Kwa kweli watangazaji wa leo yaani msoma hhabari na yule wa biashara walionekana kuwa na stress hadi wanatia huruma. Sijui nini kimewakutaWamepiga dakika 15 zote ni magufuli tuuuui
Ndugu yangu ingawa huwa kuna kadharau ambako huelekezwa kwa wanahabari, lakini ukweli ni kwamba hao jamaa wana akili nyingi mno. Ile taarifa kuwa "kama kipindi maalum" imeleta matokeo ambayo yanamvua nguo mtu!Kweli lazima heshima iwepo hongera Rais kuturudisha kenye mstari. Leo taarifa ya habari ITV kama kipindi malumu. Kumbe inaezekana kuwa na taarifa ya habari yenye tija kwa Taifa.
No tymHela za mshahara ama?,
Rais amemtuma Kinana kutibiwa India. Muda sio mrefu nadhan atamwagiza kupona
kufikiri nako ni uwezoHivi anafikiri ...
sasa huoni uovu wote wa unaempenda, be optmistic .ila always una sapoti ata akikoseaMimi mchaga ndugu yangu na nitasema kweli daima fitina kwangu mwili! Unakumbuka ndugu yangu?
Niliposikia tu hayo maneno jibu likaja fasta kwamba hata mkuu wa wilaya ya Arumeru kumweka ndani yule mwandishi wa ITV Halfani Lihundi lilikuwa ni agizo toka Ikulu.Ndio maana huyo DC kagomea pia wito wa bunge.Kazi tunayo awamu hii aise!!Hawa ndio Magu aliwapondea kua wanaongoza kwa kutaarifu makala ndefu ikitokea mauaji ya wakulima na wafugaji. Ha ha ha

nipo mkuuUpo?
Well said. sisi watu wa ajabu duniani.Mimi nimeamua kuangalia Enews kuliko kumuangalia Dictator.. ...
Ukisikia ngoma ina vuma sanaaa, inakaribia kupasuka.Wanachofanya hao ITV ni kutumia ile principle ya mtumikie 'kafir' upate mradi wako......
Hao jamaa najua wanamvutia pumzi tu......
Hebu tumuulize Magu, hivi suala la yule askari kutoa bastola yake hadharani na kumtishia nayo Mheshimiwa Nape yeye anaiona habari hiyo haikupaswa kuwa ni headline ya vyombo vya habari vya Leo?
Hivi haoni kama na Nape angereact hiyo Jana kungetokea umwagikaji wa damu?
Hivi Magu anafikiri TZ itakuwa nchi ya viwanda kwa kuwatumia maaskari wake kutumia silaha zao za moto kuwatishia raia wasio na hatia?