BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,353
- 9,054
Kwamba umempa nguo nyingi ila ya kutokea special ndo umempa hiyo moja tu?Sawa.Nimekuelewa naona Kama KUNA baadhi wameelewa na wengine wanajibu bila kusoma vizuri.Narudia mstari mmoja 'baada ya kugundua Hana nguo ya kutokea nikampa nguo yangu special ili naye akipata kamtoko avae na nikiwa mbioni kumpa zingine NZURI licha ya kwamba zaidi ya hiyo nimeshampa zingine nyingi.Gii nguo special ni ya kutokea au wewe hujawahi kuwa na nguo special unajivaliaga tu?
Halafu ni mfanyakazi wako?
Hapana kuwa wazi dadangu ni hivo tu ndo umekuja fungulia uzi kisa nguo tu uliyompa?
Mie nasema kuna kingine labda.HAIINGI AKILINI KABISAAA labda uwe mchoyo .