Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

ah tundu lisu? ccm kuckia hilo jina hata maana huwa linawatoa jasho, tundu anasababisha watu wapaniki
 
sasa unazungumzia magamba ambao tayari wote twajua hawafai? Tunazungumzia hawa ambao sasa wanasema wanaweza? So kazi ya Lema nini? Kwani keshafanya nini? watoto yatima gani kasaidia? Au ni ile michango alochangisha mount meru akaingia nayo mititni? Mbona hata Lema siyo tu? Hakuna kitu pale kichwani ni useless tu. Ukisema wabunge utaita Lema kweli jamani?


Na mabunge yenu yanayojiita maprofesa. Yapo zaidi ya 235, lakini ona nchi ipo wapi?
 
Tuone haki ikitendeka
Lakini ni vizuri ikaonekana wazi.
 
Mahakani siyo issue, ka vipi kamanda ampotezee tu..Amshitaki kwenye "mahakama ya Umma"
jino kwa jino, ahamasishe zomea zomea ya ukweli kila atakapoonekana huyo HouseBoy...
Acha mbulula aburuzwe kote kote.Kwanza ni aibu wana Arusha kuongozwa na kilaza kama yule.

Eti "mnataka serikali,serikali iko hapa",pumbavu kabisa na kiburi chake cha kifala!
 
Akizungumza na waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya CHADEMA mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya mkononi.

Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa Arumeru mMashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila imeshindikana.

'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema..miongoni mwa mawakili wa Lema atakuwepo Kamanda Tundu Lissu
kaaaaaaaazi ipo,yeye amejifanya anamwaga mboga,sasa lema mwaga ugali kabisa.kaazi kweli kweli.
 
huyo ni kupotea katika anga za siasa kaingia cha kike kama alitumwa hatakutumiaakili halijui anatutia aibu mapot wote au kaiba jina ilia aeleweke kua nae ni pot?
 
Akizungumza na waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya CHADEMA mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya mkononi.

Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa Arumeru mMashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila imeshindikana.

'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema..miongoni mwa mawakili wa Lema atakuwepo Kamanda Tundu Lissu

nataka kusikia kutoka kwa mwanakijiji na lukosi kuhusiana na jambo hili lilipofikia..asante
 
Watu wa mulongo naona mmejaa humu ndani kumtetea ili LEMA asipeleke kesi mahakamani, ndio mumfikishie salam kwamba na yeye lazima anyie debe huyo MULONGO...
 
Nimenasa hii kuwa CHADEMA wameshauriana na mpaka sasa wamefikisha jumla ya mashtaka tofauti tofauti TISAya kumshtaki mkuu wa mkoa wa Arusha. Mojawapo ambalo nimesikia Tundu lissu amelikamata yeye mwenyewe ni kitendo cha mkuu wa mkoa kulazimisha polisi wamsweke ndani Mhe Lema (forced prisonment). Kosa na shtaka analodaiwa kulifanya Mhe Lema lina dhamana lakini kwa shinikizo la mkuu wa mkoa. ushahidi wa jambo hili utatikisa hasa baada ya rekodi ya mazungumzo hayo kunaswa kwenye moja ya vikao.
 
Hongera Kamanda Lema kwa kuruka kihunzi cha huyo gaidi maana alitaka kukumwangosi. Ngoja hiyo kibarua yake ya kujikomba kiote nyasi kwa ukilaza wake.
 
Na tunasema hivi , Hakuna kurudi nyuma ni Lazima kumburuza mahakamani na ikiwezekana ANYIMWE DHAMANA , maana sms yake haiko wazi sana , UMERUKA KIHUNZI CHA KWANZA ( What does he mean exactly ? ) , nani anakijua kihunzi kinachofuata , inaweza kuwa Mauaji ! You never know !
 
Ni dhahiri kosa atakaloshitakiwa RC Mulongo la kumtishia Mh Lema ni kubwa kuliko lile aliloshitakiwa Lema la kuambiwa amesema kuwa "RC kama anaenda kwenye Send Off" kwa hiyo ili Polisi kuonesha fairness, itabidi nae wakamkamate kwa nguvu kubwa kuliko ile waliomkamatia Lema, kisha asipewe dhamana (asije akatishia na wengine!) halafu ndo apelekwe mahakamani, Magamba nao wakajae mahakamani kumuunga mkono shujaa wao, tuwaone nao ubavu wao!
 
Inaonekana unawashwa,waulize magamba wenzako waache kubambika kesi kila uchao mbunge awatumikie,au ulifikiri angewatumikia akiwa gerezani.gamba mkubwa.
 
Back
Top Bottom