Leo ikipita bila Musiba kuhojiwa nitaamini kuwa anatumiwa na Wakubwa

Hawajali, ili miradi lengo lao linatimia. Mkuu watu washenzi hawana staha.
Kwa kweli ni aibu, kwa kawaida ndugu au mtu baki akionekana amechanganyikiwa huwa anapelekwa hospitali, sasa huyu wanamuangalia tu, wanasubiri avue nguo au aumize mtu ndiyo wamkamate
 
Ni mfumo tu wa utendaji kazi sasa umebadilika, mtuhumiwa unatangulia kwanza kuhojiwa kisha aliyetoa tuhuma naye anahojiwa. Tunaanza kwanza kuchakata Output ndipo tunakuja kwenye Input.
 
Shutuma alizotoa musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure, hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali
Mkuu mbona unaniangusha,ina maana hadi leo hujui kuwa huyu mbwa anatumwa? Tafadhali mkuu.
 
Kwa maneno ya Zitto anatumwa na Magufuli na Kapilimba maana mitambo yake ya kuchapia gazeti lake ipo Mbweni usalama wa taifa sasa Amiri jeshi mkuu lazima anafahamu hayo na anampa baraka zake na script za wiki haha kitengo chake cha propaganda zero kabisa hata kuku anaweza tabiri kinachofuatia
 
Aibu kubwa sana
 
Back
Top Bottom