hahahahahahahhahahha hivi ilitakiwa iwe siri eeeehMbona unanifanyia unyama hivi yaani unaniambia hadharani kuwa unaliwa...[emoji28][emoji22][emoji28][emoji22][emoji28][emoji22]
God is watching..!hahahahahahahhahahha hivi ilitakiwa iwe siri eeeeh
samehe mimi sirudii tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nimeomba msamaha mkuuGod is watching..!
Masikini nimegundua ana mtoto tayari ingawa anajitahidi kuficha.Yani moyo wangu umeumia sana, ingawa nami nina mtoto. ukweli wa Mungu nafsi yangu haipo tayari kuoa mtu aliye na mtoto tayari..
Wewe uliye mzalisha ulitaka nani amuoeKwanza kabisa eee Mungu nisamehe dhambi ya kumzalisha dada wa watu mwaka 2010. Pia ingawa aliolewa kwa yeye mwenyewe kukosa subira kutokana na mimi kuwa na safari ndefu ya kusoma, licha ya kumsihi sana.
Huku Cambodia nimebahatika kukutana na wa Njombe mwenzangu(Mtanzania I mean) ni wife material haswaa.
Bond ikakubali, chemistry ni ya hali ya Juu.Yani ndo aina ya mke nilikuwa namtafuta, yani pamoja na mimi kutakiwa kumpenda ila yeye pia anatakiwa awe zaidi ya mama kwani nayajua niliyopitia mie.
Masikini nimegundua ana mtoto tayari ingawa anajitahidi kuficha ili tufikie adhma yetu. Yani moyo wangu umeumia sana, ingawa nami nina mtoto.
ukweli wa Mungu nafsi yangu haipo tayari kuoa mtu aliye na mtoto tayari.
NIMEKATA TAMAA, SIELEWI NIFANYE NINI?
Na demand ya kuoa ipo sana sana kwani umri nao si rafiki.
Akili imevurugika kabisa. Ama kweli ng'ombe wa masikini hazai.
Nisamehe bure,hata hivo sijaamua kitu na wala sijabadilika kitu Kwa mhusika.kwenda hukooooooooooooooooooooo
nilitaka kuongeza neno lingine nikakuoneaaa huruma sana mkuuu .............
Uliyemzalisha na kumuacha unahisi ataolewa na nani? ashukuriwe Mungu ameolewa kwa hiyo wewe chukua mtoto acha kuwaza kuwa huwezi kuoa aliyezaa angali ulishazalisha na kuacha
nimechukia sana, laiti ningeweza kutumia ungo ningekufuata uliko nikuzabe kofi
nimechukia tu teh teh
Mzee unatakankutumia chuma chakavu.Kwanza kabisa eee Mungu nisamehe dhambi ya kumzalisha dada wa watu mwaka 2010. Pia ingawa aliolewa kwa yeye mwenyewe kukosa subira kutokana na mimi kuwa na safari ndefu ya kusoma, licha ya kumsihi sana.
Huku Cambodia nimebahatika kukutana na wa Njombe mwenzangu(Mtanzania I mean) ni wife material haswaa.
Bond ikakubali, chemistry ni ya hali ya Juu.Yani ndo aina ya mke nilikuwa namtafuta, yani pamoja na mimi kutakiwa kumpenda ila yeye pia anatakiwa awe zaidi ya mama kwani nayajua niliyopitia mie.
Masikini nimegundua ana mtoto tayari ingawa anajitahidi kuficha ili tufikie adhma yetu. Yani moyo wangu umeumia sana, ingawa nami nina mtoto.
ukweli wa Mungu nafsi yangu haipo tayari kuoa mtu aliye na mtoto tayari.
NIMEKATA TAMAA, SIELEWI NIFANYE NINI?
Na demand ya kuoa ipo sana sana kwani umri nao si rafiki.
Akili imevurugika kabisa. Ama kweli ng'ombe wa masikini hazai.
basi mbebe mzima mzima. ukipenda boga upende na ua lakeNisamehe bure,hata hivo sijaamua kitu na wala sijabadilika kitu Kwa mhusika.
Samahani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ndo dawahata tulio fresh hatujawahi kushika mimba nasi hatutaki wanaume wenye watoto.
kama vipi subiri yule ulomzalisha mwenyewe akiachika umuoe.
si hupendi mtoto wa mwingine!.
Hamnaga kitu kama hicho na mwanamke mwenye akili hawezi thubutu kuwa na faraga na mtalaka wake mbele ya mume wake wa ndoa!ukiona anafanya hayo..basi jua kuwa hata asingekuwa na mtoto angekusaliti tu maana wanawake utongozwa na wengine ujiheshimu kwa sababu ya ndoa na family walizonazo!Siku moja wakati umeshamuoa hiyo atakuja baba wa mtoto aliye zaa na mkeo kwamba amekuja kumwona mtoto wake.Atakutambulisha kisha baada ya maongezi ataaga na labda ataacha matumizi ya mtoto.Kisha mkeo anakuomba ruhusa ngoja nimtoe mgeni.Mkuu usioe wenye watoto.Siku baba yake akija presha itakuua jinsi atakavyoonesha makeke