara ya kwanza nilifikiri labda wanabana pua zao kwasababu zao binafsi. kumbe sababu yao ilikuwa ni sisi waswahili tuliopanda ndani ya lift tulikuwa tunanuka!!!! Kwakweli nilijisikia vibaya sana, kwahiko kilichotokea.

Ninauhakika asilimia mia kabisa mimi na hata wale abiri wenzangu(waswahili) tulikuwa hatuniki hata kidogo ila ni ubaguzi uliopitiliza kwa hawa Washenzi wa kihindi. Kweli nipo kwenye ardhi yangu ya tanzania lakini bado nabaguliwa!!!!!??!!! Hawa watu ipo dawa yao inashemka tu, ipo siku watakuja kutuheshimu sisi waswahili.

Poleni sana watanzania wenzangu ambao hamumalizi siku moja bila ya kunyanyaswa na wahindi.

.... ubaguzi wa rangi, tena ndani ya nchi yetu
wenyewe! Mtikila hakukosea kuwaita magabachori !
 
ukute marashi ulipulizia mtu hajisikii vizur nayo..!!!! maana kuna jamaa mmoja workmate wangu anaspray moja anapulizia duuuuh! naona huwa anafungua kopo anajimwagia kabisa!! akiingia tu ofcn watu utasikia wanakohoa ghafla! halaf ni zile ofc za pool basi taabu tupu yaan!!!
 
Mie ningesema wanisikie vizuri huku nawaangalia kwamba wananuka ngozi zao na mnatoa harufu mbaya na harufu mnaisiakia wenyewe kwa hiyo mnaziba pua zenu hadi mtakapolala...na kuishia kuwa mfyuuuuu ndefu na kusema nasikia kichefuchefu mnanuka sana.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom