Leo asubuhi kulitokea mabishano home

Leo asubuhi kulitokea mabishano home

Kivipi unampa mtu kitu na kumpangia masharti. Big NO. Mumeo yuko sahihi kabisa kukueleza hivyo. Halafu kama mtu anakuja kutoka kijijini si mumpeleke hata Manzese au Tandika huko kwenye mitumba ya bei rahisi mkamnunulia hata nguo za elfu 20 ila nyingi ili apate kujistiri na kuonekana kimjini. Nyie ndio mahausi gelo wenu wanakatiza huku Masaki (International Area) na mikanga utadhani tuko Sikonge Tabora

Mie niliwahi kumpa House Boy wangu radio Sony akaishi nayo kwenye servant quarter yake maana alikuwa anapenda kusikiliza michezo kwenye simu. Kuna siku baada kama mwaka hivi akaja ananiambia radio imeharibika nilichomjibu ndio kama kama scenario yenu nilimwambia nimeshakupa hiyo radio mie sihusiki tena nayo. Kama imeharibika mwite fundi uitengeneze. Vipi kama ungekuwa umeshaondoka kwenda kwenu ungenitafuta nije kukutengenezea radio

Unapotoa kitu umetoa achana nacho. Unapojihusisha nacho ina maana hujatoa kwa moyo mmoja

Unaonekana una matatizo ya ubinafsi na mumeo analifahamu hilo ila tu hajakwambia anajaribu kukuelekeza ili usiumie
 
Waoooh! What a nice advise.Hii sms sikuiona mapema.Sasa wewe NDO umenielewa vizuuuuuri.
Mana wengine walikuwa wananipiga na kitu kizito kichwani.
Wanazingua sana. Hauwezi kumuacha mtu afanye kitu kisicho sahihi eti kwa kuwa ana uhuru huo.
 
Kugawa nguo inahitaji moyo wa uvumilivu hasa ile unayoipenda ikitendewa ndivyo sivyo inauma sana.

Gawa zile nguo unazoona hazitakuletea shida hata ukikuta imegeuzwa dekio
 
Hawa wanawake wa kileo ni kenge kabisa, wanapenda mabishano, ujuaji mwingi jambo dogo atazua mjadala mpaka jf aise qmamae wanaume tunakazi.
Sasa tufanyaje jameni wakati kitobo chao ni kitamu 🤣🤣🤣🤣

Mie ndio maana nasema tuwagegede tuu
 
Mista yuko sahihi, kwa mtazamo wangu. Umempatia mtu kitu, mwache akitumie kwa kadri anavyotaka yeye.. kumpangia pangia namna ya kukitumia means bado hiyo ni mali yako na yeye umemwazima tu.
Ndio maana akina mama wengi mnashindwa kukaa na wadada wa kazi kwa sababu ya unoko wa kijinga.
 
Upupu you wa ajabu.Soma vizuri na acha hasira.Lengo la kumpa halikuwa Hilo.Na ni Kama mwanangu si mpita njia ambaye kweli ukimpa huwezi mpangia.Jua kutofautisha.
Acha sound za kitoto, huyo ni mwajiriwa wako na unamlipa pesa mwisho wa mwezi. Msikilize mumeo acha ubishi wa kipumbafu.

Utetezi wa "huyu ni sawa na mwanangu" ni wa kijinga tu kwa sababu when push comes to shove huyo mfanyakazi utamfukuza na watoto uliozaa watabaki, huo utetezi wa kihayawani ndo huwa unatumiwa na wamama wenye roho mbaya kama yako.
 
Haaa haaa haaaa (naona we ni mmoja wa wale watu wanaochangia mada bila kusoma maelezo vizuri.Labda nikufafanulie na wewe.Ndio nilimpa lkn kwa masharti kwamba hii ya kutokea na hizi za kufanyia usafi.Sasa hayo ya kuchapana makofi umeyasema wewe bila kutafakali Nia yangu njema.
Binti naona una kichwa kigumu sana.
 
Habari waungwana.

Habari ipo hivi. Nyumbani tuna House gal ambaye Kama kawaida husaidia kazi za Nyumbani pamoja na kulea watoto .Sasa wkt anakuja nikagundua Hana nguo za kutokea kwa maana mfano kutokea tukienda mahali au akiumwa au akienda tembelea ndugu ZAKE weekend.

Nilichofanya nikampa nguo yangu moja NZURI ambayo hata Mimi ni zile za kanisani au kwenda sehemu special na pia nikamuongezea na za kushindia kwa maana za Nyumbani Kama anafanyafanya shughuli ndogo ndogo ,lakini wkt Nampa nilimfafanulia na Tena siku iyo nakumbuka alifurahi Sana na ni siku alikuwa anaenda kusalimia ndugu zake ilibidi avue Ile aliyokuwa ameivaa na kuvaa ile niliyompa akisema anashukuru Sana na ameipenda Sana .

Na alipovaa ni Kama alipimwa ilimpendeza Sana. Baada ya Kama wiki nikagundua Ile nguo ameigeuza ya kushindia na NDO anafanyia usafi.Nikamwita nikamwelekeza kwa Nini asivae zile zingine kwa maana Ile uwe Kama nilivyomuelezea.Akaelewa akaivua na kuifua.

Sasa Leo asubuhi naamka nikamkuta ameivaa anaifagilia nje na hata Jana yake aliivaa anamenyea nduzi(nikiongelea hivyo nduzi Zina utonvu na ni nyeupe) Nikamuuliza mbona umerudia kuifubaisha nguo NZURI na nilikuelezea? Nikamwambia vua ntampa hata ndugu yangu atakayeithamini.

Sasa Baba watoto akasema Kwanza Iyo nguo kumpangia masharti aivae vipi umekosea kwa kuwa wakati unampa hakukuomba ulimpa mwenyewe na kanuni ya kumpa mtu kitu chochote ukishampa umempa matumizi ni juu yake hata angeamua kudekia kufanyaje ni yeye maana imekuwa yake.

Kweli Kama mama nimeshangaa Sana kwa hizo kauli. Je Mimi makosa yangu ni yapi au ni kweli mtoto ndani ya nyumba hupaswi kumshauri(Huyo msichana Ana miaka 18 kwenda 19) Na ikumbukwe ni mista huyo huyo aliyenilalamikia kwamba huyo msichana tangia aje anavaa vinguo vyepesi na khanga tu akijua na yeye yupo kwa maana Kama Ana majaribu na akimfananisha na dada mwingine ambaye aliondoka ambavyo hakuwa na majaribu Kama ya huyu wa Sasa kwa maana kujipitisha Mara kajilaza ovyo Yaani Mambo Kama hayo.

(Kwa hayo malalamiko yake nikaongea na Dada nikamshauri jinsi ya kuvaa na hasa azingatie nguo za heshima.Walau akabadirika.
Sasa Leo NDO hayo.

Naombeni maoni na mista atawasoma Mana kajaa tele humu
...Suala ni kwamba ukiisha mpa kitu Mtu Sio chako Tena na Usikiwekee Masharti.
Umemshauri mara Moja inatosha. Kama karidia Tena haikuhusu!
Labda anapenda kuivaa Kila siku na sio siku Moja TU kuendea Mahali?
Umeishamshauri mara Moja baasi, inatosha! Asije akaona unamuwekea Masharti na Nguo uliyompa Mwenyewe!
Namuunga mkono Mr.
 
...Suala ni kwamba ukiisha mpa kitu Mtu Sio chako Tena na Usikiwekee Masharti.
Umemshauri mara Moja inatosha. Kama karidia Tena haikuhusu!
Labda anapenda kuivaa Kila siku na sio siku Moja TU kuendea Mahali?
Umeishamshauri mara Moja baasi, inatosha! Asije akaona unamuwekea Masharti na Nguo uliyompa Mwenyewe!
Namuunga mkono Mr.
Agree agree agree [emoji817]

Mleta mada ana gubu tu na wale maboss wanoko yani house girl aonekane house girl kama mtumwa na baba asicomment ,anangangania ooh nyumba ni mama kwa ubabe,nyumba ni furaha nyumba ni masikilizano . Kwakweli umaskini ndio shida gauni tu linaleta masharti hivi je ingekuwa kampa kitu kingine.

Dada jirekebisbw hebu mfanye dada akae kwa amani kama mtoto wako. Punguza small nonsense , be matured to see and understand from various angles.

Amani kwenu
 
Nimependa Sana ushauri wako ni NZURI
Lkn nimegundua KUNA baadhi ya watu huchangia madam haraka haraka bila kuangalia dhima kuu ya mwandishi.Narudia Tena jamani I wish niipige picha halafu anachoifanyia.Hata wewe ungeumia kwanza ni dharau kwa nguo ya thamani na kwa kuifubaza huko lengo lake lisingekuwepo au Kama msemaji mmoja alivyosema labda mista alimsifia wakiwa wawili Mimi nitajuaje
Kwanza kuongelea nguo kila siku uliyompa mtu inaonesha bado unaitaka,siyo ustaarabu ktk jamii ya wastaarabu,mradi umemshauri kuwa hiyo ni ya kutokea na umeona bado anaitinga mwache,siku akitaka kutoka akikosa nguo ndo atakukumbuka,ila unachofanya siyo ustaarabu hata mm ningekuwa mumeo ningeona kama unamnyanyasa binti kisa umempa nguo kitu ambqcho hata siku mwanao akienda kwa mtu akakwambia anafanyiwa hivyo hata kama ni kwa nia njema hutafurahia!!
 
Aksante best.
Na Leo nimeelewa kwa Nini darasani mpo wote wengine wanafeli na wengine wanafaulu.
Mfano hili suala.Watu wanashindwa kutofautisha watoto unaoishi nao ndani na jinsi unavyotakiwa kuwa train.
Msichana wa kazi Mimi humchukulia Kama mwanagu wa kumzaa kwa maana hata mwanangu KUNA nguo hawezi tu akaishindia ovyo eti kwa sababu ni yake na nilinunua au nilimpa.Sasa Mimi kusema nilimpa Aina ya nguo ya kutokea na pia nikamuongezea na za kufanyia kazi.Tena SIO kwamba akiwa Nyumbani asivae hapana anaweza vaa Ila Ile asubuhi kuidekia kuilimia au wkt anamenya ndizi..kwa maana inaweza pata utonvu.Au point ya kusema hii nguo ya kutokea au uitunze vizuri NDO haijaeleweka naonekana namuonea
Sasa umekija kuomba ushauri huku unataka aina ya majibu yanayokufurahisha,Mumeo yupo SAHIHI kwa herufi kubwa!!no matter unamchukulis huyo housegirl kama mtoto wako yy anakuona kama dadayake nahapo yupo kazini,umeamua kumpa nguo mpe umemshaur hajaelewa achana naye!!atanifunza mbele ya safari,na isiwe sababu ya kutomnunulia nguo nyingind maana unaonekana una gubu utaweka jambo rohon kisa nilokupa ulifuja bsi sikununulii tena!
 
Back
Top Bottom