Lengo la ziara ya Obama ni hili hapa

Lengo la ziara ya Obama ni hili hapa

Jamani wakati mwingine tuache uzushi! Yaani rais wa Marekani atumie dola milioni 60-100 kuja kuongea mambo ya ushoga? Wamarekani (walipa kodi) wangemuacha kweli?

Na kama ni kweli anakuja kueneza ushoga, je, Afrika Kusini nako anaenda kufanya nini maana tayari nchi hiyo (Afrika Kusini) wanaruhusu ushoga?

Hebu tuache uzushi.
 
kwa hili la ushoga, obama hana dini hata chembe, anawezaje mtu kama yeye apigie debe ushoga? huyu mtu sijui atamjibu nini MUNGU siku ya ufufuo ikifika! haya bhana, japo sisi maskini lakn hatukubali utuletee habari za kihivyo....
 

Utafiti wa miongo mitatu iliyopita waonyesha kuwa kuundwa kwa akili ya mtoto tumboni mwa mama kabla ya kuzaliwa pamoja na genetics ya binadamu, huchangia katika ushoga. Wingi wa hormones za kiume tumboni mwa mama hubadili sehemu ya ubongo inayoshughuli
kia jinsia ya ushiriki wa ngono. Utafiti wa masege (lesbians) hujafanywa sana; lakini kuna ushahidi kuwa maumbile yao ya genetics ni tofauti. Kuna watafiti wengine ambao wanaamani kuwa mazingira yaweza kuzidisha au kupa nguvu tofauti hizi za kimaumbile.
Tofauti hizi za kimaumbile haziwezi kufananishwa na uraibu wa pombe au majaribu ya kudangan-ya au kusherati. Watafiti wengi wanaamini kuwa mwelekeo wa jinsia ya ngono ni tofauti ya kawaida ya maumbile kama vile rangi ya macho au nywele, aidha, uzoefu wa matumizi ya mkono wa kulia au kushoto, kwa sababu USHOGA hupatikana kwa takriban wanyama wote duniani
 
Dah! Inasikitisha sana! Mungu wa neema na upendo tuondolee hii balaa nchini mwetu!! Amen!
 
Naweza kukubaliana na wazo la Revocatus la kuwavumilia mashoga,Tunaoishi nao tu mbona wengi mtaani ila suala la kutambua haki zao kwakweli kwa upande wangu itakuwa ngumu kukubaliana nalo.Haki gani hizo mashoga watakazostahili kupatiwa?Ndoa za maKanisani na Misikitini?Wajitangaze katika familia zao kwamba ni mashoga?Wajitangaze katika maeneo wanayofanyia kazi kwamba wao mashoga?Hell no!!?Big no!This will be too much to take,We are Africans,We have our own way of living,We respect our culture,tradition,beliefs,customs and our values.These are things that make us Africans.We are proud of them.For Americans trying to shovel these immoral values down our throats is tantamount to disrespecting our cultures,traditions,beliefs,values thus they (westerners) are disrespecting us Africans for what we are.We Africans should stand united and stand up for what we believe in.We should not let money buy our humanity.
 
Mara nyingi huwa nawaza huwezi support USHOGA unless wewe mwenyewe ni shoga au ni tunda la huo ushoga
Otherwise to me haingii akilini!
 
Obama anakuja na mengi mazuri lakini watu wameona hilo tu la GAY rights.

Wabongo bana
 
Mkuuqhapa mbona naona km unakosea?

watz ni wanafiki sana hawa mashoga ndio tunaishi nao mtaani kila sikuna wakiwa kwenye taarabu tunawashangilia sana na sisis wenyewe ndio tunaowalawiti sio wageni kutoka njee hawa mashoga wana mabwana wa kibongo wengi ila hao mabwana ndio hao hao wanaofanya wanapinga sana ushoga sasa huo si unafiki
 
Naki za binadamu,utawara bola,na demekrasia ndimo walimotufungia,je tutatoka hapo kweri?

kazi ipo. mi nilipo ona idadi kubwa ya nchi za afrika zilizoridhia ushoga, sikuamini macho yangu. waafrika njaa zinatusumbua
 
Jamani wakati mwingine tuache uzushi! Yaani rais wa Marekani atumie dola milioni 60-100 kuja kuongea mambo ya ushoga? Wamarekani (walipa kodi) wangemuacha kweli?

Na kama ni kweli anakuja kueneza ushoga, je, Afrika Kusini nako anaenda kufanya nini maana tayari nchi hiyo (Afrika Kusini) wanaruhusu ushoga?

Hebu tuache uzushi.
Watanzania tuna ushoga wa kiakili.Kuna watu wanaamini kabisa kuwa ndo kilichomleta?Badala ya kufuatilia mikataba tunayoingia ya kimangungo sisi tumebakia tu na porojo.
 
watz ni wanafiki sana hawa mashoga ndio tunaishi nao mtaani kila sikuna wakiwa kwenye taarabu tunawashangilia sana na sisis wenyewe ndio tunaowalawiti sio wageni kutoka njee hawa mashoga wana mabwana wa kibongo wengi ila hao mabwana ndio hao hao wanaofanya wanapinga sana ushoga sasa huo si unafiki

Uko sahihi hahahaaaaa, tatizo ni kuufanya uwe legal mkuu, nani atathubutu kufanya hilo? Ila mimi najua hii serikali inaweza kupenyeza mswaada kama huo kijanja bungeni na ukapitishwa! Kwa mfano wakileta mswaada unaosema "A Bill to recognize and respect rights of minorities in Tanzania" Halafu waka highlight minorities ni Albino, Wahandzabe etc na wasitaje kabisa Mashoga! Nakwambia wabunge wa CCM watapitisha muswaada kama ule ambao indirectly utakuwa umehalalisha vitendo vya kishoga nchi...
 
Back
Top Bottom