Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa

watu wa arusha hatutaki lema atufanyie chochote mpaka majimbo mengine yaliyo chini ya mkoloni mweusi yatakapo kuwa huru, tunachofanya sasa tuna export ujasiri na kufuta uoga katika majimbo mengine.
 
Kweli hali imekuwa mbaya.
Siwaoni kina Sumu @atogwele Ritz M23 mkubwa wao ZeMarcopolo, Lukosi, Nahio na kampani yao kiujumla. Sio kawaida yao kuacha post ifike mpk hapa bila kuingilia kati na pumba zao.

Mkuu Mulongo Mwongo a.k.a houseboy mwenyewe leo kakumbana na kikosi cha Lema leo wakati wa lunch hotel moja leo Arusha halafu ghafla ikabidi aite wale mbwa wake wa kumlinda. Sasa kama yeye mkia ma-ta-ko-ni kama mbwa koko unafikiri hao uliowataja watathubutu kukanyaga huku leo? Nakuambia buku la Lumbumba leo wengi watalikosa. Ha ha ha!! Chezea nguvu ya umma weye. Hawana ubabu hawa!! Mapovu huwa yanawafoka tu hasa Daktari wao. Umemsahau Rejao.
 
Kwa mara nyingine tena atapanda kizimbani nakumbuka alifunguliwa kesi ya madai mahakama kuu kanda ya Tabora kwa kumdhalilisha afisa tabibu Kahama wakati huo akikaimu ukuu wa wilaya Kahama.Sijui kesi iliishaje!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa
Samahani umetumia akili zako zote hapo?
 
Unatoka wapi? people,s powerrr. Unakwenda wapi? People,s powerr! unalala wapi? people.s powerr!w hongera chadema!
 
Nasikitika kuwa mpaka muda huu Mulongo hajawekwa selo kusubiri tarehe ya kupanda mahakamani.
Kwa sababu kwa kiwango cha ujinga na dharau alichoonesha pale IAA sina shaka angeweza kusababisha umwagaji mkubwa wa damu na hasara kubwa sana ya mali....ni vile tu MUNGU hakuruhusu litokee hilo janga.

Onyo kwa wanaosema Lema ni mkorofi; ni hivi "it takes two to quarrel". Wajiulize Lema huwa anakorofishana na nani? CCM will walys bears more brunt than Lema in any eventuality.
 
Ushauri wa bure wa huyu ndugu mheshimiwa,kazi kubwa ya mbunge ni kuchukua kero za wananchi na kuzipeleka bungeni kwa namna ya kufanya serikali izitatue,sasa hayo anayofanya ni umbulula wa hali ya juu,anapaswa aheshim wapiga kura wake,anapoteza muda tu,asubiri hukumu yake.
Kwa hiyo mambo anayofanyiwa nanyi maCCM ayaache tu?Akina Mulongo wanaotaka mkumtengenezea kesi awaangalie tu,mmemfungulia kesi ya kijinga awaangalie tu,mlitaka kumnya`anya ubunge wake awaangalie tu,Kwa Taarufa yako Mburula wewe kumfungulia kesi Mburula Muhongo ni mojawapo ya kazi anazowafinyia wanaArusha,na hukumu yake tena hata ya rufaa amerudishiwa ubunge wake na CCm mmepigwa chini
 
Jaman mbunge hanunulii watu nyanya wala hajengei nyumba watu. lema kafanya meng wewe,anasomesha zaid ya watoto yatima 120. Aliahidi kujenga hosp shamba kashapata bado kuanza ujenz mbona hayo ni makubwa jaman ukitofautisha na magamba?

Mi nadhani kazi kubwa ya mbunge ni kuonyesha njia kwa vitendo, kitu ambacho Lema ameachieve kwa kiasi kikubwa, kabadili kabisa mtazamo wa watu kuhusu magamba...anachosema ni kwamba ingawa mimi ni mbunge wenu na pamoja na kwamba mimi nina wajibu wa kupigania haki zenu za msingi kama shule, maji nk, lakini ni lazima mjue kuwa haki zenu zinapatikana kwa kupiganiwa, kwa sababu kuna watu wamezikalia, kwa hiyo ni lazima na sisi kama raia tuwe majasiri kupigania hizo haki, ama sivyo hakuna tutakacho ambulia.

Hii inatosha kwa kweli, kwa mtu mwenye akili na anaye ijue system ya bongo ilivyokuwa ya kijinga, ni achievement kubwa kuliko kujenga hospitali
 
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa

We unadhani atafanya nn kwenye system corrupt ya Mulongo,dawa ni kuwavuruga wakiitika wito ndo anapiga job,afu mind u hicho wanaarusha wanachompendea,ww c umeona hao watu walioenda naye mahakamani?chukua tahadhari na ww
 
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa

Wewe ni nya.u......fujo unazijua wewe? hapa bado hujaona fujo kabisa. He has done a lot.....yaani ameamshaje spirit za mapambano......HAKUNA DHAMBI MBAYA KAMA DHAMBI YA UOGA BAAB
 
We need few more Lema's to bring sanity back, ccm wamelewa madaraka.
 
ni UNLAWFULL DETENTION bana au False accusation.

