Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,977
- 54,107
Ndege tunduni
Mi nachofanya siku hizi ni kuziuza kwa wauza mitumba kwa Bei ndogo kabisa,, kuliko kumpa ndg akashindwa kukithamini heri hivyo tuHilo mwenzako nilishalijua siku nyingi,huwa sigawi kitu kwa ndugu labda aniombe,naviweka stoo acha igeuke makumbusho
Wala sipo huko unakowazia Mimi nipo kweingine tu hii ni ya kutokea akakubari anapogeuza matumizi Mimi nitaumiaPunguza ujuaji we dada. Ungekua na busara, usingeibua mzozo kwenye familia yako kisa gauni.
Umekuja JF kuomba ushauri, tulia ushauriwe. Humu sisi walimwengu huwa hatupangiwi cha kushauri. Sio unaomba ushauri, alafu unaanza kupinga kila unachoambiwa.
Kwa kifupi, wewe haujaja kupewa ushauri, umekuja kutafuta support ili uhalalishe hisia zako mbovu. Ndio maana umemuunga mkono huyo aliekuambia kwamba mumeo atakua amemsifia huyo mdada wa kazi wakiwa peke yao.
Huwa nashangaa sana vile wanawake mko na uwezo mkubwa wa kutengeneza migogoro sehemu ambazo hazikutakiwa hata kuwa na migogoro. Sasa hivi kesi inahama kutoka kwenye gauni, utaanza kuhisi kuna mahusiano kati ya mumeo na dada wa kazi, kwakua mumeo amemtetea.
Utaanza kugombana na mumeo kwa kuhisi anakusaliti. Utaanza kugombana na mdada wa kazi kwa kuhisi anataka kumchukua mumeo. Ukija kushtuka, ndoa ipo ICU, kwa matatizo yalioanzishwa na "gauni".
"Mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe"
Ni kweli kabisa.Ni kuvumilia tuPamoja mdogo wangu. [emoji120]
Hakika na siku zote kuishi na wasaidizi wa ndani huwa kuna changamoto sana, hasa kama hujawaelewa vizuri na hii inaeza sababisha kila siku ugomvi ndani ya nyumba ikawa hauishi.
Aksante Sana kipenziShogaa, usigombane na mumeo kipenzi kisa dada wa Kazi, huyo ni wa kuja tu, kunywa maji potezea.
Halafu usipende kumgombeza mdada kila anapokosea, Akikosea jikaze, subiri amalize Kazi jioni muite, ongea nae friendly...mueleze usiyoyapenda...mueleze nguo usizopenda avae akiwa hapo nyumbani. Zingatia wakati unamuelekeza mumeo asiwepo....wanaume hawapendi mambo madogo madogo.
Nakupa huu ushauri Kama Legend wa kuishi na wadada wa Kazi....nakuelewa sana.
Tuheshimiane,sijamsifia mtu na hiyo nguo Mimi siijui,ninachosimamia ,umempa mtu kitu usimfamye mtumwa.Ukishampa kitu mtu haitakiwi kumpangia namna ya kutumia.Kama unaipenda Sana hiyo nguo ungebaki nayo mwenyewe uitendee unavyotaka.Kizuri kwako siyo kizuri kwangu,kila mtu ana mtazamo wake.Ukimsaidia mtu imeisha hiyooo siyo unataka awe mtumwa wako kisa umemsaidia.Nimependa Sana ushauri wako ni NZURI
Lkn nimegundua KUNA baadhi ya watu huchangia madam haraka haraka bila kuangalia dhima kuu ya mwandishi.Narudia Tena jamani I wish niipige picha halafu anachoifanyia.Hata wewe ungeumia kwanza ni dharau kwa nguo ya thamani na kwa kuifubaza huko lengo lake lisingekuwepo au Kama msemaji mmoja alivyosema labda mista alimsifia wakiwa wawili Mimi nitajuaje
Mbona hiyo nguo Hana Tena.Ni kwamba nikimuona nayo anaidekia ningeumia wacha apambane na zake ambazo amezizoeaNdio maana wakawa dada wa kazi. Mnatakiwa mjue calibre ya haw watu. Umemuona wapi dada wa kazi form six leaver?? Hata hao form 4 leavers kama wapo ni wachache sana sana sana.
Kuhusu mada yako ndugu yangu, tulia muache dogo avae nguo nzuri anavyotaka. Ikiharibika usimnunulie nyengine au usinipe. Ùsipoangalia huyu dada hatodumu hapo kwako maana wanawake mna matatizo sana nyinyi.
Best comment everSasa kwa kuwa unataka kumpangia kwa sababu tu umempa basi ningekushauri ACHA KUMPA. Mshukuru mumeo hajakutwika makofi kwa ufinyu wa akili zako.
Wala hujaelewa .Ukikosea masharti ya kitu lazima utakipokonyaKwanza ulifanya vyema kumpa mtumishi wako wa ndani nguo. Naongezea..hakikisha mtumishi wako wa ndani anafanana na familia yako, usiendekeze tabia za kusema unamlipa mshahara kama waswmavyo wengine.
Kumbuka anakutumikia na ndio mlinzi namaba moja wa afya yako na watoto.
Mume wako yuko sahihi kukwambia hivyo kwani ulitumia lugha ya masimango.
Uliyempa huwezi kumwambia avue ukampe mwingine.
Hukumpa kutoka moyoni kama vile ulimwazima.
Hapo awali ulikuwa ukimshauri vyema ungeendelea vilevile na sio kutamka avue ukampe atakayethamini.
Ukitoa sadaka iondoke moyoni lakini wewe bado unaipangia matumizi...hili ndilo tatizo kubwa la wanawake wengi.
Mmeo ni muungwana sana..anatuwakilisha waungwana.
Haaaa haaaa wanaume wanachelewa Basi muda tu inakuwa bado au mtu awe na hofu ya MunguNa hapo vita itakuwa rasmi kati ya shemeji na dada yetu kitu ambacho kinaepukika.
Hali hii isipoepukika shemeji atajikuta anatuhumiwa hata kwa kutembea na house girl
Aksante dear.We umenielewa vyemaMm kwangu umefanya vzr San mnk alikuwa anakutia aibu na nguo chafu iko HV hata mm mfanyakazi wa kwetu alikuja alitokea ngara uko Hana nguo Zaid ya sketi aliyomalizia shule sas bas nikampa jesi yangu nzuri San ya arsenal awe anafah na kuitumia Kama akitumwa buchani aisee ile kitu ile leta shida sna kwani hata shemeji zangu na watu wa jirani walizani kuwa natembea nae kumbe mm nilimpa tu jesi mnk hata hvyo mm siyo shabiki wa arsenal. Napia niliknuunu tu kwa kulenda rangi
Wewe Kama sio baba watoto na ID mpya sijui maana umekazanaNikushauri tu,Leo naomba chukua hiyo nguo yako,maana kwa jinsi ulivyo ishupalia,itafanya hata ujenge chuki na huyo binti.
Ikaja pelekea umchukie na kumkaripia Mara kwa Mara,chanzo kilicho jengwa na Hilo vazi ambalo unadai umempa huku unaishi Kama umemuazima.
Kitendo tu Cha kumwambia utamnyang'anya umpe ndgu yako mwingine,hii ni tabia mbaya San umeonesha,ukimpa mtu kitu toa na usikumbuke.
Na Hadi mda huu hujakubali unakosea,nasisitiza punguza ujuaji na kujiona uko sahihi mda wote,kutoa ni moyo,kutoa ni kutoa Kama sadaka.
Angalia usimtekenye alo kubeba,akizinduka utajikuta chini,namaanisha huyo bint ndo anakupikieni chakula,angalia hujui mwenzio anachukulia vipi jinsi unamsema sema na kinguo chako ulicho mgea,dunia imebadilika watu vichwa vya Moto,isije kuwa majuto baadaye.
Achana nae,mpuuzie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi nilinunua jeans kali 25000 enzi hizo ikanibana kiuno ikiwa mpya kabisa nikampa ndugu yangu mtoto wa ba mdogo kesho yake akaikata pensi,