Leo ITV habari kama kipindi maalumu

Jamaa anapiga mkwara hata kwa vyombo binafsi...ilibidi akazie vile chombo cha una yaani TBC. Ikimbukwe kuwa vyombo binafsi vinajiendesha na havipati ruzuku serikalini. Wanachitakiwa kuripoti kitu cha ukweli kiwe cha maandamano ya wakulima au la. TBC imeshindwa kuripori matatizo na migogoro ya wakulima nani atawasemea wakulima hawa? Kwa hiyo viwe winariport habari za kuitukuza serikali tu kweli?
 
Kweli lazima heshima iwepo hongera Rais kuturudisha kenye mstari. Leo taarifa ya habari ITV kama kipindi malumu. Kumbe inaezekana kuwa na taarifa ya habari yenye tija kwa Taifa.

Vipi kesho atapambwa front page nipashe na guardian?
 
Jamaa anapiga mkwara hata kwa vyombo binafsi...ilibidi akazie vile chombo cha una yaani TBC. Ikimbukwe kuwa vyombo binafsi vinajiendesha na havipati ruzuku serikalini. Wanachitakiwa kuripoti kitu cha ukweli kiwe cha maandamano ya wakulima au la. TBC imeshindwa kuripori matatizo na migogoro ya wakulima nani atawasemea wakulima hawa? Kwa hiyo viwe winariport habari za kuitukuza serikali tu kweli?
Nape said,..."no one to fear"
 
Kweli lazima heshima iwepo hongera Rais kuturudisha kenye mstari. Leo taarifa ya habari ITV kama kipindi malumu. Kumbe inaezekana kuwa na taarifa ya habari yenye tija kwa Taifa.
Fafanua,
Kama kipindi maalumu kivipi??
Kipi kilichobadilika leo??
 
Wanachofanya hao ITV ni kutumia ile principle ya mtumikie 'kafir' upate mradi wako......

Hao jamaa najua wanamvutia pumzi tu......

Hebu tumuulize Magu, hivi suala la yule askari kutoa bastola yake hadharani na kumtishia nayo Mheshimiwa Nape yeye anaiona habari hiyo haikupaswa kuwa ni headline ya vyombo vya habari vya Leo?

Hivi haoni kama na Nape angereact hiyo Jana kungetokea umwagikaji wa damu?

Hivi Magu anafikiri TZ itakuwa nchi ya viwanda kwa kuwatumia maaskari wake kutumia silaha zao za moto kuwatishia raia wasio na hatia?
 
Back
Top Bottom