ZILLAHENDER MPEMA
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 2,055
- 4,245
Kweli lazima heshima iwepo hongera Rais kuturudisha kenye mstari. Leo taarifa ya habari ITV kama kipindi malumu. Kumbe inaezekana kuwa na taarifa ya habari yenye tija kwa Taifa.
Zinduka wewe kibwenye,TBCCM inayoripoti habari za chama na serikali tu imeshajenga viwanda vingapi hadi sasa?