Why lakini? Why
jje's???
Yani na kuwa kote member huku JF bado unaweka future yako rehani!??? Umepungukiwa na nini????
Anyway, wewe sema tu umekubaliana nalo..kwanini basi msikubaliane kufanya yaliyo mema? Kwa nini mkubaliane tu kufanya yasiyo sahihi?
Kuna ugumu gani kwenda bomani na kuandikisha ndoa walau kisheria kama nyie sio watu wa dini. Muishi pamoja.
Unajua dada yangu natamani kusema mengi lakini..kwanini usubirie kuja kujutia!??
Mnaishi wote? Kama ndiyo, ni nini kinawazuia kufuata step zote halali basi?
Dah, haya bana..I will be here...natamani nikuambie nakutakia mema lakini ni sawa na kumtakia heri mwizi najihisi.
Ila hapo ulipo-bold hapo...pasome tena upya!
Hakuna mwanaume mwenye mpango na wewe atakayekushauri uzae naye kabla ya ndoa..sijamuona bado!!!
Labda useme sijui nyie ni dot com kwamba ndoa ni makaratasi na hamuamini dini...
Ah wacha nikae kimya...