Leo hii ndo nimekata tamaa rasmi kuoa

Leo hii ndo nimekata tamaa rasmi kuoa

UFAFANUZI:
1.Sikumwacha niliyezaa naye bali licha ya kumsihi anisubiri nimalize masomo na akae home bado aliamua kuolewa.
2.Pia ni kwanini huyu anifiche?
3.Na sijaamua lolote dhidi ya hatma yetu, upo uwezekano mkubwa tu wa KUISHI pamoja na hili kuwepo.
Samahani Kwa wote niliowakwaza.Nilichokifanya kilitokana na mshituko nilioupata baada ya kujua wakati yeye kanificha.
kunywa Kilimanjaro water popote ulipo, maana naona unaanza kukua mduchu mduchu
nitakuja kulipa mkuu
 
Wife materials ni 'species' iliyo hatarini kutoweka! Wewe umebahatika kumpata halafu unaleta masihara mkuu?

Shauri yako..
 
DEVINE... wengu hawapendi complications zinazoletwa na aina hii ya uhusiano. Kama baba wa mtoto yuko hai bond yao haiwezi kuvunjika kamwe. Mama kwa namna moja au nyingine lazima amshirikishe baba kwenye malezi ya mtoto.

Hili pekee ndilo tatizo kubwa la kuwa na mwenza mwenye mtoto hasa kwa mwanamke.

Bora huyo umemkuta na mtoto kuliko kuliko kuoa binti ukijua hana mtoto Kumbe Alisha toa mimba sita. Ushauli wangu mwanamke mwenyewe mtoto kama sifa zingine Zote amado oa tu mkuu mtoto siyo sababu ya msingi kumuacha Mke kwanza ukimkuta na mtoto Ndiyo unakuwa na huakika kizazi anacho

Kama ana sifa zote ila mzazi mwenzake ni pasua kichwa, utapata shida sana mkuu! sisemi umuache lakini ni vyema kuhakikisha haya kabla hujaamua kuwa naye katika ndoa.

Inategemea makubaliano yenu, na kwanini isivunjike? Inavunjika vizuri tu, ukiplay part yako vizuri huyo mtu baki atabak baba wa mtoto lakin ndoa yako hawezi ingilia,

Humu kuna wengine wanasuport kwa kusimuliwa tu, maisha hayaendi kwa group, maisha yanaenda binafsi, kama ndoa isivyo ya group ni ya mmoja mmoja hivyo hivyo usifikirie kwakuwa fulan kapata hivi na mimi nitapata hivi hapana.

Lazima useme hapa haipo hiyo bond, kama huyo mtu alitaka kumuoa huyo dada angeoa mbona kamuacha, shida inakuja wakaka wakizalisha wakiona huyo mdada anaolewa huwa wanaumia walitegemea mdada abaki hivyo hivyo mnaanza kuleta vurugu ktk ndoa ya mdada hata kama mwanzo ulikuwa hujali mtoto utajifanya kujali mtoto,
Na kama ukimtunza huyo mtoto kama wako unafikiri mawasiliano ya nn yatakuwepo hapo, sababu kila kitu mtoto anapata hapo kwako.

Cha muhimu makubaliano kabla hujaingia katika hiyo ndoa.
Na mtoto muone ni baraka kwako

Nimependa hiyo BOLDED sentence.

Hapo ITALICS hapo ndipo kwenye changamoto kubwa though, na simaanishi haiepukiki, ila ni lazima ishughulikiwe kabla ya kuingia katika ndoa.

duuuh uzuri mie nimeshakamatia wangu na ameniahidi ikitiki ananichukua mazima wala nisihesabu visude

teh teh

Uwiiiii jje's natumai hapo hujaamisha ikitiki mimba! Mwanaume yeyote, rudia, yeyote asikudanganye eti ushike mimba ndo aje kukuoa. Kama anaona unafaa kuwa mama wa mwanaye ila hayuko tayari kukuoa jua unapigwa changa la macho.

Kisingizio kikubwa nimekisikia siku hizi ni vijana kusema wanaogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia, nami nakubaliana na hili. Akitaka kuthibitisha hilo nendeni hospitali mkapime - na yeye apime kabisa sperm count na nguvu zake. zaidi ya hapo ni kudra za mwenyezi Mungu. Ni wangapi tunasikia wanashika mimba ikifika miezi minne inatoka? So uwezo wa kushika mimba sio kigezo cha ndoa aisee.

Dada yangu hapa nilipo natamani uje uniambie kuwa hukumaanisha nilichokielewa la sivyo na wewe muda mchache tutakukuta humu kwenye thread.

Nakuthibitishia wanaume sampuli ya Messi wako 1 kati ya milioni!!!! [HASHTAG]#usijaribu[/HASHTAG].
 
Nakuhurumia tu

mchagua nazi sana,mwisho utachagua .......
 
Hili pekee ndilo tatizo kubwa la kuwa na mwenza mwenye mtoto hasa kwa mwanamke.

Kama ana sifa zote ila mzazi mwenzake ni pasua kichwa, utapata shida sana mkuu! sisemi umuache lakini ni vyema kuhakikisha haya kabla hujaamua kuwa naye katika ndoa.

Nimependa hiyo BOLDED sentence.

Hapo ITALICS hapo ndipo kwenye changamoto kubwa though, na simaanishi haiepukiki, ila ni lazima ishughulikiwe kabla ya kuingia katika ndoa.

Uwiiiii jje's natumai hapo hujaamisha ikitiki mimba! Mwanaume yeyote, rudia, yeyote asikudanganye eti ushike mimba ndo aje kukuoa. Kama anaona unafaa kuwa mama wa mwanaye ila hayuko tayari kukuoa jua unapigwa changa la macho.

Kisingizio kikubwa nimekisikia siku hizi ni vijana kusema wanaogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia, nami nakubaliana na hili. Akitaka kuthibitisha hilo nendeni hospitali mkapime - na yeye apime kabisa sperm count na nguvu zake. zaidi ya hapo ni kudra za mwenyezi Mungu. Ni wangapi tunasikia wanashika mimba ikifika miezi minne inatoka? So uwezo wa kushika mimba sio kigezo cha ndoa aisee.

Dada yangu hapa nilipo natamani uje uniambie kuwa hukumaanisha nilichokielewa la sivyo na wewe muda mchache tutakukuta humu kwenye thread.

Nakuthibitishia wanaume sampuli ya Messi wako 1 kati ya milioni!!!! [HASHTAG]#usijaribu[/HASHTAG].
KWANI KUKUMISS KWA HERUFI KUBWA NI KOSA?
 
kwa upande wangu nilimaanisha hivyo mkuu, tumekubaliana na mimi nimeridhia
akinitema sawa tu mie sitakuja lalamika maana nimekubaliana na hali halisi
 
We umevurugwa kweli..... Wewe single father halafu hutaki kuoa single mother.... Haha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] maajabu haya jamani doh
 
Yaani wanaume bana!!

wee una mtoto hafu hutaki mwenzio awe na mtoto!!

Acha ubinafsi ndugu!!!

ungekuwa huna mtoto sawa.

Hivi kwanini wanaume nyie mnazaa hafu hamtaki waliozaa?? Hao mliowazalisha mnataka wawe nyumba ndogo zenu??
 
Wewe una mtoto lkn hautaki mwenye mtoto, uliemzalisha kaolewa na mwanaume mwingine.. Kazana kuchambua
 
Yaani wanaume bana!!

wee una mtoto hafu hutaki mwenzio awe na mtoto!!

Acha ubinafsi ndugu!!!

ungekuwa huna mtoto sawa.

Hivi kwanini wanaume nyie mnazaa hafu hamtaki waliozaa?? Hao mliowazalisha mnataka wawe nyumba ndogo zenu??
[emoji23] [emoji23] usawa unakaza.
 
kwa upande wangu nilimaanisha hivyo mkuu, tumekubaliana na mimi nimeridhia
akinitema sawa tu mie sitakuja lalamika maana nimekubaliana na hali halisi

Why lakini? Why jje's???

Yani na kuwa kote member huku JF bado unaweka future yako rehani!??? Umepungukiwa na nini????

Anyway, wewe sema tu umekubaliana nalo..kwanini basi msikubaliane kufanya yaliyo mema? Kwa nini mkubaliane tu kufanya yasiyo sahihi?

Kuna ugumu gani kwenda bomani na kuandikisha ndoa walau kisheria kama nyie sio watu wa dini. Muishi pamoja.

Unajua dada yangu natamani kusema mengi lakini..kwanini usubirie kuja kujutia!??

Mnaishi wote? Kama ndiyo, ni nini kinawazuia kufuata step zote halali basi?

Dah, haya bana..I will be here...natamani nikuambie nakutakia mema lakini ni sawa na kumtakia heri mwizi najihisi.

Ila hapo ulipo-bold hapo...pasome tena upya!

Hakuna mwanaume mwenye mpango na wewe atakayekushauri uzae naye kabla ya ndoa..sijamuona bado!!!

Labda useme sijui nyie ni dot com kwamba ndoa ni makaratasi na hamuamini dini...

Ah wacha nikae kimya...
 
Watu wengi huteseka katika maisha sana si kwa sababu hawapati watu sahihi! Kwa sababu wamejiwekea viapo visivyo na sababu vya kujitesa kwa sababu ya maneno ya watu.

Mwisho wanashindwa kubadilisha kauli na viapo vyao hatimaye ni kuishi maisha ya kuumia rohoni kubabaika ili uwatimizie watu ulichokuwa unakitangaza.

Oa kama moyo wako umeridhia vinginevyo acha utamoa mtu mzigo wakukuvumilia.
 
mkuu hata mm sitakua tayar kuoa mke wa mtu
Anakuwaje mke wa mtu au kuzaa ndio umehalalisha. Je hao ambao hawajazaa na waliwahi kuwa na wanaume kibao unawaweka kundi gani.

Hata huyo ambaye hana mtoto akiamua kuendeza mapenzi yake na wanaume wazamani anaweza sio kuwa na wasiwasi kwa walio na watoto hiyo ni dhana imewekwa lakini sio kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom