Nje ya box.
Ninavoona kwa umri wa 18yrs huyo ni mtu mzima. The fact kua hakua na nguo ni sawa, but nadhani the best approach ungetoa nguo zoote unazotaka kumpa alaf yeye achague ipi anataka au hataki. On top of that, ungemuuliza ipi anadhan inafaa kutokea na ipi ya kushindia, then hapo maybe umuongezee ushauri.
We differ in perspective, we unayoona ya kutokea, kwake anaeza hisi haimpendezi na huwez badilisha hilo. Women hua wana insecurities kibao about theor bodies. Hyo nguo yaeza kua nzuri but yeye anaona inamfanya maybe manyonyo yaonekane vbaya n.k.
Kuhusu huyo mista, hili suala usingehangaika nae maana sisi wanaume tunaamini wewe ndo waziri wa ndani so kuna vitu you solve them hasahasa mambo yanayohusu wanawake kama beki 3 aliepo.
Muhim mkazie beki 3 awache kukaa kihasarahasara mbele ya bwana ako. Kaa ukijua, HUEZI KUTUMIA MUWA KAMA FIMBO YA KUTEMBELEA, LAZMA UTAULA TU.