MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
Shutuma alizotoa Musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure. Hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali.