Leo ITV habari kama kipindi maalumu

Leo ITV habari kama kipindi maalumu

Msengapavi hajiamini kama ni Rais!
Haamini kama kuna watu hawampendi!
Haamini kama kuna watu hawataki hata kuiona sura yake!
Hakubali hilo!
 
Rais amemtuma Kinana kutibiwa India. Muda sio mrefu nadhan atamwagiza kupona
530784800bc89de3a8927ac60dd151bc.jpg
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Lazima heshima irudi sisi ni role model wa watoto wetu! Sasa mtu amekalia ni mitusi tu, kisa naye aonekane kwamba leo kamtukana rais wake na wengine wanashangilia! Pathetic
 
530784800bc89de3a8927ac60dd151bc.jpg
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Uwongo wa hali ya juu! Jana kulikuwa na function Serena na makumbusho ya wachina alikuja msaidizi wake! Jamani haiendi hivi! Eh Mola wangu ibariki Tanzania yangu!
 
Lazima heshima irudi sisi ni role model wa watoto wetu! Sasa mtu amekalia ni mitusi tu, kisa naye aonekane kwamba leo kamtukana rais wake na wengine wanashangilia! Pathetic
we wa chato ndo maana una mahaba nae
 
Wanachofanya hao ITV ni kutumia ile principle ya mtumikie 'kafir' upate mradi wako......

Hao jamaa najua wanamvutia pumzi tu......

Hebu tumuulize Magu, hivi suala la yule askari kutoa bastola yake hadharani na kumtishia nayo Mheshimiwa Nape yeye anaiona habari hiyo haikupaswa kuwa ni headline ya vyombo vya habari vya Leo?

Hivi haoni kama na Nape angereact hiyo Jana kungetokea umwagikaji wa damu?

Hivi Magu anafikiri TZ itakuwa nchi ya viwanda kwa kuwatumia maaskari wake kutumia silaha zao za moto kuwatishia raia wasio na hatia?
Mwenzenu alitegemea ile habari yake ya bandarini ndio ingekuwa habari ya siku. Teh teh teeeh!! Baba anapenda sifa huyu.
 
Lazima heshima irudi sisi ni role model wa watoto wetu! Sasa mtu amekalia ni mitusi tu, kisa naye aonekane kwamba leo kamtukana rais wake na wengine wanashangilia! Pathetic
Kwa hiyo Rais Magufuli ni role model wa Daud Albert Bashite! Kweli kazi ipo...
 
Siwezi kujinyonga kwa ajili ya chizi alie kimbia mirembe,Pili hili ni taifa langu naongea ninavotaka alivozaliwa chato ndo na mimi pia nimezaliwa humu Tanzania so naongea chochote nitakacho katika nchi yangu,Tatu sishoboki kisa chizi kawa RAIS kwani nikitaka kushoboka kwa ajili ya MARAIS niko radhi kumshobokea hata RAIS wa ACUDO INMPACT.
 
Uchwara eeeh, kama kweli uchwara we jitokeze hadharani uimbe huo wimbo. Unajificha nyuma ya jf kusema jamaa ni uchwara...
Hahaha... Kwa taarfa yko hpa nnavyooongea npo barabaran naendesha na goma nmelifungulia ipasavyo.
 
Raia tuwaogope polisi. Tii sheria bila shuruti. Nape kichwa ngumu,...
 
Nimeshangazwa na taarifa ya magufuli kuchukua dakika kumi itv leo!
 
Back
Top Bottom