Leo ITV habari kama kipindi maalumu

Leo ITV habari kama kipindi maalumu

Me nacheza Scrabble kwa simu yangu kama hamna habari yeyote Ile kwa TV nimewaambia watoto angelieni cartoon mpaka Muda WA kulala
 
Watanzania watu wa kusahau sana.Si ajabu CCM ikaongoza milele
 
Mtafute kiki Huyu anapenda kuuza sura kama bashite mbona kikwete hakuwa hivi?yan huyo uchwara wa chato sifa zitamuua
 
Kweli lazima heshima iwepo hongera Rais kuturudisha kenye mstari. Leo taarifa ya habari ITV kama kipindi malumu. Kumbe inaezekana kuwa na taarifa ya habari yenye tija kwa Taifa.
Kwan TBC yenu haiwatosh au kwa vile halina mvuto kwa watu ndo mnataka mpewe kipaumbeke kwenye tvs za wanaume wakiowekeza tumbili weuc
 
Kweli lazima heshima iwepo hongera Rais kuturudisha kenye mstari. Leo taarifa ya habari ITV kama kipindi malumu. Kumbe inaezekana kuwa na taarifa ya habari yenye tija kwa Taifa.
Kwahiyo inatusaidia nini sisi wa huku Mbekenyera?
 
your point!??!!..
maana ni kama unasema raisi asikosolewe.
apa itakuwa ngumu kunielimisha maana ameipanda chuki kichwan kwangu.
i just pray he die soon.
Unatisha sana, that's beyond out of the way!
 
Jamani tuache ushabiki.ugomvi wa wafugaji na wakulima siyo habari kubwa? Niambie kwa nini shida hii inaendelea kuwepo mpaka leo?
 
Sawa najua sio sahihi kumpangia MTU cha kuongea au kuandika, ila nafikiri sio sahihi wala fair kwa taifa LA Rwanda na wanyarwanda watu kila Sikh kutumia mano wa genocide kutishia wanasiasau pasipo sababu.kwa maana ya shuleni kama rejea sawa. Ila majukwaani kwa vitisho. Sio sawa. Mbali na kutonesha vidonda ni ubabe.tuwaache wanyalu wajenge nchi yao na sisi tujenge yetu. April 7 ndio siku maalum tukumbuke nao. Ila sio kilA Sikh itumike km fimbo ya kuwatishi wengine na kuwatonesha wanyarwanda.
 
Kweli lazima heshima iwepo hongera Rais kuturudisha kenye mstari. Leo taarifa ya habari ITV kama kipindi malumu. Kumbe inaezekana kuwa na taarifa ya habari yenye tija kwa Taifa.

Mengi mjanja anauma na kupiliza mkuu lakini ni walewale
 
igp hii ni aibu!
Kulialia kuna kufanya uonekana childish and bratty!
Ahahaha!
Mtu mzima kulia kama mtoto kisa umenyima coverage,tena isiyoweza kukuondolea urais wako ni imbecility!
Ushawapa hawa media people weak points zako!
Kwa kuwa umelia leo,basi kesho watakunyima coverage ili ujinyonge...!
Na kesho kutwa uking'aka tena,watakupa coverage ili upoe!
Ukizubaa wataonyesha mikutano ya Lowasa!
Hit and run,unang'aka unapozwa! To infinito!
Mapenzi ya vitisho hayajawahi kudumu!
Sasa subiri kesho uone...
ha ha Chama dola leo umeandika point halafu ww sio mtu wa mihemko kama kidada Coco Channel, au Elizaboni
 
Uraisi raha sana, yani ningekuwa mimi ningesema hakuna mtu yoyote yule kuanzisha thread yoyote bila kunisifia kwanza, kudadeki
 
Siku zinakimbia jamani, mweeeh. Drama kila mahali, huyu kasema hiki, yule kafanya hivi, kule kumetokea kile, hapa kuna hiki. Ghafla, 2020 hiyo. Hapo ndio drama zitaongezeka. Subiri uone.
 
Back
Top Bottom