Hiyo false inprison ya wapi tena?

elungata hicho unachoongea si ndio kile kile tu anachoeleza jamaa hapa?kwa mujibu wa uzi huu,Lema anataka kumfungulia kesi(habeas corpus)mkuu wa mkoa,kwa kuwaamuru polisi kumkamata kwa nguvu na kumweka ndani bila kosa la msingi(forced or false imprisonment causing unlawful detention).ni jukumu la lema kuprove beyond reasonable doubt kuwa alichokifanya magesa ni false imprisonment kwa facts za sheria na ushahidi,akitumia madaraka yake vibaya kubinya uhuru wa watu binafsi(authoritatiarism) na yeye lema kujisafisha kwa kuonyesha kuwa alichoshtakiwa si kosa kwa maana ya kutokuwepo sheria au sheria kutumika vibaya,kutokuwepo ushahidi na vigezo vya kutosha kujenga kosa analoshitakiwa nalo.labda usichokijua wewe ni kuwa kukaa ndani kwa lema ni imprisonment tayari.hii ni lugha tu kaka!
 
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa

mmmmm mkuu hongera kwa post yako hii umezawadiwa ukilza wa kudumu!!! Ina maana wewe hujaona tu lema anavyowapigania watu wake na kutoa uwakilishi stahiki kwa jiji la arusha na sasa jiji linaloeshimika mpaka kwa mafisadi ni hili la lema
 
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa

Huwezi kulaumiwa kwani hayo ni mawazo yako. Hata mimi nisiyeishi Arusha naona kwa macho yangu jinsi jitihada za Lema zinavyohujumiwa kwa nguvu nyingi ikiwemo kumchafua. Kama wewe hulioni hilo basi unatumia Ma./....Ko kuangalia.
 
Huo ulikuwa ushauri wangu tu mkuu maana pia ana mengi kahaidi so asipoteze muda mwingi sana na haya mambo badala ya kufanya maendeleo

Mimi nadhani haya pia ni maendeleo. Kumbuka Chama anachokiwakilisha kinaitwa Chama cha demokrasia na maendeleo. Huwezi kuleta maendeleo katika nchi au halmashauri isiyozingatia demokrasia. Arusha imelalamikiwa kuweka meya bila kuzingatia sheria au demokrasia. Unadhani haikuhitajika kupigania demokrasia ili kodi zitumike kuwanufaisha wananchi? Kama Demokrasia si ya muhimu kama unavyotaka kutuaminisha kwa nini tunatumia fedha nyingi kukusanya maoni ya Katiba mpya hizo fedha si zingetujengea shule au barabara. Unapotaka kuleta mabadiliko ya kiuchumi ni lazima yaende sambamba na mabadiliko ya kimfumo na ya kidemokrasia. Arusha yenye mapato makubwa yanayotokana na Tanzanite na watalii wanaotembelea mbuga ilistahili iwe na hospitali ya hadhi ya Mount Meru? Wapo watu walikalia uchumi wa Arusha kwa manufaa yao kwa miaka mingi na ndio hao wasiotaka kuamini kuwa muda wao wa kuondoka umefika. Kumbuka azimio la arusha lililotarajiwa lijibu kilio cha wanyonge wa Tanzania lilianzia katika mji huo. Kwa kuwa azimio limenyongwa na kuzikwa acha sasa vuguvugu la ukombozi wa Kidemokrasia lianzie pale pale lilipozaliwa azimio. Lema songa mbele wapenda demokrasia ya kweli tupo nyuma yako. Mungu ibariki tanzania.
 
elungata hicho unachoongea si ndio kile kile tu anachoeleza jamaa hapa?kwa mujibu wa uzi huu,Lema anataka kumfungulia kesi(habeas corpus)mkuu wa mkoa,kwa kuwaamuru polisi kumkamata kwa nguvu na kumweka ndani bila kosa la msingi(forced or false imprisonment causing unlawful detention).ni jukumu la lema kuprove beyond reasonable doubt kuwa alichokifanya magesa ni false imprisonment kwa facts za sheria na ushahidi,akitumia madaraka yake vibaya kubinya uhuru wa watu binafsi(authoritatiarism) na yeye lema kujisafisha kwa kuonyesha kuwa alichoshtakiwa si kosa kwa maana ya kutokuwepo sheria au sheria kutumika vibaya,kutokuwepo ushahidi na vigezo vya kutosha kujenga kosa analoshitakiwa nalo.labda usichokijua wewe ni kuwa kukaa ndani kwa lema ni imprisonment tayari.hii ni lugha tu kaka!

samahani elungata na wanajukwaa,hayo maelezo yangu hapo juu ni kwa mujibu wa post ya UTANIPENDA na sio uzi huu!
 
Kweli hali imekuwa mbaya.
Siwaoni kina Sumu @atogwele Ritz M23 mkubwa wao ZeMarcopolo, Lukosi, Nahio na kampani yao kiujumla. Sio kawaida yao kuacha post ifike mpk hapa bila kuingilia kati na pumba zao.

mkuu yupo mantisa ndo anaangaika na hii thread eti akimshauri lema kitu ambacho akukifanya kwa magesa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom