Leo asubuhi kulitokea mabishano home

Leo asubuhi kulitokea mabishano home

Ahsante kwa muongozo Dada yangu.
Hii taasisi ina mengi sana
Pamoja mdogo wangu. 🙏

Hakika na siku zote kuishi na wasaidizi wa ndani huwa kuna changamoto sana, hasa kama hujawaelewa vizuri na hii inaeza sababisha kila siku ugomvi ndani ya nyumba ikawa hauishi.
 
Haina shida NDO Mana nimeichukua Mara ya kwanza nilipompa nilimuelimisha ya kutokea sawa Dada.Akaigeuza ya kazi.Nikamshauri lakini amerudia means kwake ni nothing Sasa nikimuona nayo anadekia ntaumia Mana thamani yake kwangu ni kubwa sana
Shogaa, usigombane na mumeo kipenzi kisa dada wa Kazi, huyo ni wa kuja tu, kunywa maji potezea.
Halafu usipende kumgombeza mdada kila anapokosea, Akikosea jikaze, subiri amalize Kazi jioni muite, ongea nae friendly...mueleze usiyoyapenda...mueleze nguo usizopenda avae akiwa hapo nyumbani. Zingatia wakati unamuelekeza mumeo asiwepo....wanaume hawapendi mambo madogo madogo.
Nakupa huu ushauri Kama Legend wa kuishi na wadada wa Kazi....nakuelewa sana.
 
Yes, muache ajinunulie ili kupunguza kelele au ugomvi usio wa lazima ndani. Hata hizi ulizompa wala usimuulize pale utakapoona anazivaa au tumia visivyo kwani hata kwa upande wake anajiona yuko sahihi na hata zaidi yako hivyo anakishangaa na kukuchukulia mwenye makosa kama unavyomchukulia mwenyewe.
"Every person is right in his own eyes but God measures the heart".

Nyongeza kwa mengi uliyoona hadi sasa kwa umri wako, jambo dogo kama hilo laweza tokea ili tu kuvuruga amani ndani au ndoa kabisa-akili mkichwa itumie vizuri kulitatua hili maana sasa lilishaanza kuhama toka bosslady v house girl to mr v mrs!
🤣🤣🤣Leo shemeji yangu anaweza kukosa mlo wa usiku kisa kumtetea dada wa Kazi.
 
Habari waungwana.

Habari ipo hivi. Nyumbani tuna House gal ambaye Kama kawaida husaidia kazi za Nyumbani pamoja na kulea watoto .Sasa wkt anakuja nikagundua Hana nguo za kutokea kwa maana mfano kutokea tukienda mahali au akiumwa au akienda tembelea ndugu ZAKE weekend.

Nilichofanya nikampa nguo yangu moja NZURI ambayo hata Mimi ni zile za kanisani au kwenda sehemu special na pia nikamuongezea na za kushindia kwa maana za Nyumbani Kama anafanyafanya shughuli ndogo ndogo ,lakini wkt Nampa nilimfafanulia na Tena siku iyo nakumbuka alifurahi Sana na ni siku alikuwa anaenda kusalimia ndugu zake ilibidi avue Ile aliyokuwa ameivaa na kuvaa ile niliyompa akisema anashukuru Sana na ameipenda Sana .

Na alipovaa ni Kama alipimwa ilimpendeza Sana. Baada ya Kama wiki nikagundua Ile nguo ameigeuza ya kushindia na NDO anafanyia usafi.Nikamwita nikamwelekeza kwa Nini asivae zile zingine kwa maana Ile uwe Kama nilivyomuelezea.Akaelewa akaivua na kuifua.

Sasa Leo asubuhi naamka nikamkuta ameivaa anaifagilia nje na hata Jana yake aliivaa anamenyea nduzi(nikiongelea hivyo nduzi Zina utonvu na ni nyeupe) Nikamuuliza mbona umerudia kuifubaisha nguo NZURI na nilikuelezea? Nikamwambia vua ntampa hata ndugu yangu atakayeithamini.

Sasa Baba watoto akasema Kwanza Iyo nguo kumpangia masharti aivae vipi umekosea kwa kuwa wakati unampa hakukuomba ulimpa mwenyewe na kanuni ya kumpa mtu kitu chochote ukishampa umempa matumizi ni juu yake hata angeamua kudekia kufanyaje ni yeye maana imekuwa yake.

