Leo ni leo huku kwetu Arusha (Mkutano wa CHADEMA)

hivi najiuliza why madiwani wa arusha? mi nilijua ndo sehemu yatakapoanzia MACHANGES tunayotaka,mbona wabunge wetu wapo makini,kutambua hilo jaribu siku yyte kusikiliza kikao cha bunge hata leo,uone wabunge wa CHADEMA wanavyotoa point. Pigeni chini wote hao,pamoja sana
 
embu anzeni basi kutuwekea hata picha moja tu ya umati, maana maneno yanakuwa mengi kuliko vitendo, au shamrashamra zinawapumbaza mpaka mnasahau kutuhabarisha?
 
Nasikia zile fuso za CDM zinafanya kazi yake zinasomba watu kila kona!
Watu wamekusanywa wanapewa chakula na bahasha ya kaki ndani kuna 500, kuna shamrashara kupita kiasi vijana ambao hawana kazi ndio wengi
 
tuko pamoja na wana arusha,endeleeni kutujuza yanayojiri huko.lazima ccm ijue watanzania wa sasa si kama wa miaka ile waliokua wanadanganyika kirahisi.harakati zinaendelea mpaka kieleweke.
 
Nasikia zile fuso za CDM zinafanya kazi yake zinasomba watu kila kona!
Watu wamekusanywa wanapewa chakula na bahasha ya kaki ndani kuna 500, kuna shamrashara kupita kiasi vijana ambao hawana kazi ndio wengi
Dirty, Smellly, hocus-pocus, childish!
 
Nasikia zile fuso za CDM zinafanya kazi yake zinasomba watu kila kona!<br />
Watu wamekusanywa wanapewa chakula na bahasha ya kaki ndani kuna 500, kuna shamrashara kupita kiasi vijana ambao hawana kazi ndio wengi
<br />
<br />
wacha unafiki wewe mbona me nipo hapa muda mrefu sijaona we najua utakuwa magamba
 
Nasikia zile fuso za CDM zinafanya kazi yake zinasomba watu kila kona!
Watu wamekusanywa wanapewa chakula na bahasha ya kaki ndani kuna 500, kuna shamrashara kupita kiasi vijana ambao hawana kazi ndio wengi

vp mkuu! vile vituo vyako vya mafuta umeshavifungua? hapo kwenye bold nyekundu, ulitaka waende makatibu wa ccm?
 
na sisi madiwani tuliofukuzwa chadema tutafanya mambo yafuatayo:
1. tutakwenda mahakamani kupinga udikteta uliofanywa na viongozi wa chadema kutufukuza chaguo la wana Arusha

2. tutaandaa mkutano mkubwa jijini arusha ili kujibu mapigo ya mkutano wa leo pia kuwaeleza wananchi kinaga ubaga nini kinaendelea ndani ya chadema, na mchakato wa uchaguzi ulivyoenda na maovu yanayofanywa na Lema kuhujumu Arusha
Angalizo; siku hiyo msidanganye watu eti mnakabidhi kadi kwa Nape tunajua kadi zote za CDM mlinyang'anywa Dodoma.
 
Nasikia zile fuso za CDM zinafanya kazi yake zinasomba watu kila kona!
Watu wamekusanywa wanapewa chakula na bahasha ya kaki ndani kuna 500, kuna shamrashara kupita kiasi vijana ambao hawana kazi ndio wengi

Staili ya kubeba watu kwenye fuso ni ya CCM na kimada wake CUF.
 
na sisi madiwani tuliofukuzwa chadema tutafanya mambo yafuatayo:
1. tutakwenda mahakamani kupinga udikteta uliofanywa na viongozi wa chadema kutufukuza chaguo la wana Arusha

2. tutaandaa mkutano mkubwa jijini arusha ili kujibu mapigo ya mkutano wa leo pia kuwaeleza wananchi kinaga ubaga nini kinaendelea ndani ya chadema, na mchakato wa uchaguzi ulivyoenda na maovu yanayofanywa na Lema kuhujumu Arusha

UNGEJUA HAO MADIWANI WANASEMA HIVO KUJIFARIJI TU USINGESEMA HAYO UNAYOSEMA, HIVI CHADEMA WALIVO MAKINI KWA KUFIKIRIA KWA UBONGO TENA WA MBELE UNAFIKIRI WATAKURUPUKA KUFANYA MAAMUZI YA KIPUUZI ETI MJE KUWASHINDA THUBUTU!!!
hAMNA SERA NA HATA MKIENDA MAHAKAMANI ISHAKULA KWENU MANA NYIE NI MAGAMBA MLIOKUJA KUICHAFUA CDM ,ILA MMESHASHTUKIWA .

"CHADEMA HOYEEE!!!"
 
Back
Top Bottom