Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

Akizungumza na waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya CHADEMA mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya mkononi.

Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa Arumeru mMashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila imeshindikana.

'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema..miongoni mwa mawakili wa Lema atakuwepo Kamanda Tundu Lissu

hili jina la huyu jamaa linanikumbusha ule wimbo "mulongo na mulozi ni watu wa kuchoma ..."
 
Ushauri wa bure wa huyu ndugu mheshimiwa,kazi kubwa ya mbunge ni kuchukua kero za wananchi na kuzipeleka bungeni kwa namna ya kufanya serikali izitatue,sasa hayo anayofanya ni umbulula wa hali ya juu,anapaswa aheshim wapiga kura wake,anapoteza muda tu,asubiri hukumu yake.

Hata hili la Mulongo (Muongo) nalo ni KERO kwetu sisi wananchi, kwahiyo Mbunge kama kazi zake zilivyo hapa atakuwa ametekeleza mojawapo ya majukumu yake.
 
Waongea kama unatumia kichwa cha mbuzi katoliki .Ndugai aliwakufuza na bado kavamiwa na polisi wa CCM hilo limekaaje mbona unaweweseka tu ?
Umekurupuka kutoka kwenye yale mateka wima ya pale kwa mtogore eeenh?
 
mmmmmmmmmh yupo Lissu?kazi anayo ndugu yangu Mulongo,huyo jamaa hatari sana asee na taratibu zipoje kiongozi wa serikali akishtakiwa?huwa anaachia madaraka au niaje?
 
Back
Top Bottom