[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nilinunua jeans kali 25000 enzi hizo ikanibana kiuno ikiwa mpya kabisa nikampa ndugu yangu mtoto wa ba mdogo kesho yake akaikata pensi,
Umeona uteme nyongo Sasa.Sasa badala ya kutoa maoni yako unakuja na hasira Kali kwani tumegombana Njoo tuishi wote maana Mimi najua wanawake wa Aina hiyo uliosema pengine ni wewe mwenyewe maana umejuaje maana usisema kitu kwa uhakika wkt sio.Narudia Tena nilimpa ya kutokea na si kushindia angesema Dada Mimi siwezi hii nguo kutokea nitaishindia kwani ningempa mbona KUNA nguo ingine nilimpa anasema labda ndogo au kubwa Sana nairudisha bila neno.Nyamaza weweWanawake wa Aina yako mi hapana aisee,
Kwanza unaonekana una mdomo mdomo,mbishi,kiburi,usietaka kujishusha,na mda wote unataka uonekane upo sahihi.
Umeleta mada yako hapa ushauriwe au upongezwe kua upo sahihi na unachomfanyia huyo bint?.
Ningekua Mimi huyo bint hiyo nguo nakurudishia,au niifungie kabatin nisiivae kamwe Hadi naondoka.
Masengenyo yanakondesha Sana.
Umempa mtu kitu,ushamshauri Mara moja,inatosha,ukiona anafanya atakavyo ndo maamuzi aliyo chagua,Kumsema sema sio afya.
Chumba cha faragha mmemuandalia lakini kama Mh raisi alivyosema?Umeona uteme nyongo Sasa.Sasa badala ya kutoa maoni yako unakuja na hasira Kali kwani tumegombana Njoo tuishi wote maana Mimi najua wanawake wa Aina hiyo uliosema pengine ni wewe mwenyewe maana umejuaje maana usisema kitu kwa uhakika wkt sio.Narudia Tena nilimpa ya kutokea na si kushindia angesema Dada Mimi siwezi hii nguo kutokea nitaishindia kwani ningempa mbona KUNA nguo ingine nilimpa anasema labda ndogo au kubwa Sana nairudisha bila neno.Nyamaza wewe
Exactly what it seem to be.Unatakiwa ufahamu kuwa huyo binti hajakulia kwenye malezi ya kutunza nguo au kugawa eti hii ya kushindia au hii ni yakutokea. So kinachoendelea hapo ni kuwa ile nguo anayoipenda sana ndio anayoivaa sana.
Na hiyo nguo uliyompa kaipenda sana,ndio maana hataki kuivua na sio kwamba haithamini.
NB: Mpe kwanza elimu kuhusu nguo za kushindia na za kutokea.
Ni swala la kisaikolojia mtu ukimpa kitu anaona kuwa labda hakina thamani labda kumbe sometimes ni upendo tu .Bro samahani sana..ile jeans ilikuwa lonyalonya sana nikaiona niikate pensi..Nitakununulia nyingine basi.
Kidding.
Kwani amekaziwa wapi yalikuwa mazungumzo madogo tuntena nikwambia hakuna kitu kizuri Kama kusema kitu kilichopo moyoni.Mfano.sasa nimeelewa Ina maana sitaweza mpa tena kitu changu kizuri si NDO kujifunza .Ili Naye Kama atanunua kanguo kake kazuri atashindia hiyo itakuwa juu yake.Na yeye akija kuwa na familia yake wawe wanajichanganyia tu Mambo sawa.Hamna tabu.Ila sikumpa ashindie na tulikubaliana na akasem sawa na za kushindia mbona nilivyompa hakwenda nazo kwa ndugu zake akachagua iyo NZURI zaidi.Wafanyakazi ishi nao vizuri, anampikia mwanao chakula na anawapikia chakula kaeni nae vizuri, najua umenielewa mkuu, usije kulia baadae, ishu ya nguo ni ndogo sana, huyo atapita, so usimkazie kihivyo.
