Leo asubuhi kulitokea mabishano home

Leo asubuhi kulitokea mabishano home

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] dah sio ya kucheka ila
Inaumaga Sana .Sidhani Kama anaweza mpa tena
 
Habari waungwana.

Habari ipo hivi. Nyumbani tuna House gal ambaye Kama kawaida husaidia kazi za Nyumbani pamoja na kulea watoto .Sasa wkt anakuja nikagundua
We ulishampa muache avae anavyotaka sio iwe kila siku unampangia masharti ya kuivaa inakuwa sawa na kumsimanga sijapenda
 
Unatakiwa ufahamu kuwa huyo binti hajakulia kwenye malezi ya kutunza nguo au kugawa eti hii ya kushindia au hii ni yakutokea. So kinachoendelea hapo ni kuwa ile nguo anayoipenda sana ndio anayoivaa sana.

Na hiyo nguo uliyompa kaipenda sana,ndio maana hataki kuivua na sio kwamba haithamini. NB: Mpe kwanza elimu kuhusu nguo za kushindia na za kutokea.
 
Wanawake wa Aina yako mi hapana aisee,

Kwanza unaonekana una mdomo mdomo,mbishi,kiburi,usietaka kujishusha,na mda wote unataka uonekane upo sahihi.

Umeleta mada yako hapa ushauriwe au upongezwe kua upo sahihi na unachomfanyia huyo bint?.

Ningekua Mimi huyo bint hiyo nguo nakurudishia,au niifungie kabatin nisiivae kamwe Hadi naondoka.

Masengenyo yanakondesha Sana.
Umempa mtu kitu,ushamshauri Mara moja,inatosha,ukiona anafanya atakavyo ndo maamuzi aliyo chagua,Kumsema sema sio afya.
 
By the way hiyo nguo ni nzuri machoni pako...kwa wengine ni nguo ya kushindia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimechekaa maana dada ameona hiyo Nguo ni ya kushindia nyumbani wew unamwambia ya Kutokeaaa...!! Kiufupii bora usingempaa kuliko Kumpa alafu uanze kumpangia Masharti aivaee wapii na asiivae wapii...
Wala sio ya kucheka ni huzuni na amejikosesha Mambo mazuri.Umewahi kuishi na Dada wa kazi?hata kwa mwezi mmoja?Sipati kusema Wana vitukoo balaa vingine tunapuuzia mengine tunasema Ila aiseeeeee.Kuna siku alipika uji bht mbaya ukawa na mabojeboje badayw amwage au apike uji mwingine wa mtoto akawa ameipua anakamua kwa mkono Yaani Kama anayabonda kisha akachukua chujio la unga (kumbuka kwa lishe ya mtoto sio Safi kiafya)NDO baada ya kukamua anachuja just imagine uji ungekuwaje bht NZURI ilikuwa weekend nikaona nikamwambia siku ingine usipike uji huku unafanya kazi zingine lazima utageuka hivyo na ikitokea mwaga Anza upya.(tunavumia mengi wamama)
 
Hahahhahahha baba J ameipenda nguo beki tatu akiivaa bas mzee mzuka unampanda. kua mpole umekipata ulichokua unakitafuta. Mwanakulifind ______________.
 
We ulishampa muache avae anavyotaka sio iwe kila siku unampangia masharti ya kuivaa inakuwa sawa na kumsimanga sijapenda
Halafu sijamsimanga jamani hii ni Mara pili.Na hatasikia Tena Mana sitampa Tena atajinunulia
 
hahahhahahha baba J ameipenda nguo beki tatu akiivaa bas mzee mzuka unampanda. kua mpole umekipata ulichokua unakitafuta. Mwanakulifind ______________.
Wewe umejuaje Kama Anaitwa Baba J Mana NDO kina lake humu JF KUNA mambo
 
Ingekuwa ni mdogo wako wa kuzaliwa umempa ungemsakama hivo?
Kuna kitu wanawake huwa hamuelewi, wanaume huwa tunakereka sana sana kwa namna mnavyokuwa mnapiga kelele na msichana wa kazi kila sasa kwenye mambo ambayo wala Hayana maana.

Halafu wanawake wote ni kama mmefanana hiyo tabia, naona kwa mke wangu, kwa mama, kwa ndugu na marafiki.

Yani msichana wa kazi alikosea jambo dogo tu ambalo pengine na Wewe huwa unakosea daily, utaongea Lisaa, sasa wanaume hatutaki hiyo kelele.

Dada mmoja tuliishi nae mwaka jana aliwahi kumuambia jirani yetu, yeye anapenda siku za jmosi na J2 kwasababu ndio nakuwa nyumbani hivyo mke wangu hawezi kumgombeza.

Hebu wamama chukulieni hawa dada wa kazi kama wadogo zenu, hata nyie huwa mnakosea, acheni masimango mnatengeneza ukatili kwa hawa wasichana
 
Unatakiwa ufahamu kuwa huyo binti hajakulia kwenye malezi ya kutunza nguo au kugawa eti hii ya kushindia au hii ni yakutokea. So kinachoendelea hapo ni kuwa ile nguo anayoipenda sana ndio anayoivaa sana.
Na hiyo nguo uliyompa kaipenda sana,ndio maana hataki kuivua na sio kwamba haithamini.
NB: Mpe kwanza elimu kuhusu nguo za kushindia na za kutokea.
Kuna umri ukifikaa Sijui kama haya mambo bado yanakuwepoo...!! Unajikutaa unavaaa mixer tuu
 
By the way hiyo nguo ni nzuri machoni pako...kwa wengine ni nguo ya kushindia
Naona umeona useme tu ukidhani unaongea point KUNA nguo za uturuki bei kuanzia 80 kuendelea sidhani Kama ni unavyosema KUNA za kushindia kweli na KUNA za kutokea najua KUNA nguo mpaka mamilioni but naongelea niliyompa sio ya kushindia wadada hawajuagi kutofautisha
 
Ingekuwa ni mdogo wako wa kuzaliwa umempa ungemsakama hivo?
Kuna kitu wanawake huwa hamuelewi, wanaume huwa tunakereka sana sana kwa namna mnavyokuwa mnapiga kelele na msichana wa kazi kila sasa kwenye mambo ambayo wala Hayana maana.

Halafu wanawake wote ni kama mmefanana hiyo tabia, naona kwa mke wangu, kwa mama, kwa ndugu na marafiki.

Yani msichana wa kazi alikosea jambo dogo tu ambalo pengine na Wewe huwa unakosea daily, utaongea Lisaa, sasa wanaume hatutaki hiyo kelele.

Dada mmoja tuliishi nae mwaka jana aliwahi kumuambia jirani yetu, yeye anapenda siku za jmosi na J2 kwasababu ndio nakuwa nyumbani hivyo mke wangu hawezi kumgombeza.

Hebu wamama chukulieni hawa dada wa kazi kama wadogo zenu, hata nyie huwa mnakosea, acheni masimango mnatengeneza ukatili kwa hawa wasichana
Kina mama wanapenda sana Kucontrok wadada wa kazii ndo maana sometimes unakuta wadada wanaona ni manyanyasoo sasa..
 
Noted.
Sio mdogo wangu tu hata mtoto wa kumzaa wananguo zao special but point yako hii imenikumbusha kitu Mimi Nina watoto 2 mmoja mkubwa kidogo miaka 10 mwingine huyu mwaka 1.

Huyu huyu Dada nikitoka kazini nakuta kachukua zile nguo kwenye begi lake la nguo za kutokea yeye NDO anashinda nazo Napo nikamwelekeza usiwe unamshindishia hizo kwanza rahisi kufubaa na why wkt za kawaida na NZURI za Nyumbani zipo.Somo langu la Leo naona gumu kwa wengine na wengine wameelewa .Sasa hata wewe mpenzi hunaga tunguo flani tea safari au mtoko?labda hapo NDO kwenye utata
 
Kina mama wanapenda sana Kucontrok wadada wa kazii ndo maana sometimes unakuta wadada wanaona ni manyanyasoo sasa..
Mawazo yako tu Mimi tokea naanza kuwa na wadada nikihesabu huyu ni wa 4.Kwa maana wa kukaa Naye Nyumbani hata mista ukimuuliza aliwahi kutana na hiki kids atashangaa labda wengine walikuwa ninwaelewa
 
Naomba nikutoe out tarehe 28 twende tanzanite bridge tukache UEFA muache mista na dada wa kazi
 
Back
Top Bottom