Leo asubuhi kulitokea mabishano home

Leo asubuhi kulitokea mabishano home

Mfano wewe mtu anakupa nguo kama zawadi siku amekukuta nyumbani umeshindia anakwambia hio nguo sio ya kushindia

Kila ukivaa hio nguo ukikutana naye mara akwambie hii nguo sio ya kupitia hii njia ina vumbi sana utaifubaza nguo nzuri sana niliyokupa

Utajisikiaje

Ukipata jibu basi utaelewa wewe ni mtu wa aina gani
Umesoma vizuri toka mwanzo?kwa Nini Kama ni hivyo huwa watoto wakitoka na nguo kanisani au na nguo special mahali husema vua Kwanza hiyo nguo Na Mimi sijamchukulia Kama mtu Bali au jirani au mtu nisiyekaa Naye na sijawahi mwambia asivae Ila asiifanyie kazi mfano wkt anafagia au wkt anamenya ndizi.Na wkt Nampa nilimwambia hii ya kutokea .

Na SIO hivyo tu nikamuongezea zingine za kufanyia kazi asubuhi kwa maana hata akivaa iyo nguo Nyumbani wkt hafanyi zile kazi za kuifubaza Haina shida.Nikisema kuifanyia kazinunaelewa NDO Mana hata shambani KUNA nguo zake usijifanye hujaelewa
 
Mumeo yupo sahihi.

Pia wakati mwingine siku ya kwanza unapopata dada wa kazi wakati unampa maelekezo usafi unafanywa hivi, jiko linawashwa hivi, jagi la maij unawasha vile , micro wave unatumia hivi ,

ibada kwangu ziko hivi na ni lazima zifanywe ikiwa imani ni moja, mwambie pia kwako stara unayoihitaji ili siku akienda tofauti unakua umeshamuelekeza
 
Dada yangu wacha gubu. Hiyo nguo si umeshamgaia huyo msaidizi wenu wa kazi za ndani?? Ya nini sasa kuanza kumpangia namna ya kuvaa?? Angeichukua na kuifanya dekio hiyo ingekuwa ni issue nyengine maana ingekuwa ni dharau. Lakini kwa vile anaivaa basi haina haja ya kuanza kumpangia
Naomba Soma maelezo vizuri.Hata angeivaa siku zote Haina neno NDO Mana hata Jana baada ya Mimi kutokea kazini aliivaa na Wala hakuwa na shida na ni Mimi nilimwambia SIO kwamba ukiwa Nyumbani NDO usipendeze hapana.Nina maana unapoamka Nyumbani KUNA kazi nyingi mfano sisi tuna mpaka Bustani garden ya maua Sasa zile kazi kazi za asubuhi Kama ni nguo NZURI lazima isidumu au inafubaa.Na.wkt Nampa nilimwambia na nikampa na hizo za kazi pia mwenyewe anazo.Sijasema asivae
 
Changamoto ndogo kama hiyo mnaileta JF itatuliwe?
Any way Dada kalipenda Hilo gauni ndo maana analivaa anytime.
Mnunulie mengine
Naomba uelewe mantiki ya ujumbe NDO uchangie NDO Mana Kila kitu hapa Duniani kina Mana yake.Labda Kama mmoja aliyeandika alimpa jinsi yake ndugu yake NZURI kesho yake akaikata pensi ni kweli alimpa but aliumia unajua kwa Nini aliithamini na yeye kumpa ni kuithamini nguo kwa maana huenda ndugu yake akawa wa tofauti Ila kwa kuifanyia vile ni dharau na sidhani Kama anaweza akampa Tena kitu chake
 
Kama ulishamshauri mara kadhaa na anarudia basi ana njia zake za kufix hiyo ishu, miaka 18 kwa kizazi hiki huyo ni mkubwa tayari.
Acha kumpangiapangia kisa ulimpa nguo, na Mr anaona kama ni kero kila siku kuongea kitu hichohicho.

Anaona hata angekua yeye asingependezwa na hiyo hali ya kuambiwa kila siku vaa hii, usivae ile.
 
Mumeo yupo sahihi.
Pia wakati mwingine siku ya kwanza unapopata dada wa kazi wakati unampa maelekezo usafi unafanywa hivi, jiko linawashwa hivi, jagi la maij unawasha vile , micro wave unatumia hivi ,
ibada kwangu ziko hivi na ni lazima zifanywe ikiwa imani ni moja, mwambie pia kwako stara unayoihitaji ili siku akienda tofauti unakua umeshamuelekeza
Sawa.Nimekuelewa naona Kama KUNA baadhi wameelewa na wengine wanajibu bila kusoma vizuri.Narudia mstari mmoja 'baada ya kugundua Hana nguo ya kutokea nikampa nguo yangu special ili naye akipata kamtoko avae na nikiwa mbioni kumpa zingine NZURI licha ya kwamba zaidi ya hiyo nimeshampa zingine nyingi.Gii nguo special ni ya kutokea au wewe hujawahi kuwa na nguo special unajivaliaga tu?
 