Kweli Kama mama nimeshangaa Sana kwa hizo kauli. Je Mimi makosa yangu ni yapi au ni kweli mtoto ndani ya nyumba hupaswi kumshauri(Huyo msichana Ana miaka 18 kwenda 19) Na ikumbukwe ni mista huyo huyo aliyenilalamikia kwamba huyo msichana tangia aje anavaa vinguo vyepesi na khanga tu akijua na yeye yupo kwa maana Kama Ana majaribu na akimfananisha na dada mwingine ambaye aliondoka ambavyo hakuwa na majaribu Kama ya huyu wa Sasa kwa maana kujipitisha Mara kajilaza ovyo Yaani Mambo Kama hayo.

(Kwa hayo malalamiko yake nikaongea na Dada nikamshauri jinsi ya kuvaa na hasa azingatie nguo za heshima.Walau akabadirika.
Sasa Leo NDO hayo.

Naombeni maoni na mista atawasoma Mana kajaa tele humu
Nasemaje nipe namba za huyo hausgal nikusaidie kumshauri am serious plz...ni inbox namba zake
 
Kwa hiyo hata akikosea anyamamaze asimrekebishe?mbona mfano nyie wenyewe unaweza kuta Mista labda aliwahi kutoka kazini akakuta Dada akaacha tu maji yanachemka kwenye gesi au hajafunga bomba vizuri au katoka kaacha nyumba wazi anakushtakia why asinyamaze.Haya Mambo ya kurekebishana ni kawaida ili Mambo yakae sawa.Na si makelele na sidhani Kama mtu anaweza amka akaanza kupiga tu makelele.Mfano mbali na mengine msichana wangu Mimi huyo ni msahaulifu Sana hawezi kwenda Dukani mpaka umwandikie hata Kama ni vitu vichache la sivyo atarudi bila vitu vilivyokamilika au unamwambia asubuhi pasha chakula NDO uendelee na kazi nasahau vyakula vinachacha mnamwaga .Kwa hiyo KUNA muda unaacha au unapasha mwenyewe Sasa Kama unawahi Sana kazini NDO inakuwa hivyo.
Ndio maana wakawa dada wa kazi. Mnatakiwa mjue calibre ya haw watu. Umemuona wapi dada wa kazi form six leaver?? Hata hao form 4 leavers kama wapo ni wachache sana sana sana.

Kuhusu mada yako ndugu yangu, tulia muache dogo avae nguo nzuri anavyotaka. Ikiharibika usimnunulie nyengine au usinipe. Ùsipoangalia huyu dada hatodumu hapo kwako maana wanawake mna matatizo sana nyinyi.
 
Habari waungwana.

Habari ipo hivi. Nyumbani tuna House gal ambaye Kama kawaida husaidia kazi za Nyumbani pamoja na kulea watoto .Sasa wkt anakuja nikagundua Hana nguo za kutokea kwa maana mfano kutokea tukienda mahali au akiumwa au akienda tembelea ndugu ZAKE weekend.

Nilichofanya nikampa nguo yangu moja NZURI ambayo hata Mimi ni zile za kanisani au kwenda sehemu special na pia nikamuongezea na za kushindia kwa maana za Nyumbani Kama anafanyafanya shughuli ndogo ndogo ,lakini wkt Nampa nilimfafanulia na Tena siku iyo nakumbuka alifurahi Sana na ni siku alikuwa anaenda kusalimia ndugu zake ilibidi avue Ile aliyokuwa ameivaa na kuvaa ile niliyompa akisema anashukuru Sana na ameipenda Sana .

Na alipovaa ni Kama alipimwa ilimpendeza Sana. Baada ya Kama wiki nikagundua Ile nguo ameigeuza ya kushindia na NDO anafanyia usafi.Nikamwita nikamwelekeza kwa Nini asivae zile zingine kwa maana Ile uwe Kama nilivyomuelezea.Akaelewa akaivua na kuifua.

Sasa Leo asubuhi naamka nikamkuta ameivaa anaifagilia nje na hata Jana yake aliivaa anamenyea nduzi(nikiongelea hivyo nduzi Zina utonvu na ni nyeupe) Nikamuuliza mbona umerudia kuifubaisha nguo NZURI na nilikuelezea? Nikamwambia vua ntampa hata ndugu yangu atakayeithamini.

Sasa Baba watoto akasema Kwanza Iyo nguo kumpangia masharti aivae vipi umekosea kwa kuwa wakati unampa hakukuomba ulimpa mwenyewe na kanuni ya kumpa mtu kitu chochote ukishampa umempa matumizi ni juu yake hata angeamua kudekia kufanyaje ni yeye maana imekuwa yake.

