Leo ikipita bila Musiba kuhojiwa nitaamini kuwa anatumiwa na Wakubwa

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,708
70,998
Shutuma alizotoa Musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure. Hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali.
 
Kashasema anamsaidia raisi,wacha tusubiri.

Mwehu yule hana akili,asichotambua kuwa kwa heading zile za toilet paper zake amehalalisha na luandaa njia mabosi zake kumflash!!

Toilet paper imeshafanya kazi,sasa inatoa harufu kila mahali- mwenye uchafu yuko safi,kinachofuata kuiflash toilet paper, just a matter of time- na heading ile na watu aliowahusisha nina imani kitengo fulani wamemtegea pasi kujua anajiandalia futi 12 za kuflashiwa!!

Baada ya hapo zigo atahusishwa Bernardo Maembe?!

Ionekane utabiri wake ni kweli,wahusika watu wabaya!!
 
Shutuma alizotoa musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure, hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali
Hata hiyo jana kina Max kuhojiwa haikuwa sahihi.
Nilitegemea mhariri na mmiliki wa hayo magazeti wawe wa kwanza kuhojiwa ili kusaidia polisi kuwa na uelewa mpana wa maandishi yao.. Kuna ombwe zito sana kati ya haya magazeti na serikali..
 
Lile jamaa ni kama msukule rafiki. .kama yule ni sample ya wasomi wa hili taifa. ...Basi Taifa hili lina kazi wakati huu linaipitia kwenye wakati mgumu sana 'Mithili ya ndoa ya wapenda nao iliyo Ingia kwenye jehanam ya mitafaruku
Wahenga tumekuelewa...teh
 
Lile jamaa ni kama msukule rafiki. .kama yule ni sample ya wasomi wa hili taifa. ...Basi Taifa hili lina kazi wakati huu linaipitia kwenye wakati mgumu sana 'Mithili ya ndoa ya wapenda nao iliyo Ingia kwenye jehanam ya mitafaruku
Mkuu kwani ana elimu gani?
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom