yameoana yanakaribia kupeana mimba!Mtupe dondooo..tupo Zanzibar tunajenga chama pia..Si mnajua huku Magamba yamegandana???
Dirty, Smellly, hocus-pocus, childish!Nasikia zile fuso za CDM zinafanya kazi yake zinasomba watu kila kona!
Watu wamekusanywa wanapewa chakula na bahasha ya kaki ndani kuna 500, kuna shamrashara kupita kiasi vijana ambao hawana kazi ndio wengi

dah watu ni wengi mno chadema inapendwa Arusha.

Nasikia zile fuso za CDM zinafanya kazi yake zinasomba watu kila kona!

Watu wamekusanywa wanapewa chakula na bahasha ya kaki ndani kuna 500, kuna shamrashara kupita kiasi vijana ambao hawana kazi ndio wengi
Nasikia zile fuso za CDM zinafanya kazi yake zinasomba watu kila kona!
Watu wamekusanywa wanapewa chakula na bahasha ya kaki ndani kuna 500, kuna shamrashara kupita kiasi vijana ambao hawana kazi ndio wengi

Mkuu! Yani ni soo! Umepata hiyo ya kuagana na ndg CCM? Nimeshindwa hata cha kurusha! Upo upande gani hp uwanjani? Mi nipo mbele ya maspika.
Angalizo; siku hiyo msidanganye watu eti mnakabidhi kadi kwa Nape tunajua kadi zote za CDM mlinyang'anywa Dodoma.na sisi madiwani tuliofukuzwa chadema tutafanya mambo yafuatayo:
1. tutakwenda mahakamani kupinga udikteta uliofanywa na viongozi wa chadema kutufukuza chaguo la wana Arusha
2. tutaandaa mkutano mkubwa jijini arusha ili kujibu mapigo ya mkutano wa leo pia kuwaeleza wananchi kinaga ubaga nini kinaendelea ndani ya chadema, na mchakato wa uchaguzi ulivyoenda na maovu yanayofanywa na Lema kuhujumu Arusha
Nasikia zile fuso za CDM zinafanya kazi yake zinasomba watu kila kona!
Watu wamekusanywa wanapewa chakula na bahasha ya kaki ndani kuna 500, kuna shamrashara kupita kiasi vijana ambao hawana kazi ndio wengi
watu ni wengi sana hapa anasubiriwa Mbowe...
na sisi madiwani tuliofukuzwa chadema tutafanya mambo yafuatayo: