Leo nimebaguliwa na Wahindi

Leo nimebaguliwa na Wahindi

Status
Not open for further replies.
Habari,

Leo mida ya saa tisa hivi, nilikuwa Ahaad apartment(Morogoro rd/Libya street) floor X. Nilipomaliza kazi zangu nikabonyeza lift ili niweze kushuka ground floor, kipindi naingia kwenye lift kuna mdada wa kibongo (alikuwa amevaa vizuri tu) alikuwa anashuka na humo ndani walikuwa wahindi wawili wanawake wamebana pua.

Mara ya kwanza nilifikiri labda wanabana pua zao kwasababu zao binafsi. kumbe sababu yao ilikuwa ni sisi waswahili tuliopanda ndani ya lift tulikuwa tunanuka!!!! Kwakweli nilijisikia vibaya sana, kwahiko kilichotokea.

Ninauhakika asilimia mia kabisa mimi na hata wale abiri wenzangu(waswahili) tulikuwa hatuniki hata kidogo ila ni ubaguzi uliopitiliza kwa hawa Washenzi wa kihindi. Kweli nipo kwenye ardhi yangu ya tanzania lakini bado nabaguliwa!!!!!??!!! Hawa watu ipo dawa yao inashemka tu, ipo siku watakuja kutuheshimu sisi waswahili.

Poleni sana watanzania wenzangu ambao hamumalizi siku moja bila ya kunyanyaswa na wahindi.

ungewatolea ushuzi ili wazibe pua vizur,waisikilizie "sauti ya zege"
 
we mpumbavu sana,uko nchini mwako halafu unafanyiwa hivyo umeangalia tu!! ilitakiwa ulete post humu ikisema unahudhuria mahakamani kwa kosa la kuvunja shigo wahindi. Mpuuzi sana we mwanaume kama mabinti.

Haaaaaaaa eti kwa kuvunja shingo lol
 
Wahindi ni wabaguzi sana

Huwaita weusi nyani lakini kwa kua wengi hamjui kihindi mnakua hamuelewi

Ukisikia mhindi anasema KALOU ujue anasema monkey
 
mi ningewatema mate
ht diva kwenye page yake alilalamikia ubaguzi huo huo
mi siwapendi kweli
 
Wachaga tukiingia Ikulu hawa Wahindi wote watahama kule mjini kwenye maghorofa.

Itabidi wachague moja, wahamie Mwarusembe au warudi kwao kwasababu hata Kibamba, Mbezi hawataruhusiwa kuishi kabisa.

Hivi kuna Rais Tz anaweza kuingia Ikulu pasipo kuwa na mkono wa wahindi?
 
Kuna watu wanaonuka kama wahindi

Mitunguu swaumu na mispice wanayokula???
 
Habari,

Leo mida ya saa tisa hivi, nilikuwa Ahaad apartment(Morogoro rd/Libya street) floor X. Nilipomaliza kazi zangu nikabonyeza lift ili niweze kushuka ground floor, kipindi naingia kwenye lift kuna mdada wa kibongo (alikuwa amevaa vizuri tu) alikuwa anashuka na humo ndani walikuwa wahindi wawili wanawake wamebana pua.

Mara ya kwanza nilifikiri labda wanabana pua zao kwasababu zao binafsi. kumbe sababu yao ilikuwa ni sisi waswahili tuliopanda ndani ya lift tulikuwa tunanuka!!!! Kwakweli nilijisikia vibaya sana, kwahiko kilichotokea.

Ninauhakika asilimia mia kabisa mimi na hata wale abiri wenzangu(waswahili) tulikuwa hatuniki hata kidogo ila ni ubaguzi uliopitiliza kwa hawa Washenzi wa kihindi. Kweli nipo kwenye ardhi yangu ya tanzania lakini bado nabaguliwa!!!!!??!!! Hawa watu ipo dawa yao inashemka tu, ipo siku watakuja kutuheshimu sisi waswahili.

Poleni sana watanzania wenzangu ambao hamumalizi siku moja bila ya kunyanyaswa na wahindi.
duuh ha2akunikuta mimi na nimeenda india tanzania safi mara elfu ninge washushua wangestaajabu....we ukitaka kumpatia muhindi mwambie umefika kwao hawezi kukudharau asilani kwanza ataanza kuona haya ...india mmmh isikie ivyo ivyo
 
Kweli hawa wahindi ni wabaguzi sana kwenye ardhi yetu ila cc tunawaangalia tu cc co wajinga at.pia tunawaona mitaan na kwenye magest wakiingia na ma dada zetu mitaani kwa mpango wa rushwa kazini kwenye viwanda vyao vya kishenzi et watawapa kazi kwenye viwanda et wawe vibalua wa kudumu.wakati mabint zao wameazibit wasi dill na cc waswahili na wanawacctiza isitokee na ikitokea adhabu kali wanapewa ikiwa pamoja na kumhamisha nchin,Atakumbukwa mzee karume alivyo amua waarabu na wazanzibar nyakati hizo
 
Wachaga tukiingia Ikulu hawa Wahindi wote watahama kule mjini kwenye maghorofa.

