Lengo la ziara ya Obama ni hili hapa

Lengo la ziara ya Obama ni hili hapa

watz ni wanafiki sana hawa mashoga ndio tunaishi nao mtaani kila sikuna wakiwa kwenye taarabu tunawashangilia sana na sisis wenyewe ndio tunaowalawiti sio wageni kutoka njee hawa mashoga wana mabwana wa kibongo wengi ila hao mabwana ndio hao hao wanaofanya wanapinga sana ushoga sasa huo si unafiki

wanafiki wengi sana......kuna mmoja namjua anaitwa b...l huyu ni gay 110%....anakubalika na maarufu sana hapa mjini....kwa msimamo ninaouona hapa jf angekuwa kashachinjwa ila unafiki tu......
 
Uko sahihi hahahaaaaa, tatizo ni kuufanya uwe legal mkuu, nani atathubutu kufanya hilo? Ila mimi najua hii serikali inaweza kupenyeza mswaada kama huo kijanja bungeni na ukapitishwa! Kwa mfano wakileta mswaada unaosema "A Bill to recognize and respect rights of minorities in Tanzania" Halafu waka highlight minorities ni Albino, Wahandzabe etc na wasitaje kabisa Mashoga! Nakwambia wabunge wa CCM watapitisha muswaada kama ule ambao indirectly utakuwa umehalalisha vitendo vya kishoga nchi...

kama wewe sio gay huyo gay anakukwaza nini???mwache na maisha yake.....mind ur own business.....i know whats coming.......
 
You are deadly wrong my pal! That is not the main agenda!. The main agenda is TRADE since China has already established his trade roots with Africa especialy Tanzania,Americans see as if they were taken by suprise by China visit . Now they are reacting. Take my words!

.
Who is the chairperson(grand master) for freemason lodge at the moment? Kuna wakati nilikuwa namshangaa mfalme wa Tiro kuitwa shetani na kwamba eti alikuwepo katika bustani ya Eden tukio lililokuwa nyuma yake kwa zaidi ya miaka 3000. Sasa sishangai tena baada ya kufahamu kwamba shetani ni roho, huwapagaa baadhi na wengine ni yeye kabisa katika umbo la kibinadamu(incanation). Kinachofanyika sasa katika dunia yetu ni kuzimu kutolewa shimoni na kufanywa halali kisheria na renown person ambao zamani walijulikana kama giant/manafeli.
.
 
Ishu sio kuunga ama kutokuunga
Ishu ni utayari wa wananchi, kama kuna ulazima lazima watu waandaliwe kukabiliana ama kuukubali

Vinginenvyo watu watadhani wanahimizwa kuwa mashoga.
Hatuna haraka, tunahitaji muda wetu kama taifa kulitafakari hili, kama hatuko tayari hatutaki presha.

Hiyo Issue haina hata haja ya kutafakari iko wazi kabisa hii mambo ya mashaoga hatuitaki ..

Nitashangaa siku naingia church au tunaenda misikitini na kukuta ndoa za mashoga inafungishwa nitazimia mie ..
 
Rais OBAMA akiwa kwenye news conference ameziambia serikali za Afrika kuwapa mashoga haki sawa na raia wengine kwa kuruhusu ndoa za jinsia moja.baadhi ya habari yenyewe hii hapo chini

"US President Barack Obama has called on African governments to give gay people equal rights by decriminalising homosexual acts.Mr Obama made the comments in Senegal after meeting President Macky Sall on the first leg of his African tour.

Mr Sall said Senegal was a "very tolerant" country but it was "not ready to decriminalise homosexuality".Homosexual acts are still a crime in 38 African countries, where most people hold conservative religious views.

In 2011, the US and UK hinted that they could withdraw aid from countries which did not respect gay rights.

Mr Obama said at a news conference that the issue did not come up in his discussions with Mr Sall.

source: BBC News

Uzi wenyewe huu hapa : http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-23078655
 
there is where l hate these guys,,,kunamangapi yakuisaidia Africa Tanzania in partcular, but lamsingi wanaloliona la kushupalia ni haki za mashoga....l know he is bright then, that cant hapn to be his GIFT TO TZ
 
serala ushoga ndio ajenda ya obama. obama amefanya sample za nchi lakini mvement ni kwa nchi zote
 
Gays wapo walikuwepo na wataendelea kuwepo na ni big part of our society,mtake mistake hata mkiwaua wote hawataisha na wala hawajaambiwa au kuiga yeyote kuwa hivyo wamezaliwa hivyo,mnawachukia bure tuu,mna tofauti gani na chuki za wazungu kwa mtu mweusi kwa ajiri ni mweusi tuu?wengine ni rafiki zenu na familia zenu pia,waacheni waishi maisha yao as long as ni raia wema na hawavunji sheria za nchi...gays wapewe haki zao na and must be protected from haters,period!!!
 
Back
Top Bottom