Kama ulishamshauri mara kadhaa na anarudia basi ana njia zake za kufix hiyo ishu, miaka 18 kwa kizazi hiki huyo ni mkubwa tayari.
Acha kumpangiapangia kisa ulimpa nguo, na Mr anaona kama ni kero kila siku kuongea kitu hichohicho.

Anaona hata angekua yeye asingependezwa na hiyo hali ya kuambiwa kila siku vaa hii, usivae ile.
Nimependa Sana ushauri wako ni NZURI
Lkn nimegundua KUNA baadhi ya watu huchangia madam haraka haraka bila kuangalia dhima kuu ya mwandishi.Narudia Tena jamani I wish niipige picha halafu anachoifanyia.Hata wewe ungeumia kwanza ni dharau kwa nguo ya thamani na kwa kuifubaza huko lengo lake lisingekuwepo au Kama msemaji mmoja alivyosema labda mista alimsifia wakiwa wawili Mimi nitajuaje
 
Kauli ya Mr imekutatanisha ukaona anamtetea maid, may be anataka kupiga U-turn nini la hasha. Stay positive, Mr wako yuko right. Ukimpa mtu kitu usimpe masharti.
 
Umesoma vizuri toka mwanzo?kwa Nini Kama ni hivyo huwa watoto wakitoka na nguo kanisani au na nguo special mahali husema vua Kwanza hiyo nguo Na Mimi sijamchukulia Kama mtu Bali au jirani au mtu nisiyekaa Naye na sijawahi mwambia asivae Ila asiifanyie kazi mfano wkt anafagia au wkt anamenya ndizi.Na wkt Nampa nilimwambia hii ya kutokea .

Na SIO hivyo tu nikamuongezea zingine za kufanyia kazi asubuhi kwa maana hata akivaa iyo nguo Nyumbani wkt hafanyi zile kazi za kuifubaza Haina shida.Nikisema kuifanyia kazinunaelewa NDO Mana hata shambani KUNA nguo zake usijifanye hujaelewa
Sasa kwa kuwa unataka kumpangia kwa sababu tu umempa basi ningekushauri ACHA KUMPA. Mshukuru mumeo hajakutwika makofi kwa ufinyu wa akili zako.
 
Nimependa Sana ushauri wako ni NZURI
Lkn nimegundua KUNA baadhi ya watu huchangia madam haraka haraka bila kuangalia dhima kuu ya mwandishi.Narudia Tena jamani I wish niipige picha halafu anachoifanyia.Hata wewe ungeumia kwanza ni dharau kwa nguo ya thamani na kwa kuifubaza huko lengo lake lisingekuwepo au Kama msemaji mmoja alivyosema labda mista alimsifia wakiwa wawili Mimi nitajuaje
Acha kuwaza ujinga sasa, na hilo ndo huwa tatizo lenu wanawake.
Mnawaza mambo ambayo huenda jamaa hana hata habari hiyo, usikute mumeo wala sio mtu wa tamaa kiasi hicho ila kisa jamaa wa jf kasema kitu ambacho na ww unakiwaza basi ukaegemea huko pia.

Mi nachohisi hata huyo Mr anashangaa jinsi jambo hilo unavolikuza.
Mwisho wa siku atashauri mumtimue huyo girl kisa anawaharibia ndoa yenu.
 
Shoga wanaume hawapendagi mikelele, wewe ukitaka kumsema HG msemee huko pembeni, shida unataka support ya Mr...
Wanaume Wana roho nzuri sana....!
Malegend tunawakanya ma HG tukiwa alone.
Mamy K naona umesahau kuswich account.
 
Shoga wanaume hawapendagi mikelele, wewe ukitaka kumsema HG msemee huko pembeni, shida unataka support ya Mr...
Wanaume Wana roho nzuri sana....!
Malegend tunawakanya ma HG tukiwa alone.
Exactly, hata mimi ndicho nachoona huyu bibie anataka support ya Mr.
Hizo kelele za kila siku unavaa hii kwanini usivae ile, kesho na keshokutwa tena jambo hilo hilo lazma jamaa kakereka ila bibie anahisi anamtaman huyo binti.
 
Naomba Soma maelezo vizuri.Hata angeivaa siku zote Haina neno NDO Mana hata Jana baada ya Mimi kutokea kazini aliivaa na Wala hakuwa na shida na ni Mimi nilimwambia SIO kwamba ukiwa Nyumbani NDO usipendeze hapana.Nina maana unapoamka Nyumbani KUNA kazi nyingi mfano sisi tuna mpaka Bustani garden ya maua Sasa zile kazi kazi za asubuhi Kama ni nguo NZURI lazima isidumu au inafubaa.Na.wkt Nampa nilimwambia na nikampa na hizo za kazi pia mwenyewe anazo.Sijasema asivae
Mkuu acha ujuaji. Wewe unataka ushauri au umetaka kubishana?? Mumeo yupo sahihi. Ukizidi kumbugudhi na hoja zako hizi atakuwa haivai kabisa halafu utaanza kumuuliza mbona nguo niliyokupa huivai??
 
Back
Top Bottom