Leo ikipita bila Musiba kuhojiwa nitaamini kuwa anatumiwa na Wakubwa

Ni mfumo tu wa utendaji kazi sasa umebadilika, mtuhumiwa unatangulia kwanza kuhojiwa kisha aliyetoa tuhuma naye anahojiwa. Tunaanza kwanza kuchakata Output ndipo tunakuja kwenye Input.
....hii principle ilitumika kwenye koroshow....

Walipiga hesabu ya hela watakayoingiza wakiuza koroshow, kisha ndiyo warudi kulipa wakulima....namba zilivyo na roho stoki zikagoma....
 
Hakuna wa kumuhoji Mkuu huyo kishapewa go ahead na nduli na dikteta wa Ikulu.

Shutuma alizotoa Musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure. Hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali.
 
Hahahah anaweza kuwa kasha hojiwa, na kama bado labda hajapata wito wa polisi, ama polisi wanafahamu ni maagizo alipewa hivyo hawasumbuki kumuhoji. Ni sawa kupeleleza kesi ya Tundu Lisu wakati wanafahamu ukweli ukoje, ni kujipotezea muda kufurahisha watu msiofahamu.
 
Bado hajahojiwa, sasa wazee ndiyo wameanza kuchukua hatua ndani ya chama, musiba anatumwa na kutumiwa
 
Huyu anaweza hata akakupiga vibao na ww ukaenda kushtaki na asichukuliwe hatua yoyote

Ova
Hahahahaha ataanzaje, hapo ndiyo atajua watanzania sio wajinga sana wanataka kujua kilichompata MO hahahahahahahaha
 
Unapokaa kimya wanaokuzunguka wanakuwa hawajui kama wewe una akili au ni bwege fulani tu.

Tangu Musiba aanze kuongea nimejua yeye ni wa kundi gani kati ya hayo mawili niliyoyataja hapo juu.
 
Shutuma alizotoa Musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure. Hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali.
Tusaidiane kazi, tusiwaachie madaktari peke yao

Huyu katumwa na untouchable na hakuna kitu atafanywa. Litatengenezwa zengwe la kutusahaulisha tu halafu jamaa ataendelea na maupuuzi ya. Muongo hana likizo!
Shutuma alizotoa Musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure. Hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali.
 
Kwa hiyo mkuu wewe mpka leo huamini?

Aisee acha hawa jamaa watuone wajinga maana hata hii barua ni maigizo sasa ukishwindwa kuchuja utashaangaa unaitwa zumbukuku
 
Musiba anaongea utumbo mtupu mpaka aibu lakini CCM wanamuangalia tu, eti kwa kuwa anamsifia Rais, amkeni nyie maccm
 
Shutuma alizotoa Musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure. Hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali.
kwa sasa kinachonifurahisha ni kuwa hata wale waliopambana kumuweka MAGOGONI nao wamechoshwa sasa wanajitoa muhanga!!!
2020 KITAELEWEKA
 
Mkuu MWALLA uzi huu siwaoni CCM ambao kwa kawaida wanatetea kila kitu, yaani mpaka sisi tunaona aibu na kusema
 
Ngoja tusubiri tuone kama juridical zao zitafanikiwa kumziba mdomo huyo kikaragosi wa nduli na dikteta wa Ikulu na kukiua kile kijarida chao cha kihuni.

Mkuu wazee wa chama wameanza kuchukua hatua, sasa tutajua hii ni spika ya nani
 
Back
Top Bottom