Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Kwani wewe Mantisa ulitegemea Lema FANYE NINI wakati muda woote alikuwa anapambana makesi, bado tuu hawajamuacha wanamfanyia kila hila ili asitulie kufanya kazi!!!!!kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure
Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa