Leo ITV habari kama kipindi maalumu

Leo ITV habari kama kipindi maalumu

ITV wamewaiga Azam TV siku hizi namna ya utoaji taarifa...

Siku hizi nao wameanza kuchanganya taarifaaa
 
Rais amemtuma Kinana kutibiwa India. Muda sio mrefu nadhan atamwagiza kupona

Yaan katika siku ambayo nimecheka ni Leo,dah aseeee huyu Kiranja Mkuu ni shidaaa,

Half hajagundua bado kama alikosea....dah Ety nimemtuma India kwenye matibabu...
 
Vita dhidi ya madawa ya kulevya inaendeleaje? Kamishna anatekeleza yale aliyoahidi?
 
Ile sheria ya saa mbili wote waungane na tbc imeanza?
 
kwa sasa kwa amri ile ya mkulu vyombo vya habari kutangaza ayapendayo rais tu vitapoteza heshima yake muda si mrefu...
 
igp hii ni aibu!
Kulialia kuna kufanya uonekana childish and bratty!
Ahahaha!
Mtu mzima kulia kama mtoto kisa umenyima coverage,tena isiyoweza kukuondolea urais wako ni imbecility!
Ushawapa hawa media people weak points zako!
Kwa kuwa umelia leo,basi kesho watakunyima coverage ili ujinyonge...!
Na kesho kutwa uking'aka tena,watakupa coverage ili upoe!
Ukizubaa wataonyesha mikutano ya Lowasa!
Hit and run,unang'aka unapozwa! To infinito!
Mapenzi ya vitisho hayajawahi kudumu!
Sasa subiri kesho uone...
 
Aisee nimeamini vyombo vya habari vinaweza kuamua kukuua huku ukiona.
Maneno aliyoyaongea leo ni pigo kubwa sana kwake na nadhani hata yeye hakutaka maneno hayo yaliyokuwa kwenye hotuba yapewe kipaumbele kwenye habari. Lkn wana habari waliamua kuchukua hotuba yake na kuipa kipaumbele lkn ukiangalia ilikuwa ni hbr ya kumuua.
Hawa wahariri wameamua kumuanika na kesho watamuanika vzr. Achan na wahariri wabobezi
Thinking outside the box mnh... I like that. Eti kiongozi anatishia genocide watz Kuna sehemu tulimkosea mungu ila itatucost
 
Naona magu anamtafuta mengi ajichanganye tena kwenye 18 zake,huyu jamaa hana jema kwa promo za ITV amewageuka mara hii
 
Back
Top Bottom