Lengo la ziara ya Obama ni hili hapa

Lengo la ziara ya Obama ni hili hapa

alert news:bomu kutia dosari ziara ya obama litapitia baharini maeneo ya ikulu litabebwa kwenye mtumbwi mdogo wa kuvua samaki kwani hawajakatazwa kuvua lengo ni kutia doa ziara na kuchafua serikali kwani sababu ya gesi na mafuta kuna usaliti ndani ya serikali baadh ya watu wanaotumika na wapambe
Hii hata wauza kahawa huwauzii
 
what is so special with homosexuality? Yaani ni ajabu kabisa. Kuna watu ni makuwadi wa shetani. Wanairudisha Sodoma na Gomora. Naamini kabisa hawa watu sio wakristo maana Biblia imekataza
 
US President Barack Obama has called on African governments to give gay people equal rights by decriminalising homosexual acts.

Mr Obama made the comments in Senegal after meeting President Macky Sall on the first leg of his African tour.
Mr Sall said Senegal was a "very tolerant" country but it was "not ready to decriminalise homosexuality".

Homosexual acts are still a crime in 38 African countries, where most people hold conservative religious views.
In 2011, the US and UK hinted that they could withdraw aid from countries which did not respect gay rights.
Mr Obama said at a news conference that the issue did not come up in his discussions with Mr Sal.

Huo ndio ukweli kampeni ya kutaka tukubali mashoga wawe na haki sawa ndio lengo la marekani. Ratiba nyengine ni kuweka mbwembwe tusijuwe kunanini.

Source: BBC News - Obama urges gay rights in Africa during trip to Senegal

mbona sioni
 
:A S 20:wanakuja kupanga nani wakumweka 2015!!!!!!! hakuna jipya hapa that y kila mwaka1 au 2 kabla uchaguzi august au july kunakua na ziala ya maraisi wa hii.AAAAGH!!! WAACHENI WALE BWANA!!!

View attachment 100027

So the guy is simply coming to chop off his share![/QUOTE]
 
Issue ya homosexuality tuipe muda wa kuifikiri na kuijadili, over and over sio unakurupuka na kuanza kunyanyapaa gays. Mf kuna baadhi ya wanaume since anazaliwa anakua ana ulemavu wa hormones badala ya kuwa na testosterone (ya male) anakuwa na geosterone (female) hata wasichana wapo wenye hormone za kiume (testosterone). Hivyo action za mtu kama female or male hutegemea sn hizi hormones. Male anapozaliwa na geosterone hormone its naturally desires zake zitakuwa kama za binti.

Najiuliza hivi kama tunaheshimu dis ability nyingine km ulemavu wa akili, ngozi na viungo vingine, kwanini hawa watu waliopata ulemavu wa hormone tusiwatambue???

Unao huo ulemavu?? Pole
 
Ndoa za shoga zikifungwa kanisani ni uzembe wa kanisa ama imani ya kanisa hilo
Kama itakukwaza suluhisho ni kuhama kanisa

Lakini, phobia ya ushoga ya mtu mwingine isimzuie shoga kuishi maisha yake, zinaweza tambuliwa kisheria lakini kimakanisa kila kanisa likapita kama linakubaliana.

Hivi, unadhani mtu anachagua sexual preference ama anajikuta yuko hivyo? Jiulize kwa nini Juma anapenda kifo cha mende na si doggy? ALichagua kupenda?

Cha muhimu ni utayari wa watu, mbona kutahiri wanamme imehamasishwa hadi imeanza kufanikiwa? Mbona kutotahiri wanawake imehamasishwa na imepiga hatua japo haijakwisha?

So, kwangu mimi, hili sio suala la kusema tu hapana ama ndio moja kwa moja

Hiyo Issue haina hata haja ya kutafakari iko wazi kabisa hii mambo ya mashaoga hatuitaki ..

Nitashangaa siku naingia church au tunaenda misikitini na kukuta ndoa za mashoga inafungishwa nitazimia mie ..
 
Ndoa za shoga zikifungwa kanisani ni uzembe wa kanisa ama imani ya kanisa hilo
Kama itakukwaza suluhisho ni kuhama kanisa

Lakini, phobia ya ushoga ya mtu mwingine isimzuie shoga kuishi maisha yake, zinaweza tambuliwa kisheria lakini kimakanisa kila kanisa likapita kama linakubaliana.

Hivi, unadhani mtu anachagua sexual preference ama anajikuta yuko hivyo? Jiulize kwa nini Juma anapenda kifo cha mende na si doggy? ALichagua kupenda?

Cha muhimu ni utayari wa watu, mbona kutahiri wanamme imehamasishwa hadi imeanza kufanikiwa? Mbona kutotahiri wanawake imehamasishwa na imepiga hatua japo haijakwisha?

So, kwangu mimi, hili sio suala la kusema tu hapana ama ndio moja kwa moja

Mume wako akibadilika na kuwa SHOGA wala usimuache ni suala la maamuzi tu au sio?
Halafu kitu kingine sio kila sheria itambuliwe kwani kuna sheria nyingine zinapingana na dini, sheria inaruhusu ndoa ya jinsia moja lakini dini inakataza.

Ni upuuzi na ni mtu -------- tu ambaye anayeweza kuunga mambo ya uchafu kama hayo.
 
Wee ni dini gani? Kwani wote tuko kwenye dini yako inayokataza ushoga?

Mume wangu akiwa shoga hiyo ni juu yangu kuamua kuishi naye ama lah

Hebu nipe tofauti ya uchafu na usafi kwenye mapenzi.

Mume wako akibadilika na kuwa SHOGA wala usimuache ni suala la maamuzi tu au sio?
Halafu kitu kingine sio kila sheria itambuliwe kwani kuna sheria nyingine zinapingana na dini, sheria inaruhusu ndoa ya jinsia moja lakini dini inakataza.

Ni upuuzi na ni mtu -------- tu ambaye anayeweza kuunga mambo ya uchafu kama hayo.
 
Nao(Mashoga) wana haki zao -kwa nini tuwanyime haki zao. Hivi nao siku wakiwa wengi na bahati wakashika madaraka watakuwa wanakosea kufuta na kupiga marufuku ndoa za mke na mume (hizi tulizozoea)? Wengi wape ila na wachache nao wasikilizwe.

Tuache haya mazoea - tufunguke.
 
Naona mkuu unajipigie debe kimtindo.
 
Madhara ni relative term, sigara haina madhara?

Kama mie siwezi ishi ns bwana shoga, haimaanishi wote hawawezi, hujasikia Anti Bilal anataka kuoa?

Kama kuna madhara kwanini uitumie? Ni mpuuzi peke yake atakaekubali kutumia kitu chenye madhara ambacho unakijua kabisa.
Sio kuoa may be kuolewa.
 
Madhara ni relative term, sigara haina madhara?

Kama mie siwezi ishi ns bwana shoga, haimaanishi wote hawawezi, hujasikia Anti Bilal anataka kuoa?

Halafu kwanini usiweze kuishi nae wakati uliunga hoja na kusema ni swala la maamuzi ya mtu?
 
wana jf, ushoga ushajihalalisha wenyewe tz, fungua mzibo. net uone jinsi wanavyoombana tigo bila aibu. wapo wengi sana
 
Back
Top Bottom