Jigsaw
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,823
- 684
Nina hisi mkuu wangu ni mshamba ambaye anataka kuiendesha nchi kwa kuiga vitu ambavyo haviendani kabisa na hali halisi ya mtanzania/Tanzania.
Na kwa dizaini hii ataishia kupigizana kelele na kuwatisha watanzania kila kukicha na mwisho wa siku watamzarau kwani wengi wao ni welevu na smart kuliko hata yeye mwenyewe.
Watanzania wana utamaduni wao, wanapenda kuheshimiwa ili wakuheshimu, ukiwaletea tabia zako za ajabu ajabu kama za wakina Kagame au Trump watakusikiliza lakini ukae ukijua kwamba lazima watakutafutia njia mbadala ya kukunjoosha.