Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,934
- 13,950
Usitumie nguvu sana kumwelewesha mtu mzima had mmeo akaingilia. Kumbuka wanaume tuna huruma sana na vibinti vya umri huo ukivionea huruma ukajidai kuvitetea vinahisi umeisha vitaman vinazidisha majaribu.
Sasa chakukushauri japo kinaweza kuonekana cha kijinga kama haelewi nini unamfundisha mshonee sare special kwaajiri ya kufanyia kazi na umununulie nguo nyingne (ili kuonesha humkomoi) za kutokea, umwambie wakati wa kaz ni lazma awe kwenye hiyo sare yake ya kaz ila wakati hana kaz ni ruksa kuvaa nguo yoyote atakayo jisikia kuvaa.