Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,449
Wanaume bwana hataki single mother lakini ana mwanamke kamzalisha sielewi hutaki nini na unafanya nini. Kile usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako
upo sahihi,, lakini kuoa mtu mwenye mtt wa mtu mwingine ni risk sana, at any time mschana anaweza peleka mzgo kwa aliyemzalisha,u knw mtoto ni kitu kinachoweza waconnect watu kirahs sana,ktka maisha yangu, i will never.Anakuwaje mke wa mtu au kuzaa ndio umehalalisha. Je hao ambao hawajazaa na waliwahi kuwa na wanaume kibao unawaweka kundi gani.
Hata huyo ambaye hana mtoto akiamua kuendeza mapenzi yake na wanaume wazamani anaweza sio kuwa na wasiwasi kwa walio na watoto hiyo ni dhana imewekwa lakini sio kweli.
tehe tehe tehe wakati yeye mwanamke aliyemzalisha kaolewa na kuna njemba anamtunzia mwanaeUnaweza kumuacha mwenye mtoto...ukaoa kigoli...Mara paap mgumba hazai..hapo ndo utakapojuta zaidi mkuu
tehe tehe teheMimi nilifikiri ulimkuta na ARV's ni muathirika kumbe ana mtoto. Mkuu you need to grow up seriously.
Nyani haoni kundule 😀Wew mbona unae
Hivi yule Dada wa chuo aliyekutenda yuko wapi....?? 😀mkuu hata mm sitakua tayar kuoa mke wa mtu
Bora umepaza sauti rafiki yangu. 😀Wanaume bwana hataki single mother lakini ana mwanamke kamzalisha sielewi hutaki nini na unafanya nini. Kile usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako
hahaha,,,aisee unakumbukumbuku sana,, nliwah kutananae songea likizo but nilimpotezea tuu ckumpa hata hiiHivi yule Dada wa chuo aliyekutenda yuko wapi....?? 😀
Hope yo not serious mama. Ila never fall for that trap, kama kweli anakuhitaji na anahitaji mtoto then let him say "i do first".duuuh uzuri mie nimeshakamatia wangu na ameniahidi ikitiki ananichukua mazima wala nisihesabu visude
teh teh
Unasema hivi sasa ila baadae it wont be the same. Hebu mfikirieni huyo mtoto kwanza kabla ya kujifikiria ninyi kwanza.kwa upande wangu nilimaanisha hivyo mkuu, tumekubaliana na mimi nimeridhia
akinitema sawa tu mie sitakuja lalamika maana nimekubaliana na hali halisi
Kuna kitu naanza kuwaelewa wanaume sababu ya mambo kadhaa niliyoyashuhudia yakiendelea.Yaani wanaume bana!!
wee una mtoto hafu hutaki mwenzio awe na mtoto!!
Acha ubinafsi ndugu!!!
ungekuwa huna mtoto sawa.
Hivi kwanini wanaume nyie mnazaa hafu hamtaki waliozaa?? Hao mliowazalisha mnataka wawe nyumba ndogo zenu??
The thing is hivi vitu havifanani hata tuvifananishe vipi, kuwa na mahusiani na mtu na kuzaa na mtu ni vitu viwili tofauti kabisa.Anakuwaje mke wa mtu au kuzaa ndio umehalalisha. Je hao ambao hawajazaa na waliwahi kuwa na wanaume kibao unawaweka kundi gani.
Hata huyo ambaye hana mtoto akiamua kuendeza mapenzi yake na wanaume wazamani anaweza sio kuwa na wasiwasi kwa walio na watoto hiyo ni dhana imewekwa lakini sio kweli.
Its about time wanawake tuwe na controll ya miili yetu na maisha yetu na tuache kuwalaumu wanaume kwa makosa yetu.Wanaume bwana hataki single mother lakini ana mwanamke kamzalisha sielewi hutaki nini na unafanya nini. Kile usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako
Mkuu nimependa sana avatar yako hahahahamkuu hata mm sitakua tayar kuoa mke wa mtu
hahaaaaaaa,,sawasawa mkuuMkuu nimependa sana avatar yako hahahaha
Mitusi sibiria mkuu.wankuja Ila ata me hapana single motherKwanza kabisa eee Mungu nisamehe dhambi ya kumzalisha dada wa watu mwaka 2010. Pia ingawa aliolewa kwa yeye mwenyewe kukosa subira kutokana na mimi kuwa na safari ndefu ya kusoma, licha ya kumsihi sana.
Huku Cambodia nimebahatika kukutana na wa Njombe mwenzangu(Mtanzania I mean) ni wife material haswaa.
Bond ikakubali, chemistry ni ya hali ya Juu.Yani ndo aina ya mke nilikuwa namtafuta, yani pamoja na mimi kutakiwa kumpenda ila yeye pia anatakiwa awe zaidi ya mama kwani nayajua niliyopitia mie.
Masikini nimegundua ana mtoto tayari ingawa anajitahidi kuficha ili tufikie adhma yetu. Yani moyo wangu umeumia sana, ingawa nami nina mtoto.
ukweli wa Mungu nafsi yangu haipo tayari kuoa mtu aliye na mtoto tayari.
NIMEKATA TAMAA, SIELEWI NIFANYE NINI?
Na demand ya kuoa ipo sana sana kwani umri nao si rafiki.
Akili imevurugika kabisa. Ama kweli ng'ombe wa masikini hazai.