Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

Kamanda Lema msamehe BURE huyo Mura, amang'ana gasarikile. Amefanya kazi nzuri sana kwa NIABA ya CHADEMA hastahili kufikishwa mahakamani. Kamanda Msamehe bure, ameipromote sana CDM wiki hii na mtapata SYMPATHY VOTES za kutosha kwenye hizo kata nne

Mkuu inaonekana humfahamu huyu houseboy vizuri, kwanza ututake radhi, haiwezi tokea Mulongo akawa Mura, amang'ana gasarikile, kwani hatuna tabia hizo za kujipendekeza, kujikomba, kulamba viatu vya wakubwa, kuwapigia magoti wakubwa, majivuno, kiburi, ujinga, jaziba, na kutojitambua. Kwa taarifa yako akina Mura huwa tuko straight forward na hatupepesi macho wala kupindisha pindisha maneno, yaani kama ni koleo tunasema ni koleo na siyo kijiko kikubwa.

Ndugu yangu huyo Mlongo a.k.a Muongo ni akina chasugu wasu, wakondya, echinumbu na ni mtoto wa dada yake katibu mkuu wa chama cha Magambaz aliye kabidhi mikoba yake kwa Jangili la ki-mataifa.

Hopefully utakuwa umenielewa.
 
Si mnazushia kesi kila uchao na lengo lao/lenu ni kama hivi.....ili mtoe hoja mfu kama hizi katika vinywa vyenu!!..After all Mulongo na CCM ndo wanatakiwa kufanya waliowaahidi wananchi na kepewa dhamana ya kuongoza serilkali!!!..Lema hakusanyi kodi!!!

Ama kweli ujinga ni mzigo,mbunge kazi yake kubwa ni kuwakirisha matatizo yenu katka serikali,kwa mfano ukimdai lema barabara,maji,shule,umeme na maisha bora unakosea kwani yeye umtume kuwa hayo ndiyo matatzo yenu aiambie dora itekeleze kwani dora ndyo pekee yenye mamlaka ya kutatua matatzo ya wananchi kwa sababu ndicho chombo pekee kinachosimamia mapato na matumiz ya serkali,ila wanaccm wao huamini kwa kutokujua ama kwa ujinga wao kuwa ni wajibu wa mbunge kulima barabara,kujenga mashule na kununua madawa ya binadamu kamwe hyo sio kazi ya mbunge.
 
Ushauri wa bure wa huyu ndugu mheshimiwa,kazi kubwa ya mbunge ni kuchukua kero za wananchi na kuzipeleka bungeni kwa namna ya kufanya serikali izitatue,sasa hayo anayofanya ni umbulula wa hali ya juu,anapaswa aheshim wapiga kura wake,anapoteza muda tu,asubiri hukumu yake.

kwani wanafunzi si binadamu na piya siwanaishi arusha.kaka kabla ya kuleta maendeleo hakikisha unasambaratisha wale wanaozuhiya maendeleo kwanza au kwa maana nyengine husijeungapanda mti palipo na mchwa,kwanza sambaratisha hao mchwa alafu panda mti wako.kwahiyo anachokifanya lema ni kusambaratisha kwanza mchwa ili hatakapo anzakupanda miti hiweze kustawi bila kubudhiwa na mchwa.
 
Chadema kwa unafiki kila siku wanasema hawana imani na mahakama zetu leo hii tena wanataka kwenda kwenye hizo hizo mahakama.

Mkuu, kweli umelewa sifa za kuishi kwenye mageti ya ikulu; yaani mahakama zimekuwa za Kikwete family & co. ?
 
Akizungumza na waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya CHADEMA mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya mkononi.

Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa Arumeru mMashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila imeshindikana.

'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema..miongoni mwa mawakili wa Lema atakuwepo Kamanda Tundu Lissu


Yeees....Mulongo MUST feel the fire!! Tena moto wa gesi! Akili za samaki namna hii zinawakilisha taswira halisi ya yule aliyemteua...useless man!
 
sasa unazungumzia magamba ambao tayari wote twajua hawafai? Tunazungumzia hawa ambao sasa wanasema wanaweza? So kazi ya Lema nini? Kwani keshafanya nini? watoto yatima gani kasaidia? Au ni ile michango alochangisha mount meru akaingia nayo mititni? Mbona hata Lema siyo tu? Hakuna kitu pale kichwani ni useless tu. Ukisema wabunge utaita Lema kweli jamani?
Nilijua ushauri unatoka ndani ya kichwa cha mjinga. Ni bora ukae kimya wewe n.gu.ru.w kuliko kuanzisha ujinga hapa. Wewe ni Magesa nini? Watu wote uliowaona Arusha wakimlilia ni wajinga kuliko jinga wewe? shut up dude lako bwana.
 
Kweli nchi wajinga ni wengi kweli nao wanajiita great thinkers. Bure Kabisa

huku ndani foolish head ndo wengi

Ushabiki tu hakuna kitu
 
Wanajamvi Mwaga CV yake huyo Kilaza Mulongo pumbavu zake.

CV yake haitakuwa na kitu huyo POYOYO tu. ShambaBoy wa Magogoni alipata wapi muda wa kukaa darasani. Jitu zima ovyoooooooooooooooooooooooooo!
 
Hakuna haja ya kutwa kuchwa mahakamani kikubwa hapa ni kuwatumia viongozi wa dini kwa utatuzi wenye sura ya msamaha.Ninyi nyote ni viongozi wa watu,busara hapa ni kuwatumia viongozi wa dini na ikumbukwe ninyi nyote ni watumiaji wazuri tu wa biblia.

Ndugu zangu wakati mwingine kutokuwatumia viongozi wa dini kwa utatuzi wa masuala yanayohusu amani ya roho na

badala yake kwenda mahakamani ni kuchochea chuki na uhasama usiokwisha.

Mkuu possibly wewe ndiye Muongo mwenyewe !! Ushauri wako hauna tofauti na nguvu za giza, Yaani ulikoroge mwenyewe , yakisha kufika shingoni ukimbilie viongozi wa dini, kwani ndo walio kutuma uandike messages za vitisho? Mkuu hapa huchomoki. Namuona Kamanda Tundu Lissu akiandaa silaha za kukuangamiza pale mahakamani kwa nock-out.
 
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa
jk aliyokuahidi ametimiza mangapi kilaza wewe??
 
Naunga mkono hoja! RC kadhalilisha serikali na chama chake. Lazima wananchi wa Arusha wampe staiki yake kwa kumzomea popote pale atakapo onekana ama kuhutubia. Naomba kuwasilisha.
 
Ushauri wa bure wa huyu ndugu mheshimiwa,kazi kubwa ya mbunge ni kuchukua kero za wananchi na kuzipeleka bungeni kwa namna ya kufanya serikali izitatue,sasa hayo anayofanya ni umbulula wa hali ya juu,anapaswa aheshim wapiga kura wake,anapoteza muda tu,asubiri hukumu yake.
...Kwa wanaArusha Huyo mkuu wa mkoa ni KERO kubwa. Mh Lema haipeleki bungeni bali anaishughulikia mwenyewe ili kuwaondolea kero hiyo wapigakura wake.
 
Acha mbulula aburuzwe kote kote.Kwanza ni aibu wana Arusha kuongozwa na kilaza kama yule.

Eti "mnataka serikali,serikali iko hapa",pumbavu kabisa na kiburi chake cha kifala!

Duh! jmushi1 !!!!
 
Last edited by a moderator:
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa

Ulitaka afanye kazi gani zaidi ya kuwawakilisha wananchi wa Arusha bungeni?
 
Nashauri kwa hii mikoa mikubwa kama Dar,Mwanza,Arusha,Mbeya, na kilimanjaro Raisi awe anateuwa watu wazoefu sio mtu anatoka kwenya ukuu wa wilaya anakuja kupewa mkoa mkubwa na wenye mapato mengi na watu ambao wamepata elimu siku nyingi hii itasaidia sana kwa maamuzi,nakumbuka wakati wa mzee Isidori Shirima haya hayakuwepo
 
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa


Kama CCM wangemuacha Lema bila kumbughudhi kwa miaka 5 sisi wapiga kura wake tungepata nafasi ya kumhukumu vyema 2015 lakini kwa kuwa CCM kila mara wanahangaika na Lema amekuwa hana muda wa kuwatumikia wapiga kura wake na hii ni sababu tosha ya CCM kumpa kura tena 2015. Ni hadi pale CCM watakapoamua kumwacha Lema atekeleze majukumu yake ndipo wataweza kumdhibiti vinginevyo wanampa umaarufu wa bure.
 
Mburuze tu mahakamani fasta..ukichelewa atasema umetumia lugha kali na ya kutishia uhai wake kwa hilo neno kumburuza..
 
Back
Top Bottom