Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,903
Magazeti mengine bwana. Sasa huyo Mama Salma Kikwete kulipia kodi mizigo yake bandarini ndiyo kuisoma namba? Kwa vile ni mke wa ex president ndiyo asilipe kodi? Au WAMA wana tax exemption? Sijaelewa ishu hapa ni nini na maana nzima ya dhana ya kuisoma namba. Naomba ufafanuzi please!
NonsenseFunga jera kabisa huyo
Nyambafu zake....
eti pepepe...epe...pepe...!
midomo mirefu kama ya bata
Vijana gani wa C.C M mbona mimi simuungi mkono na ni kijana wa CCM. Labda useme baadhi ya vijana wa CCMserikali imekosea sana, hii itapaisha sana upinzani maana sasa Lema anaungwa mkono hata na vijana wa ccm
Anafuata maagizo kutoka juu siyo sheria zinasemaje.Yaani huyo hakimu hana hata mshipa wa aibu na unakuta anapenda kanisani au msikitini kabisa
nyny endeleeni kumjaza kichwa tu lema, mwisho wa siku ataanza kujiona yy ni mkubwa ndan ya CDM na hapo ataanza kutaka kuwa mwenyekt ndipo mbowe atamCHACHA WANGWELAIZESHENI.mtakubaliana tu,na sisi kina gogo la shamba pale tuliposema kwamba,Lema amejiwekea sifa kubwa sana kuwa miongoni mwa viongozi wanaotetea haki duniani, huyu atafananishwa na Mandela
na pia CCM watajutia sana uamuzi wa bulaya kushinda kesi ya matokeo ya uchaguzi dhidi ya wasiraCCM watajutia uamuzi huu
mtakubaliana tu,na sisi kina gogo la shamba pale tuliposema kwamba,Lema amejiwekea sifa kubwa sana kuwa miongoni mwa viongozi wanaotetea haki duniani, huyu atafananishwa na Mandela
sasa kama amewahi kujipeleka mwenyew jela, alikuwa anahangaika na dhamana ya nn? maana inaonekana anapenda kuishi kwenye shimo la tewa.Wewe ndio unadhani hivyo
Only cowards wanafikiri kama wewe
Kwani jela ni kwa watu fulani?...hata wewe kesho unaweza kujikuta jela tu...huko pia kuna maisha
Lema sio mara ya kwanza kwenda jela...na alishawahi kujipeleka hata yeye mwenyewe...kama mnadhani mnamkomoa Lema kwa kumpeleka Jela Mnakosea
Hivi mfano angeota huyo bwana ako atakuwa rais wa afrika angekamatwa? Get your senses mkuu...tumieni akili
Agani...Kisiasa kumfunga mwanasiasa ni kumpandisha level Yake
Magazeti mengine bwana. Sasa huyo Mama Salma Kikwete kulipia kodi mizigo yake bandarini ndiyo kuisoma namba? Kwa vile ni mke wa ex president ndiyo asilipe kodi? Au WAMA wana tax exemption? Sijaelewa ishu hapa ni nini na maana nzima ya dhana ya kuisoma namba. Naomba ufafanuzi please!
Aache ujinga asituumuze vichwa. Kwani wakati anatoa matamshi yake alituhusisha. Hakujua kuna mahakama.inayosimamiwa na dola.?? So kwa hiyo alikua anaijaribu kama inafanya kazi au la !
Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake.
Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasim! !!iwa na dola .
Asema mawakili wapumzike mpaka dola litakapoamua kuachiwa kwake.
Labda km ni Dunia ya CCM!!Ngoja dunia imfunze adabu
Anaisoma namba
Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake.
Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasimamiwa na dola .
Asema mawakili wapumzike mpaka dola litakapoamua kuachiwa kwake.
Hivi jela inazidi nguvu za kifo?~~~>>>>Wananchi wa Arusha hawakumchagua Lema ili awasimulie ndoto zake za Kijinga........ Bali walimchagua ili awatumikie.
~~~>>>Ndoto zake hazitawajengea barabara, Wala kuleta dawa hospitali...... Bali ndoto zake ni za kutafuta Sifa za Kijinga...
~~~>>>>>Sasa Krismass na Mwaka Mpya atasherehekea Lupango wakati Makamanda wakimfariji mtandaoni.
....jamaa may be kachoka kupiga mgalala uko gerezani .....ndo now anajutia....,,,Labda km ni Dunia ya CCM!!