inabidi watanzania Tuungane kuiondoa CCM Madarakani maana imeshindwa kutulinda na hata kuwakamata wauaji kama ulivyoainisha.Naomba niongezee na Swala la Kuteswa kwa Ulimboka,Absalom Kibanda,Kuuawa kwa Dr.Mvungi,Kuuawa kwa Mapadre Zanzibar,Kuchomwa kwa Makanisa Mbagala,Kupigwa risasi kwa Shekh Ponda n.k.Tuiondoe CCM Madarakani ili tupate Chama kitakachowahakikishia watanzania usalama wao.Hii Sinema imetengenezwa na Lema tu ili apate Kiki na IGP amwogope lakini ukichuguza kwa Undani ni Uchonganishi tu ili kuwafanya washindwe kufanya kazi kwa pamoja. Lema ndiye alimpiga Risasi chacha wangwe kisha akatokomea akiwa na kileo na kumwacha Deus Mallya akiwahadaa watanzania kuwa ilikuwa Ajali , lakini Hao hao Polisi walimlinda hadi leo Sasa kaanza kuwachokonoa lazima watamtengenezea Sinema Kali Sisi yetu macho na masikio tu.