Na hii NDO tatizo mfano KUNA ndugu yangu mmoja alichukua vitenge vyake kwenye kabati maana aliona anavyo vingi Sana alipokuwa anaenda kijijini akawagawia ndugu zake zilikuwa wax wakaingia navyo Shambani aliposhangaa kwa Nini wakasema vingekuwa vya maana asingegawa Bali angenunua mpya Dukani.Kwa maana kumbe kitu kizuri ni kile tu unachotoa Dukani na mtu akaona sio kile hata Cha thamani alichotunza ukampa hata Kama hukuwahi kuvaa hata Mara 2.Nature ya binadamu ipo hivyo.Ni swala la kisaikolojia mtu ukimpa kitu anaona kuwa labda hakina thamani labda kumbe sometimes ni upendo tu .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi nilinunua jeans kali 25000 enzi hizo ikanibana kiuno ikiwa mpya kabisa nikampa ndugu yangu mtoto wa ba mdogo kesho yake akaikata pensi,
Yes, muache ajinunulie ili kupunguza kelele au ugomvi usio wa lazima ndani. Hata hizi ulizompa wala usimuulize pale utakapoona anazivaa au tumia visivyo kwani hata kwa upande wake anajiona yuko sahihi na hata zaidi yako hivyo anakishangaa na kukuchukulia mwenye makosa kama unavyomchukulia mwenyewe.Hapana kwa alivyonionyesheshea si anamshahara wake tu mkubwa atanunua huenda nikaepusha hizi dhambi ndogo ndogo nimefuta Mimi kumnunulia nje ya mshahara nikijua ataheshimu hata kidogo changu kwa kuniwazia kwamba kwa hiki kitu Cha thamani Nikichezea Dada atajisikiaje.Naacha Sasa nione Kama yeye akinunua nguo NZURI ataenda nayo bustanini
We acha tu mume ana kazi kwakweliMit 25:24 SUV
Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.
We dada uko na GUBU sana asee!Nimependa Sana ushauri wako ni NZURI
Lkn nimegundua KUNA baadhi ya watu huchangia madam haraka haraka bila kuangalia dhima kuu ya mwandishi.Narudia Tena jamani I wish niipige picha halafu anachoifanyia.Hata wewe ungeumia kwanza ni dharau kwa nguo ya thamani na kwa kuifubaza huko lengo lake lisingekuwepo au Kama msemaji mmoja alivyosema labda mista alimsifia wakiwa wawili Mimi nitajuaje
Ahsante kwa muongozo Dada yangu.Nadhani hapo ni Wivu tu (ugonjwa wetu Ke tulio wengi) ndo unakufanya uwe maswali kibao kuhusu hiyo kauli ya Baba mwenye nyumba.
Nionavyo Mr wako yuko sahihi sababu we ushampa nguo huyo msichana usimpangie matumizi. Pia ako ni katabia ka wadada wengi ukimpa nguo yako nzuri usitegemee aiweke yupo radhi aweke hayo maronya ronya yake ila hiyo yako ashindie.
Kikubwa mwambie ajue kilichomleta, usiyoyataka hapo ndani kwako na aina ya mavazi unayotaka yavaliwe baas na mshahara si unampa ataenda nunua kwa hela yake.
Hilo mwenzako nilishalijua siku nyingi,huwa sigawi kitu kwa ndugu labda aniombe,naviweka stoo acha igeuke makumbushoNa hii NDO tatizo mfano KUNA ndugu yangu mmoja alichukua vitenge vyake kwenye kabati maana aliona anavyo vingi Sana alipokuwa anaenda kijijini akawagawia ndugu zake zilikuwa wax wakaingia navyo Shambani aliposhangaa kwa Nini wakasema vingekuwa vya maana asingegawa Bali angenunua mpya Dukani.Kwa maana kumbe kitu kizuri ni kile tu unachotoa Dukani na mtu akaona sio kile hata Cha thamani alichotunza ukampa hata Kama hukuwahi kuvaa hata Mara 2.Nature ya binadamu ipo hivyo.
Haina shida NDO Mana nimeichukua Mara ya kwanza nilipompa nilimuelimisha ya kutokea sawa Dada.Akaigeuza ya kazi.Nikamshauri lakini amerudia means kwake ni nothing Sasa nikimuona nayo anadekia ntaumia Mana thamani yake kwangu ni kubwa sanaUsikute dada wa watu anaichukulia poa nguo, kumbe maza mjengo anaiona classic sana.
Kwa kweli, aheshimu maamuzi ya mdada wake.
Maana anachokifanya ni makelele yasio na ulazima n mwishowe yatakuja kumjengea kiburi huyo mdada.
Punguza ujuaji we dada. Ungekua na busara, usingeibua mzozo kwenye familia yako kisa gauni.Aksante best.
Na Leo nimeelewa kwa Nini darasani mpo wote wengine wanafeli na wengine wanafaulu.
Mfano hili suala.Watu wanashindwa kutofautisha watoto unaoishi nao ndani na jinsi unavyotakiwa kuwa train.
Msichana wa kazi Mimi humchukulia Kama mwanagu wa kumzaa kwa maana hata mwanangu KUNA nguo hawezi tu akaishindia ovyo eti kwa sababu ni yake na nilinunua au nilimpa.Sasa Mimi kusema nilimpa Aina ya nguo ya kutokea na pia nikamuongezea na za kufanyia kazi.Tena SIO kwamba akiwa Nyumbani asivae hapana anaweza vaa Ila Ile asubuhi kuidekia kuilimia au wkt anamenya ndizi..kwa maana inaweza pata utonvu.Au point ya kusema hii nguo ya kutokea au uitunze vizuri NDO haijaeleweka naonekana namuonea