John locke
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 837
- 1,290
Karma is very real. Do good, receive good!
Mkuu umepewa wa kufanana na wewe
Ndiyo Mkuu kimahesabu umri unanikimbia japo sipo aged sn.Mkuu ni kweli umri umekutupa mkono mmmmh mbona kama still unaakili za kitoto.
Maana kama umri umekutupa mkono kama unavyo tupasha uwezi kataa kuua kwa sababu tu wandani wako ana mtoto hiyo sio sababu fikirishi na yenye mantiki kwa kusema utaki mke kwa sababu ana mtoto
embu jitathimin bhana acha kuzingua
Sawa nimekuelewa,asante sanaKama umesema yuko vizuri na ni aina ya mwanamke uliekuwa unamhitaji sasa kuwa na mtoto ndo iwe shida jamani? Kama kakidhi vigezo kuwa na mtoto sio shida kabisa na single mother wengi wanajielewa! Unaweza pata huyo asiekuwa na mtoto ndo pasua kichwa sasa hapo sijui ndo maisha utayafurahia!?
Yeye hawezi jua kwa sab sio mungu wewe umejuaje?Kila kitu hutokea kwa sabab maalum(vingi huwa ni sabab nzur)
Huwez jua huyo mtoto wake ndo akaja kuwa msaada kwako
Ha ha ha ila wewe kuna mmoja umemzalisha ukamuacha, mwanaume mwenzio kaoa.Sina nia mbaya na dada zangu hawa Mkuu na wala sijawakashfu hapana.
Ni nafsi tu vile inavyonituma.
Nawaheshimu sana.
Ila ktk hili moyo umevunjika vunjika kabisa.
Be blessedHao masingle mama mnao wakataa wanashida gani?
Ina maana hao watoto wamekuwa laana kiasi hicho?
Ina maana mtoto ni kikwazo kwako kuoa?
Na upande wa pili wadada wengine wanakataa watoto wenye watoto lakin kwa wadada ni wachache sana wanao kataa.
Nashindwa elezea nisemeje hapa kwa ufupi Mungu haangalii hao watoto kama wengine wanavyo angalia
Hao watoto waliachwa kwa mama zao, ni watoto ambao Mungu anawasikia kuliko kawaida, dhambi ya mama mtu isikufanye ukamuacha mtoto ukaona labda ukipata asiye na mtoto mtakuwa vzr.
Hao watoto wanaletaga baraka mno ndani ya familia kama ukijua kumtunza vizuri bila manyanyaso, Mungu atakufungulia mlango kupitia huyo mtoto kuliko hata watoto wako binafsi wakati mwingine.
Nimeona watoto wa aina hiyo mama zao wanapo olewa na baba akampenda mtoto, au baba anapo oa na mama wa kambo akampenda mtoto, kuna baraka kama huamini tafuta family inayo tenga watoto wa kambo huwa hawabaki salama.
Mnapo weka akilini mimi sioi mtu mwenye mtoto au siolewi na mwanaume mwenye watoto, huwez jua baraka zako zipo wapi kila mtu.ana mlango wa kumtoa afike katk mahal ambapo Mungu alipo muandalia, inakuwaje kama ni huyo single mama kupitia mtoto.wake ndipo baraka zako zilipo
Msipende kujifungia ndani ya box. Mungu hana ubaguzi mnao ufanya baadhi ya watu.
All single mama na single dad. Mungu awape nguvu ya kulea watoto wenu na Mungu awape watu sahihi.ambao sio wabaguzi