Kweli Kama mama nimeshangaa Sana kwa hizo kauli. Je Mimi makosa yangu ni yapi au ni kweli mtoto ndani ya nyumba hupaswi kumshauri(Huyo msichana Ana miaka 18 kwenda 19) Na ikumbukwe ni mista huyo huyo aliyenilalamikia kwamba huyo msichana tangia aje anavaa vinguo vyepesi na khanga tu akijua na yeye yupo kwa maana Kama Ana majaribu na akimfananisha na dada mwingine ambaye aliondoka ambavyo hakuwa na majaribu Kama ya huyu wa Sasa kwa maana kujipitisha Mara kajilaza ovyo Yaani Mambo Kama hayo.

(Kwa hayo malalamiko yake nikaongea na Dada nikamshauri jinsi ya kuvaa na hasa azingatie nguo za heshima.Walau akabadirika.
Sasa Leo NDO hayo.

Naombeni maoni na mista atawasoma Mana kajaa tele humu
Kwanza ulifanya vyema kumpa mtumishi wako wa ndani nguo. Naongezea..hakikisha mtumishi wako wa ndani anafanana na familia yako, usiendekeze tabia za kusema unamlipa mshahara kama waswmavyo wengine.
Kumbuka anakutumikia na ndio mlinzi namaba moja wa afya yako na watoto.

Mume wako yuko sahihi kukwambia hivyo kwani ulitumia lugha ya masimango.
Uliyempa huwezi kumwambia avue ukampe mwingine.
Hukumpa kutoka moyoni kama vile ulimwazima.
Hapo awali ulikuwa ukimshauri vyema ungeendelea vilevile na sio kutamka avue ukampe atakayethamini.

Ukitoa sadaka iondoke moyoni lakini wewe bado unaipangia matumizi...hili ndilo tatizo kubwa la wanawake wengi.
Mmeo ni muungwana sana..anatuwakilisha waungwana.
 
Kwanini unampangia nguo za kuvaa?

Hv ingekuwa wewe unapangiwa leo vaa hii,kesho vaa ile,kanisani vaa hii,msikitini vaa ile ungejisikiaje?

Muache avae apendavyo chamsingi havai mavazi nusu uchi hadharani.
 
🤣🤣🤣Leo shemeji yangu anaweza kukosa mlo wa usiku kisa kumtetea dada wa Kazi.
Na hapo vita itakuwa rasmi kati ya shemeji na dada yetu kitu ambacho kinaepukika.

Hali hii isipoepukika shemeji atajikuta anatuhumiwa hata kwa kutembea na house girl
 
Habari waungwana.

Habari ipo hivi. Nyumbani tuna House gal ambaye Kama kawaida husaidia kazi za Nyumbani pamoja na kulea watoto .Sasa wkt anakuja nikagundua Hana nguo za kutokea kwa maana mfano kutokea tukienda mahali au akiumwa au akienda tembelea ndugu ZAKE weekend.

Nilichofanya nikampa nguo yangu moja NZURI ambayo hata Mimi ni zile za kanisani au kwenda sehemu special na pia nikamuongezea na za kushindia kwa maana za Nyumbani Kama anafanyafanya shughuli ndogo ndogo ,lakini wkt Nampa nilimfafanulia na Tena siku iyo nakumbuka alifurahi Sana na ni siku alikuwa anaenda kusalimia ndugu zake ilibidi avue Ile aliyokuwa ameivaa na kuvaa ile niliyompa akisema anashukuru Sana na ameipenda Sana .

Na alipovaa ni Kama alipimwa ilimpendeza Sana. Baada ya Kama wiki nikagundua Ile nguo ameigeuza ya kushindia na NDO anafanyia usafi.Nikamwita nikamwelekeza kwa Nini asivae zile zingine kwa maana Ile uwe Kama nilivyomuelezea.Akaelewa akaivua na kuifua.

Sasa Leo asubuhi naamka nikamkuta ameivaa anaifagilia nje na hata Jana yake aliivaa anamenyea nduzi(nikiongelea hivyo nduzi Zina utonvu na ni nyeupe) Nikamuuliza mbona umerudia kuifubaisha nguo NZURI na nilikuelezea? Nikamwambia vua ntampa hata ndugu yangu atakayeithamini.

Sasa Baba watoto akasema Kwanza Iyo nguo kumpangia masharti aivae vipi umekosea kwa kuwa wakati unampa hakukuomba ulimpa mwenyewe na kanuni ya kumpa mtu kitu chochote ukishampa umempa matumizi ni juu yake hata angeamua kudekia kufanyaje ni yeye maana imekuwa yake.

Kweli Kama mama nimeshangaa Sana kwa hizo kauli. Je Mimi makosa yangu ni yapi au ni kweli mtoto ndani ya nyumba hupaswi kumshauri(Huyo msichana Ana miaka 18 kwenda 19) Na ikumbukwe ni mista huyo huyo aliyenilalamikia kwamba huyo msichana tangia aje anavaa vinguo vyepesi na khanga tu akijua na yeye yupo kwa maana Kama Ana majaribu na akimfananisha na dada mwingine ambaye aliondoka ambavyo hakuwa na majaribu Kama ya huyu wa Sasa kwa maana kujipitisha Mara kajilaza ovyo Yaani Mambo Kama hayo.

(Kwa hayo malalamiko yake nikaongea na Dada nikamshauri jinsi ya kuvaa na hasa azingatie nguo za heshima.Walau akabadirika.
Sasa Leo NDO hayo.

Naombeni maoni na mista atawasoma Mana kajaa tele humu
Mm kwangu umefanya vzr San mnk alikuwa anakutia aibu na nguo chafu iko HV hata mm mfanyakazi wa kwetu alikuja alitokea ngara uko Hana nguo Zaid ya sketi aliyomalizia shule sas bas nikampa jesi yangu nzuri San ya arsenal awe anafah na kuitumia Kama akitumwa buchani aisee ile kitu ile leta shida sna kwani hata shemeji zangu na watu wa jirani walizani kuwa natembea nae kumbe mm nilimpa tu jesi mnk hata hvyo mm siyo shabiki wa arsenal. Napia niliknuunu tu kwa kulenda rangi
 
Nikushauri tu,Leo naomba chukua hiyo nguo yako,maana kwa jinsi ulivyo ishupalia,itafanya hata ujenge chuki na huyo binti.

Ikaja pelekea umchukie na kumkaripia Mara kwa Mara,chanzo kilicho jengwa na Hilo vazi ambalo unadai umempa huku unaishi Kama umemuazima.

Kitendo tu Cha kumwambia utamnyang'anya umpe ndgu yako mwingine,hii ni tabia mbaya San umeonesha,ukimpa mtu kitu toa na usikumbuke.

Na Hadi mda huu hujakubali unakosea,nasisitiza punguza ujuaji na kujiona uko sahihi mda wote,kutoa ni moyo,kutoa ni kutoa Kama sadaka.

Angalia usimtekenye alo kubeba,akizinduka utajikuta chini,namaanisha huyo bint ndo anakupikieni chakula,angalia hujui mwenzio anachukulia vipi jinsi unamsema sema na kinguo chako ulicho mgea,dunia imebadilika watu vichwa vya Moto,isije kuwa majuto baadaye.

Achana nae,mpuuzie.
 
Umeona uteme nyongo Sasa.Sasa badala ya kutoa maoni yako unakuja na hasira Kali kwani tumegombana Njoo tuishi wote maana Mimi najua wanawake wa Aina hiyo uliosema pengine ni wewe mwenyewe maana umejuaje maana usisema kitu kwa uhakika wkt sio.Narudia Tena nilimpa ya kutokea na si kushindia angesema Dada Mimi siwezi hii nguo kutokea nitaishindia kwani ningempa mbona KUNA nguo ingine nilimpa anasema labda ndogo au kubwa Sana nairudisha bila neno.Nyamaza wewe
[emoji23]

Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
 
We dada kama sio Mnyakyusa (kwa hizo ara) au Mchaga basi ni Mpare...nimeishia hapo 😁😁
 
Wewe umejuaje Kama Anaitwa Baba J Mana NDO kina lake humu JF KUNA mambo
Hahahaahha! Wewe ndugu yangu uko nyuma sana! Yaani hujajua tu kwamba Planett Ndio huyo mumeo Baba J?? Hii ni ID yake ya pili ambayo hajakwambia na ndio anatambaa na mabinti wa JF kupitia ID hiyo. Shtuka dada hahahahaahahahah
 
Ingekuwa ni mdogo wako wa kuzaliwa umempa ungemsakama hivo?
Kuna kitu wanawake huwa hamuelewi, wanaume huwa tunakereka sana sana kwa namna mnavyokuwa mnapiga kelele na msichana wa kazi kila sasa kwenye mambo ambayo wala Hayana maana.

Halafu wanawake wote ni kama mmefanana hiyo tabia, naona kwa mke wangu, kwa mama, kwa ndugu na marafiki.

Yani msichana wa kazi alikosea jambo dogo tu ambalo pengine na Wewe huwa unakosea daily, utaongea Lisaa, sasa wanaume hatutaki hiyo kelele.

Dada mmoja tuliishi nae mwaka jana aliwahi kumuambia jirani yetu, yeye anapenda siku za jmosi na J2 kwasababu ndio nakuwa nyumbani hivyo mke wangu hawezi kumgombeza.

Hebu wamama chukulieni hawa dada wa kazi kama wadogo zenu, hata nyie huwa mnakosea, acheni masimango mnatengeneza ukatili kwa hawa wasichana
Mimi mpaka Leo wadada wa kazi ambao wameondoka tunasalimiana na things are ok. Ila huyo maza mjengo alivyokuwa ana mdomo juu yao duh wanawake wana roho mbaya sana hawa hahahahahaah
 
Watu tuna tofautiana, unaweza ona nguo n nzuri na inastahili kuwa kwa ajili ya mtoko kwa upande wako, lkn me nikaona ya kaawaida sana na nikaifanya ya kwenda nayo shamba kulimia na kupalilia migomba.

Tunatofautiana mapendezi, zngatia sana hilo. Ukilijua hilo halitakupa shida, na itakupa kuelewa kuwa ww ukionacho cha thaman sana s lazma na me nkione cha thamani.

Na pia utoapo kitu kwa muhitaji, ustake kumpangia na matumizi ya kukitumia. Kisa sna chakula udhani ukinipa pesa n lazma nikanunue chakula, unaweza nipa pesa nikaenda dukani kununua nguo. Na usione nakudharua kwa kutenda hivyo, tunatofautiana mapendezi.

S vyema kumpangia mtu namna ya kutumia au kufanya kisa tu n ww ndye uliyempatia, ukifanya hivyo n kama unamnyanyasa. Tena mtu mzma wa miaka 18 loh!, fanya hivyo kwa watoto kwamba hii n nguo ya kanisani hupaswi kushiandia. Lkn mtu mzma muache afanye analoona sahihi kwake.😊😊😊
 
Nilichogundua Roho ya umaskini,inaandama watu wengi sana huku nchi za Afrika.

Kuna mama mmoja ni mama wa makamo ana watoto 5 wote wamefanikiwa na wanamaisha yao,walibahatika kusomeshwa.
Wako vizuri kielimu na maisha wanajitegemea.
Wamezaa watoto, huyu Mama sasa anaitwa Bibi,Mumewe yupo taasisi ya Dini.

Huyu Mama loo ni kama aina ya huyu Dada,ana mdomo always she think is right.

Sasa pale kwa Mama dadaz hawakaagi hata mwezi au miezi lazima waondoke,
Wana jumba kubwa(Ghorofa 1)lkn usafi na kudeki lazima utumie matambala na sio mop..zipo lkn zimefungiwa store.

Chakula ni chai na mkate...
(Akiwa hayupo yeye)hakipikwi kitu ila hivyo chai mkate.

Garden kuna miwa,miembe, michungwa ,mipera etc

House boy usionekani umeokota embe lililodondoka au uvunje muwa ule,
Utasakamwa utasemwa na ikiwezekana utalipa(anakukata mshahara)

Ana uza mapapai nazi n.k
Anae mkabidhi kuuza mapapai ni lazima hela kamili ifikishwe kwake,usimwambie Papai lilioza utalipa au lah umuonyeshe (kama hukulitupa)

Kuvaa kwake mwenyewe ni nguo nguo tu ili mradi kavaa,
Looh yapo mengi yakusema lkn siwezi kuandika sana mi siwezagi aisee...

Ni watu waliofanikiwa na mumuwe ila wanaishi kimaskini sana(hasa Mama)

Ndicho nachoona kwa huyu Dada,kumpa Kijinguo tu binti ,mashart kedekede mpk umemuundia kamati ya ushauri Jamii forum kutaka mawazo yako yasipingwe.

Kama ana nguo chache mpe mshahara wake mshauri akanunue nguo nzuri za kutokea.

Umempa malonya lonya ya kushindia mpk yanamshinda kuvaa ispokuwa ile moja angalau inakalika mwilini,muache avae anayotaka, yale malonya kashindwa kuvaa,Jeee baghoshaa hiiiiiii nisemejeeeee😀😀😀

Na hapo unasema nimempa nguo za kushindia swali ni ngapi?
Isije ikawa vinguo viwili tu na vyote vibuga vimempwaya sana ,navyo hivyo unahesabu.

Kitu kingine, kutoa kitu unachokipenda hayo ndo madhara yake,
Utakifatilia mpaka mwisho wake(hiyo sasa ndo pure roho ya kimaskini)
Maskini akitoa sadaka akimsadia mtu,majirani au mtaa mzima watajua Flani kamsaidia kitu fulani.. atatangaza tu

Ndo huyu dada sasa.....ni shida.
Nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom