Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

Huo ulikuwa ushauri wangu tu mkuu maana pia ana mengi kahaidi so asipoteze muda mwingi sana na haya mambo badala ya kufanya maendeleo
 
Mahakani siyo issue, ka vipi kamanda ampotezee tu..Amshitaki kwenye mahakama ya Umma"
jino kwa jino, ahamasishe zomea zomea ya ukweli kila atakapoonekana huyo HouseBoy...
Mkuu Lema anatoa elimu kubwa kuliko hiyo zomeazomea.
Wananchi wanaamini ma DC na ma RC kama Miungu watu, wako juu ya sheria.

Mweche Lema atusafishie njia na wengine watafuata mwisho wa siku ionekane hakuna alie juu ya sheria.

Kitendo alicchofanyiwa Lema ni cha kinyama sana, maumivi yake anayajua mwenyewe na familia yake.

Lema nenda kamanda

"heri kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti".!!
 
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa

Kamfanyia fujo mama na baba yako. kama ni hivyo mpeleke mahakamani
 
Haya movie lingine la mieleka lipo laivu, sasa hatufanyi kazi tena za ujenzi wa taifa, ni kupelekana mahakamani tu kwenda mbele, wacha vikao vya bunge viendelee bila ya sie kuwepo, watahudhuria wengine! Ahhh, wapo kwa mamia eeenh, hamnaga taabu.
 
Acha ujinga wewe. Where do you get this nonsense. Huna adabu kabisa
 
Peleka hiyo houseboy mahakamani, Mkuu wanasheria wa Lema waikalie waisuke kiukweli. Na ushahidi wa video upo na wanafunzi wako tayari kutoa ushahidi wao live. Ondoa hili houseboy Arusha, hana hadhi ya kuwaongoza wana arusha.
Sio houseboy, ni shoga la nguvu
images
 
Never seen RC kama huyu katika maisha yangu yote,,,hivi kwanza hiki kiburi anakipatia wapi wakuu?
Jiji lenyewe la visu lile wasije wakamButcher bure...
 
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa
HApo kwenye RED mbona ckuelewi.mkumbuke wewe na nani,ulitaka Lema awe amefanya nini ambalo hajalifanya hadi muda huu.Je ni yupi aliyetimiza aliyoahidi au ujenzi wa reli ya treni iendayo kasi,Kigoma kuwa Dubai,kununua meli kubwa kule ziwa victoria,kufunga barabara Sinza mtaani kwa bi kiroboto,Kupeleka meno ya Tembo China....?Utakuwa m pungufu wa akili lazima.
 
Na hapo ndo naona hata mimi anachemka. Tusiangalie kushabikia tu
 
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa
acha umburula
wewe. Je ww ni mpiga kura wake? Sisi wapigakura tunajua alichofanya kama hujui alichofanya utulie au utuulize watu wa arusha
 
Kama atampeleka Mahakamani basi, nadhani itawasaidia sana Polisi ambao kwa namna moja au nyingine wanafanya maamuzi yasiyo ya busara sababu wamelazimishwa na Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa wilaya kufanya hivyo.
 
HApo kwenye RED mbona ckuelewi.mkumbuke wewe na nani,ulitaka Lema awe amefanya nini ambalo hajalifanya hadi muda huu.Je ni yupi aliyetimiza aliyoahidi au ujenzi wa reli ya treni iendayo kasi,Kigoma kuwa Dubai,kununua meli kubwa kule ziwa victoria,kufunga barabara Sinza mtaani kwa bi kiroboto,Kupeleka meno ya Tembo China....?Utakuwa m pungufu wa akili lazima.

sasa unazungumzia magamba ambao tayari wote twajua hawafai? Tunazungumzia hawa ambao sasa wanasema wanaweza? So kazi ya Lema nini? Kwani keshafanya nini? watoto yatima gani kasaidia? Au ni ile michango alochangisha mount meru akaingia nayo mititni? Mbona hata Lema siyo tu? Hakuna kitu pale kichwani ni useless tu. Ukisema wabunge utaita Lema kweli jamani?
 
ampeleke ili iwe mwisho wa ubazazi!huyu jamaa ana dharau sana hata makada wenzake wa ccm wanalijua hilo.
 
Taratibu jamani yani mtu unasema mwenzio hana haki ya kuvuta pumzi ya mungu duu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
acha umburula
wewe. Je ww ni mpiga kura wake? Sisi wapigakura tunajua alichofanya kama hujui alichofanya utulie au utuulize watu wa arusha

Ok mkuu, maana wewe watu wote wa Arusha unawajua
 
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa

Washauri wanaccm wamuache afanye kazi yake! Hivi unaweza tulia na kufanya kazi yako ikiwa kila siku wanakutafutia kesi? Kumbuka kwa zaidi ya miezi tisa alikuwa nje kwa amri ya jaji.
Na badala ya kuimarisha patrol usiku, ocd anachukua askari 25 full equiped kwenda kumkamata mbunge. Hivi kwa nini vibaka wasione kumbe kuua mtu siyo kosa, maana hutafutwi, wanatafutwa waombolezaji?
 
Back
Top Bottom