sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Chadema ni chama cha kifalme hadi wanachama wasioji mambo ya msingi?.Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.
Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.
Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.
Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?
Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?
Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.
Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Kumshabulia Lema kwa kutoa shutuma dhidi ya matumizi mbaya ya rasilimali za chama kwenye mkutano halali wa chama ni kutomtendea haki.Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.
Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.
Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.
Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?
Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?
Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.
Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Porojo za mashoga na mapumbavu ya ccm yaliyoshikwa pabaya na chadema na bado mpaka mharishe utumbo, Heche na Lema shiria hapo hapo nguruwe mpaka wale mavi yao.Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.
Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.
Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.
Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?
Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?
Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.
Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Wanachama wanahaki kabisa ya kuhoji.Chadema ni chama cha kifalme hadi wanachama wasioji mambo ya msingi?.
Mwenyekiti kuwa lupango siyo tiketi ya kuziba midomo wengine kuhoji mwenendo wa chama,hoja ijibiwe kwa hoja na si visingizio.
.mnakosa uadilifu kwa michango midogo itakuwaje mkishinda kuiongoza nchi.
Siasa na njaa hatma yake mbaya sana.
Hapo kuna namna sio bure!Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.
Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.
Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.
Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?
Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?
Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.
Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
CCM kweli mna hila, yaani Lema na Heche washambuliane, na kila siku wapo pamoja? Haya mambo kaandika sana Tlaatla na kapuuzwa na CDM inaendelea vizuri tu, acheni kuhalalisha upuuzi, upinzani lazima uwepo na ndiyo afya ya Nchi. Waacheni Lema na Heche wafanye kazi zao.Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.
Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.
Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.
Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?
Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?
Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.
Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Kwa hiyo Heche akae pembeni kupisha uchunguzi ili mumuweke nani awe mwenyekiti?Chadema ni chama cha kifalme hadi wanachama wasioji mambo ya msingi?.
Mwenyekiti kuwa lupango siyo tiketi ya kuziba midomo wengine kuhoji mwenendo wa chama,hoja ijibiwe kwa hoja na si visingizio.
.mnakosa uadilifu kwa michango midogo itakuwaje mkishinda kuiongoza nchi.
Siasa na njaa hatma yake mbaya sana.
Kumtendea haki Lema ni kukubaliana nae kuwa Heche haaminiki kukiongoza chama wakati huu Lissu akiwa lupango si ndio?Kumshabulia Lema kwa kutoa shutuma dhidi ya matumizi mbaya ya rasilimali za chama kwenye mkutano halali wa chama ni kutomtendea haki.
Ni wajibu wa kila mwanachama kulinda na kutetea mali za chama husika na siyo cdm tu ni vyama vyote ipo hivyo.
Ingekuwa vibaya kama angetoka na kwenda kulisema nje kwenye vikao na wana habari.
Tuvute subira ili tuone nini kamati kuu itachukua hatua gani.
Kwahiyo unataka Lema au mwanachama wa CDM wasihoji ubadhirifu wa fedha kisa kafanya Heche?Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.
Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.
Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.
Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?
Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?
Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.
Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Tatizo lako unadhani bila Heche hakuna chadema.Kumtendea haki Lema ni kukubaliana nae kuwa Heche haaminiki kukiongoza chama wakati huu Lissu akiwa lupango si ndio?
Alafu mumuweke nani?