hali mbaya sana ndugu zanguni. bbc wametoa ramani ikionesha nchi za afrika zinazokubali ndoa za jinsia moja, na nchi zisizo kubali ndiyo hizo. idadi inakaribia kuwa sawa! inasikitisha sana! nchi za kiarabu kaskazini mwa afrika ndoa hizo haziruhusiwi na hukumu ni kifo au kifungo cha maisha. sielewi kwa nini zimewekewa kijivu hafifu (light grey) na siyo nyekundu! sidhani ushoga ndiyo jambo kuu lililomleta Obama. ameletwa kwa sababu za kiuchumi na kisiasa. naamini hata hilo la ushoga ataligusia kama alivyofanya Senegal. katika rasimu ya katiba, tumecopy na kupaste haki za binadamu zote. itabidi iainishwe vizuri kuwa ndoa za jinsia moja ni kifungo cha maisha. la sivyo tutakuja sumbuliwa kwa kisingizio kuwa ni haki ya mtu kuolewa au kuoa yeyote amtakae. jambo la pili, haki za binadamu zinataja haki ya mtu kuishi. lkn zinakosea kuhusu mtu anae mnyima mwenzake haki ya kuishi (anaeua) afanyweje? kwa maoni yangu, kama kaua makusudi, na yeye auawe. TUWE MAKINI NA NENO HAKAI ZA BINADAMU. wazungu wanachezea akili zetu![]()
Declare your interest.......Issue ya homosexuality tuipe muda wa kuifikiri na kuijadili, over and over sio unakurupuka na kuanza kunyanyapaa gays. Mf kuna baadhi ya wanaume since anazaliwa anakua ana ulemavu wa hormones badala ya kuwa na testosterone (ya male) anakuwa na geosterone (female) hata wasichana wapo wenye hormone za kiume (testosterone). Hivyo action za mtu kama female or male hutegemea sn hizi hormones. Male anapozaliwa na geosterone hormone its naturally desires zake zitakuwa kama za binti.
Najiuliza hivi kama tunaheshimu dis ability nyingine km ulemavu wa akili, ngozi na viungo vingine, kwanini hawa watu waliopata ulemavu wa hormone tusiwatambue???
Issue ya homosexuality tuipe muda wa kuifikiri na kuijadili, over and over sio unakurupuka na kuanza kunyanyapaa gays. Mf kuna baadhi ya wanaume since anazaliwa anakua ana ulemavu wa hormones badala ya kuwa na testosterone (ya male) anakuwa na geosterone (female) hata wasichana wapo wenye hormone za kiume (testosterone). Hivyo action za mtu kama female or male hutegemea sn hizi hormones. Male anapozaliwa na geosterone hormone its naturally desires zake zitakuwa kama za binti.
Najiuliza hivi kama tunaheshimu dis ability nyingine km ulemavu wa akili, ngozi na viungo vingine, kwanini hawa watu waliopata ulemavu wa hormone tusiwatambue???
Shindo kwa jina la yesu ibilisi shetan mkubwa ...mods ondoeni hii laaana huku nenda kuzimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu iblisi
Sasa Mkuu, Jinsia Moja tunge zaanaje???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
hujaona amesema atabeba bendera ya USA atasimama barabarani !Kwani CUF si Waliberali?Nadhani hii dhiara ya Waliberali wenzao inawahusu sana.Nadhani Lipumba na Maalim pia watahudhuria.
Shindo kwa jina la yesu ibilisi shetan mkubwa ...mods ondoeni hii laaana huku nenda kuzimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu iblisi
Kikwete akikubali upuuzi huo wa ushoga wa Obama atailetea balaa kubwa nchi yetu. Ningethamani asikubali.
Kwani wote tumekuwa mashoga?
watoto wote kwa utaratibu huu watakua wanaliwa viboga. Wataowana lakini watukua 2 in one.