Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

Kwenda mahakamani hakumzuii Lema kufanya kazi yake ya Ubunge. Tukumbuke kuwa mahakama ni sehemu ya mfumo wa utawala ubora. Kiongozi makini ana wajibu wa kusimamia utawala bora ikiwa ni pamoja na matumizi mazuri ya madaraka.
 
Mkuu fikraangavu,hayo ndio matatizo yaliyotufikisha hapa.watu hawaoni umuhimu wa harakati za kisiasa za lema kwa sababu hawaelewi jinsi siasa inavyointergrate na kila kitu ktk maisha yetu na uchumi inclusive.na hao wanasahau kuwa ni wanasiasa wanaotawala nchi.harakati za lema ni za kisiasa kuleta siasa safi itakayozaa demokrasia ya kweli na maendeleo yanayofikia viwango vya kuridhisha wananchi.tusisahau kuwa Lema hawezi kuiletea maendeleo Arusha bila kufumua mfumo mbovu wa utawala uliopo na ktk kufanya hayo ndio hivyo tena,kesi kibao!vumilieni wana arusha.mna mbunge mzuri sana.
 
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa

Si mnazushia kesi kila uchao na lengo lao/lenu ni kama hivi.....ili mtoe hoja mfu kama hizi katika vinywa vyenu!!..After all Mulongo na CCM ndo wanatakiwa kufanya waliowaahidi wananchi na kepewa dhamana ya kuongoza serilkali!!!..Lema hakusanyi kodi!!!
 
Kwenda mahakamani hakumzuii Lema kufanya kazi yake ya Ubunge. Tukumbuke kuwa mahakama ni sehemu ya mfumo wa utawala ubora. Kiongozi makini ana wajibu wa kusimamia utawala bora ikiwa ni pamoja na matumizi mazuri ya madaraka.

Mwisho wa siku JK ndo anaonekana hana akili
 
Kwa umati ule niliouona ukimsikiliza mbunge Lema, msafara wa magari, nk huku ikiwa imetokea kwa dharura pasipo kupangwa hakika huyo anayetwa Mulongo anajutia kosa alilofanya moyoni, nadhani anatamani ardhi ifunguke ajichimbie/ajizike ama apate uhamisho wa gafla.

Amerikologa mwenyewe sasa kulinywa linamshinda.
Nadhani hata katibu mhutasi wake ni mfuasi wa mbuge Lema na hata hao polisi sema uoga wa vibarua vyao ndio maana wanakubali order za kishezi toka kwa wanasiasa uchwara eti ni mabosi wao.

Imefika hatua sasa kupitia katiba mpya hawa polisi wetu wasiwajibike tena kwa wanasiasa hasa mkuu wa wilaya na mkoa ambao sio wawakilishi wa wananchi.
Mpelekeni mahakani huyo mpuuzi aseme kwa nini alimtumia ujumbe wa vitisho mwakilishi halali wa wananchi, na mahakama hakimu or jaji kuweni fear ili haki itendeke na liwe fundisho kwa viongozi uchwara wanaotumia vyeo vyao kutaka kunyanyasa wengine,

Wito kwa rais na waziri mkuu pinda mfukuzeni kazi Mulongo mara moja kwa kuhatarisha amani ya mji wa Arusha na kutoa vitisho kwa raia wasiokuwa na hatia.
 
Unayezungumza maendeleo hujui maendeleo ni nini. Ccm imekaa madarakani miaka 50 na bado tunasema haijafanya kitu.
Ndugu, kuwaamusha watu kuzijua haki zao za msingi ni hatua ya msingi kuelekea maendeleo, lakini kuitokomeza ccm arusha ni hatua kubwa zaidi na haya Lema amefanikiwa kwa kiwango kikubwa.

Tukiisha watokomeza kabisa hawa wakoloni weusi CCM maendeleo ya vitu vingine yatafuata smoothly na bado kitambo kidogo maendeleo mtayaona.
 
kesi ya nyani hakimu anapokua ngedele
Akizungumza na
waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya CHADEMA mkoa mbunge wa
Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa
Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya mkononi.

Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni
pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa Arumeru
mMashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila
imeshindikana.

'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya
Mulongo' amedai kamanda Lema..miongoni mwa mawakili wa Lema atakuwepo
Kamanda Tundu Lissu
 
watu wa arusha
hatutaki lema atufanyie chochote mpaka majimbo mengine yaliyo chini ya
mkoloni mweusi yatakapo kuwa huru, tunachofanya sasa tuna export ujasiri
na kufuta uoga katika majimbo mengine.

Nadhan hicho kitu ni cha msing sana wapo vilaza weng wanahtaj ukomboz wa kifikra
 
Mkuu Mulongo Mwongo a.k.a
houseboy mwenyewe leo kakumbana na kikosi cha Lema leo wakati wa lunch
hotel moja leo Arusha halafu ghafla ikabidi aite wale mbwa wake wa
kumlinda. Sasa kama yeye mkia ma-ta-ko-ni kama mbwa koko unafikiri hao
uliowataja watathubutu kukanyaga huku leo? Nakuambia buku la Lumbumba
leo wengi watalikosa. Ha ha ha!! Chezea nguvu ya umma weye. Hawana ubabu
hawa!! Mapovu huwa yanawafoka tu hasa Daktari wao. Umemsahau
Rejao.

I heard houseboy kakimbilia kwa mwajir wake inakuwaje tena hapo?
 
Akizungumza na waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya CHADEMA mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya mkononi.

Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa Arumeru mMashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila imeshindikana.

'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema..miongoni mwa mawakili wa Lema atakuwepo Kamanda Tundu Lissu


Ni vizuri wanasheria wakaharakisha kufanya hivyo maana si kwa sababu tuna chuki na Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa bali inaonyesha dhahiri ana chuki au tatizo jingine dhidi ya Lema au CDM as a whole. CDM kama ilivyo vyama vyote vilivyosajiriwa ni sauti ya watu na sauti ya wati ni sauti ya Mungu. Hivyo kukihujumu chama chenye wafuasi ni kosa kidemokrasia na dhambi maana umeingilia sauti ya watu.

Pili hii itatuma message kwa wote waliokasimiwa madaraka ya kiserikali kutokutumia madaraka yao kwa ajili ya kukomoa. Ngugu iliyotumika kumkamata Mh.Lema na usumbufu aliosababishiwa vingetumika kukamata wezi na vibaka. Pesa ya walipa kodi inatumika bure kumbe ingetumika kuwapa wanafunzi ulinzi na kukomesha vitendo vya udhalimu dhidi ya wanafunzi. Tunaomba kesi ifunguliwe na ipangiwe majaji ambao ni impartial ili historia iandikwe
 
Peleka iyo concubine ya lumumba mahakamani,mimtu kama hii in reincarnation lazima izaliwe mibata
 
Kwa hiyo alikuwa anatafuta sababu ya kuondokea siyo!!!??
.....Mkuu ni kweli Kaona kama yuko ukimbizini bora asepe mapema....anajuta kwa nini aliletwa AR...ila Kilanja mdogo wa wilaya Mongela alishauri asiingie kwa pupa ...huu mji ni Mgumu ....sharti ukubaliane na mazingira....ukiitwa peoples na wewe jibu power hata kama rohoni hupendi....
 
Hakuna haja ya kutwa kuchwa mahakamani kikubwa hapa ni kuwatumia viongozi wa dini kwa utatuzi wenye sura ya msamaha.Ninyi nyote ni viongozi wa watu,busara hapa ni kuwatumia viongozi wa dini na ikumbukwe ninyi nyote ni watumiaji wazuri tu wa biblia.

Ndugu zangu wakati mwingine kutokuwatumia viongozi wa dini kwa utatuzi wa masuala yanayohusu amani ya roho na

badala yake kwenda mahakamani ni kuchochea chuki na uhasama usiokwisha.
 
Haya movie lingine la mieleka lipo laivu, sasa hatufanyi kazi tena za ujenzi wa taifa, ni kupelekana mahakamani tu kwenda mbele, wacha vikao vya bunge viendelee bila ya sie kuwepo, watahudhuria wengine! Ahhh, wapo kwa mamia eeenh, hamnaga taabu.

Waongea kama unatumia kichwa cha mbuzi katoliki .Ndugai aliwakufuza na bado kavamiwa na polisi wa CCM hilo limekaaje mbona unaweweseka tu ?
 
Mahakani siyo issue, ka vipi kamanda ampotezee tu..Amshitaki kwenye "mahakama ya Umma"
jino kwa jino, ahamasishe zomea zomea ya ukweli kila atakapoonekana huyo HouseBoy...

Wakuu, inamaana huyo Mkuu wa Moa alikuwaga Beki 3 wa kina Riz1 ama??
 
Akizungumza na waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya CHADEMA mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya mkononi.

Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa Arumeru mMashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila imeshindikana.

'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema..miongoni mwa mawakili wa Lema atakuwepo Kamanda Tundu Lissu

Peleka Mahakamani Kabisa hiyo Beki 3 ya akina Riz1
 
Back
Top Bottom