Iron
JF-Expert Member
- Sep 4, 2008
- 363
- 150
ni UNLAWFULL DETENTION bana au False accusation.
Hiyo false inprison ya wapi tena?
legal-dictionary.thefreedictionary.com/False+Imprisonment
Hebu pitia hapo ndugu
ni UNLAWFULL DETENTION bana au False accusation.
Hiyo false inprison ya wapi tena?
camoon F........u wewe ndo mkuu wa mambururaUshauri wa bure wa huyu ndugu mheshimiwa,kazi kubwa
ya mbunge ni kuchukua kero za wananchi na kuzipeleka bungeni kwa namna ya kufanya serikali izitatue,sasa hayo anayofanya ni umbulula wa hali ya juu,anapaswa aheshim wapiga kura wake,anapoteza muda tu,asubiri hukumu yake.
sasa unazungumzia magamba ambao tayari wote twajua hawafai? Tunazungumzia hawa ambao sasa wanasema wanaweza? So kazi ya lema nini? Kwani keshafanya nini? Watoto yatima gani kasaidia? Au ni ile michango alochangisha mount meru akaingia nayo mititni? Mbona hata lema siyo tu? Hakuna kitu pale kichwani ni useless tu. Ukisema wabunge utaita lema kweli jamani?
Mkuu Lema anatoa elimu kubwa kuliko hiyo zomeazomea.
Wananchi wanaamini ma DC na ma RC kama Miungu watu, wako juu ya sheria.
Mweche Lema atusafishie njia na wengine watafuata mwisho wa siku ionekane hakuna alie juu ya sheria.
Kitendo alicchofanyiwa Lema ni cha kinyama sana, maumivi yake anayajua mwenyewe na familia yake.
Lema nenda kamanda
"heri kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti".!!
Lazima atatimua mbio
kama pale Uhasibu kaka, ni mwoga kishenzi huyu Mulongo. Utasikia yupo
nje ya nchi kwa matibabu!
Duh,Arusha pagumu saaana.!
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure
Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa
Chadema kwa unafiki kila siku wanasema hawana imani na mahakama zetu leo hii tena wanataka kwenda kwenye hizo hizo mahakama.
huyu Lema ni mjinga ameshalewa sifa, hakuna rangu ataacha ona mwaka huu, mtu huna hela halafu unasumbua watu??
Chadema kwa unafiki kila siku wanasema hawana imani na mahakama zetu leo hii tena wanataka kwenda kwenye hizo hizo mahakama.
Chadema kwa unafiki kila siku wanasema hawana imani na mahakama zetu leo hii tena wanataka kwenda kwenye hizo hizo mahakama.
Aende tu mahakamani akaumbuke