Itabidi wachague moja, wahamie Mwarusembe au warudi kwao kwasababu hata Kibamba, Mbezi hawataruhusiwa kuishi kabisa.

Wale wahindi wa Moshi na Arusha walikimbia wenyewe, watu wengi mnawatetemekea sana hawa wahindi ndio maana wanawadharau
 
Habari,

Leo mida ya saa tisa hivi, nilikuwa Ahaad apartment(Morogoro rd/Libya street) floor X. Nilipomaliza kazi zangu nikabonyeza lift ili niweze kushuka ground floor, kipindi naingia kwenye lift kuna mdada wa kibongo (alikuwa amevaa vizuri tu) alikuwa anashuka na humo ndani walikuwa wahindi wawili wanawake wamebana pua.

Mara ya kwanza nilifikiri labda wanabana pua zao kwasababu zao binafsi. kumbe sababu yao ilikuwa ni sisi waswahili tuliopanda ndani ya lift tulikuwa tunanuka!!!! Kwakweli nilijisikia vibaya sana, kwahiko kilichotokea.

Ninauhakika asilimia mia kabisa mimi na hata wale abiri wenzangu(waswahili) tulikuwa hatuniki hata kidogo ila ni ubaguzi uliopitiliza kwa hawa Washenzi wa kihindi. Kweli nipo kwenye ardhi yangu ya tanzania lakini bado nabaguliwa!!!!!??!!! Hawa watu ipo dawa yao inashemka tu, ipo siku watakuja kutuheshimu sisi waswahili.

Poleni sana watanzania wenzangu ambao hamumalizi siku moja bila ya kunyanyaswa na wahindi.

Uliwauliza kwanin wamebana pua??
 
Pengine una kikwapa hujijui.

Chei chei dada yangu.....tatizo la watanganyika hawajijui wanavyonuka vikwapa, harufu wameshazizowea dada yangu. Vikwapa vya Watanganyika vinanuka kuliko samaki alieharibika. Hao wahindi wanaba pua kwa sababu ya vikwapa lift haina dirisha ya kupunguza harufu, hata kama ningekuwa mimi ningeziba pua nashindwa kuvumilia harufu za vikwapa.

Mr.mzumbe unatumia hii kitu?

roll.jpg
 
Ya maiko jakson aliibana hivyo lakini baadae ilikuja anguka. We vipua vyenyewe kama msumari halafu wanavibana? Watakuwa walijijambia hao, sasa kuua so ndo wakajifanya sio wao.
 
Kubana pua kwenye lift hata wife wangu hufanya hivyo ingawa ni mweusiii tiii nilipomuulliza kwanini unafanya hivyo akaniambia hewa ya kwenye lifti ni nzito na huwa anaona bora kubana pua ili isimsumbue.Bila shaka hao wahindi si wabaguzi kwa maana ya uchafu bali wamefanya hivyo kujihami na hewa nzito.pia wahindi si wabaguzi wa kihivyo ubaguzi wao upo kwenye kuutetea utajiri wao tu hivyo hata kuoana na mweusi maskini ni kazi ngumu sasa hayo yanafanywa na hata na wabongo wenzetu kwa maana matajiri kwa matajiri.Acha fikra za ajabu kihivyo eti unabaguliwa ukitaka usibaguliwe tafuta pesa uwe tajiri mfano angalia Dangote zulia lake linattandikwa na mzungu pia angalia Mengi mtu anayesimamia shughuli zake zote ni muhindi pia kunamkaburu profesa kaajiriwa na mengi upande wa madini na anamnyenyekea mengi na kupokea amri zote.Acha hofu kijana wa kiafrika mwenzangu ubaguzi upo duniani kote hata wazungu kwa wazungu kwa weusi kwa weusi ila kumbuka ukishakuwa na mapesa mengi hawataweza kukubagua maana pesa ndiyi nguvu.
 
......labda ulikuwa unanuka kikwapa, hapa bongo watu wengi haswa wanaume hawajui kunitumia deodorant.

Utakuta kwapa limetoa jasho na harufu mbaya.

Haswa humo kwenye maelevator huwa napanda sana na wanuka kikwapa.
 
duh! pole kwa hiyo nawe unabana pua? sasa nimegundua kwa nini waimba bongo fleva wanabana pua
 
tena mi huwa nakereka kweli hawa madada zetu wakibongo wanavyowashobokea haya kuchkuch hotahe!
 
Bwana wee lift zenyewe hata upepo hazina , kama umetoa upepo au kikwapa kwanini wasi zibe pua? Hata mie akija mzungu au muhindi ananuka namtoa tu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom